Anayefahamu mawakala wa kupeleka watu Uarabuni

popote kambi, popote makao, ata nkiacha kwenda kisa ivo vitisho, ntakufa tu.

na familia zinatofautiana kama unavoona tanzania, na makampuni pia ni tofauti kama unavoona tanzania
kama wew ni mpiganaji kweli c ukomae hapa hapa utatoka ,huko cjui arabuni watakuyemen wakuharibu bure shauri yako
 
popote kambi, popote makao, ata nkiacha kwenda kisa ivo vitisho, ntakufa tu.

na familia zinatofautiana kama unavoona tanzania, na makampuni pia ni tofauti kama unavoona tanzania
ni kheli ingekuwa kufa kuliko kupelekewa moto ,waarabu co wa2 wazuri usijidanganye wewe
 
ni kheli ingekuwa kufa kuliko kupelekewa moto ,waarabu co wa2 wazuri usijidanganye wewe
kwani mm nmesema najidanganya, soma kichwa cha habari mkuu mengine muachie mungu, kwani wewe unajua kesho yako
 
Baraka na fanaka ziwe juu yako upate hitaji la moyo wako ukipata agent leta mrejesho namimi najilipua
 
Yaani Tip Tip angekuwa hai angechangamkia hii fursa fasta
 
Yaani Tip Tip angekuwa hai angechangamkia hii fursa fasta
, ila wale jamaa walkua na akili mingi, sema waliitwa wakoloni tu sababu, hawakua na uraia,

ila mijeledi na mambo mengina ata apa tz yapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…