Anayedaiwa kutuma ushahidi kwa inayoitwa "Tume Huru ya Uchunguzi ya Jaji Othuman Chande" achukuliwa na 'wasiojulikana'

The Palm Beach

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Posts
3,611
Reaction score
9,269
Screenshot_20251230-085149.png

20251230_085053.jpg

NB:
Anayetaka kuthibitisha hili, aende pale Mabibo zilipo Hostel za wanachuo wa UDSM aulize steshenari aliyokuwa anauza Dada Devotha. Watakuambia hajui alipo zaidi ya wiki sasa....

Shetani yuko kazini jamani kulinda himaya na utawala wake ktk Tanganyika akiwatumia mawakala wanadamu wenzetu kina Samia na genge lake....

Kila mtu na awe makini sana ktk kupigana vita hii ya kupambana na mkoloni mweusi mwenzetu....

Enenda kwa akili na hekima ya hali ya juu sana itokayo mbinguni kuepuka kufa au kuumizwa kizembe na hayawani hawa wa CCM...

HATA HIVYO, NAWATIA MOYO WAPIGANAJI WOTE WALIO FIELD LIVE, WANA MAOMBI WANAOOMBA MUNGU USIKU NA MCHANA KUIPONYA NCHI NA TAIFA LETU, WANA MIKAKATI YA VITA WALIO MAFICHONI NA MITANDAONI KUWA, MSIOGOPE, MUNGU MKUU WA MBINGUNI YUPO PAMOJA NASI, TUMESHAMSHINDA ADUI. BADO KITAMBO KIDOGO TU ITADHIHIRIKA NA KILA MTU ATAONA, KUELEWA NA KUMTUKUZA MUNGU...
 
Yaani kumbe Kuna majitu majinga mpaka Leo yanatoa ushirikiano Kwa Hawa majambazi walipjipachika madaraka🤣🤣🤣🤣🤣
Heri yako wewe umebarikiwa na kuliona hili...

Tuwaombee wengine pia Mungu awape hekima na ufahamu wa kujua cha kufanya kwa wakati na mahali sahihi...

Tatizo ni UJINGA ndugu yangu Arsenal Gunner. Na UJINGA ndiyo ugonjwa mbaya kuliko magonjwa yoooooote uyajuayo...!
 
View attachment 3522575
View attachment 3522576
NB:
Anayetaka kuthibitisha hili, aende pale Mabibo zilipo Hostel za wanachuo wa UDSM aulize steshenari aliyokuwa anauza Dada Devotha. Watakuambia hajui alipo zaidi ya wiki sasa....

Shetani yuko kazini jamani kulinda himaya na utawala wake ktk Tanganyika akiwatumia mawakala wanadamu wenzetu kina Samia na genge lake....

Kila mtu na awe makini sana ktk kupigana vita hii ya kupambana na mkoloni mweusi mwenzetu....

Enenda kwa akili na hekima ya hali ya juu sana itokayo mbinguni kuepuka kufa au kuumizwa kizembe na hayawani hawa wa CCM...

HATA HIVYO, NAWATIA MOYO WAPIGANAJI WOTE WALIO FIELD LIVE, WANA MAOMBI WANAOOMBA MUNGU USIKU NA MCHANA KUIPONYA NCHI NA TAIFA LETU, WANA MIKAKATI YA VITA WALIO MAFICHONI NA MITANDAONI KUWA, MSIOGOPE, MUNGU MKUU WA MBINGUNI YUPO PAMOJA NASI, TUMESHAMSHINDA ADUI. BADO KITAMBO KIDOGO TU ITADHIHIRIKA NA KILA MTU ATAONA, KUELEWA NA KUMTUKUZA MUNGU...
Mna mambo ya kijinga sn huko CDM. Anyway endeleeni tu ila msisahau kwamba hamna mtakachobadilisha otherwise Mungu mwenyewe apende
 
Back
Top Bottom