masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,825
- 16,903
Unachokifanya utasababisha mauaji ya ndugu.....Huo umuhimu haupo kwng ikiwa atashindwa kuishi na ndugu yake je ndugu yangu itakuaje? Npo Tyr tuachane na waondoke wote wawili ila sipo Tyr kufata masharti yake wanawake ni nyoka na Wana majaribu sn akikujaribu ukajaribika Bs tegemea kesho Hilo jaribu kukugharimu sn kesho tamleta ndugu yangu SI ndo yatamkuta makubwa sana kwaiyo nitasimamia ninachokiamini tu SI kile anachokiamini huyu mwanamke over
Najua una soln ya nini ufanye...