Anatishia kunywa sumu au vidonge

Anatishia kunywa sumu au vidonge

Duh. Kazi nzito hiyo. Chaguwa mke au mdogo wake.
Kama madam hamuamini utafanyaje mkuu. Msaidie mdogo mtu chumba cha kupanga au arudi KWAO.
Pole na changamoto mkuu. Ila mama mwenye nyumba muhimu zaidi
Huo umuhimu haupo kwng ikiwa atashindwa kuishi na ndugu yake je ndugu yangu itakuaje? Npo Tyr tuachane na waondoke wote wawili ila sipo Tyr kufata masharti yake wanawake ni nyoka na Wana majaribu sn akikujaribu ukajaribika Bs tegemea kesho Hilo jaribu kukugharimu sn kesho tamleta ndugu yangu SI ndo yatamkuta makubwa sana kwaiyo nitasimamia ninachokiamini tu SI kile anachokiamini huyu mwanamke over
 
Duh. Kazi nzito hiyo. Chaguwa mke au mdogo wake.
Kama madam hamuamini utafanyaje mkuu. Msaidie mdogo mtu chumba cha kupanga au arudi KWAO.
Pole na changamoto mkuu. Ila mama mwenye nyumba muhimu zaidi
Harudi kwao mtu hapa Leo nikikubaliana na matakwa ya huyu mwanamke kesho ataleta mengne ndo Huwa wanaanza hivihivi at last unakuja stuka umepoteza mamlaka Yako.
 
Aisee upo siriazi kabisa ?

20230906_063230.jpg
 
Wakuu hamjambo....
Sasa Kuna jambo limetokea nyumbani kwangu ninaishi na mwanamke ambaye sijafunga naye ndoa lakini pia yupo Mdogo wake wa kike ambaye amekuja kujiendeleza mambo ya ushonaji.
Sasa ninapotoka asubuhi kwenda kazini Huwa ninatoka na Mdogo mtu ambaye Huwa anaelekea huko kwenye ushonaji maana tunaelekea uelekeo mmoja.
Kumbe jambo Hilo linamkwaza sana dada mtu ingawa hasemi yaani ninamaanisha dada mtu hataki niongozane na Mdogo wake.
Matokeo yake dada mtu amekuwa akipiga simu kwao kisirisiri akiongea mambo ya uwongo khs Mdogo wake pamoja na Mimi lengo likiwa Mdogo wake apigiwe simu kwao kwamba aondoke hapa arudi nyumbani huko kwao kwenyewe mambo ni magumu maana ni kijijini hata dada mtu mwenyewe tu hataki kupasikia.
Niwe mkweli ninaishi nyumba ya kupanga na ndo mwaka wa 3 Toka nimeanza maisha Nina chumba na sebule Sasa Mdogo mtu alipofika sikutaka mambo mengi niliruhusu vitu vyake vyote kuwekwa chumbani na akitaka kujiandaa aingie chumbani ajiandae kasoro kulala tu. Imekuwa hivyo Toka amekuja hapa hata mwezi haujaisha.
Cha ajabu juzi dada mtu ananitumia sms anasema hataki kumuona Mdogo wake anaingia chumbani aisee nilikataa kbs nikamwambia Hilo zoezi halitafanyika maana Toka amefika hapa chumbani amekuwa akiingia mara Kwa mara na hakuna tatzo halafu Leo ghafla tu tumwambie usiingie chumbani unadhan atahisi nn pili sebuleni kumejaa hata godoro lenyewe kumtandikia tunamtandikia Kwa kujibana je vitu vyake tuvihamishie sebuleni vikae wapi nikasema hapana.
Akalalamika sana mi nikabaki na msimamo wangu. Sasa ameanzsha tabia ya kumpeleleza Mdogo wake Kila akirudi huko kwny ushonaji kujua kama Kuna nn tumeongea na Mdogo wake au huko kwenye ushonaji mambo Yako sawa ila lengo lake anataka asikie mambo hayako sawa ili apige simu kwao kusema kwamba huyu dogo huku hakuna anachokifanya arudi home tu.
Nilipoligundua Hilo nilimpa angalizo mdogo mtu maana nimeshangaa sana huyu mwanamke mpaka simu yake ameweka password mpya ghafla wakati alikuwa hawekagi nikagundua Kuna jambo linaendelea hapa.
Jana wakati naondoka na mdogo mtu nikamwambia anipe simu yake aliponipa nilikuta sms nyingi sn za dada ake akimuhoji kama SI kumpeleleza akinizungumzia Mimi niliumia sn mbaya zaidi sms zngn zimeandikwa usku na Mimi nikiwemo ndani yaani amemchatisha Mdogo mtu sms usku wakinizungumzia Mimi.
Nilipogundua haya yote mi nimechukua hatua za kunyamaza kimya tu siongei na mtu sjibu mtu Wala siulizi chochote Kwa mtu humu ndani na Wala sili humu ndani Wala siitikii salamu ya mtu nipo busy na mambo yangu tu.
Usku dada mtu analia eti ye ikibidi atakunywa hata sumu au vidonge mi skujibu.
Line za simu alizokuwa anatumia nilimsajilia Mimi nazo nimechukua maana SI ndo hzo anatumia kunizungumzia Mimi.
Na nimetoa msimamo akiondoka Mdogo mtu kisa visa vya dada ake basi nitaamini pia huyu mwanamke hawezi kuishi na ndugu yangu Wala kuishi na Mimi kama ameshindwa kuishi na Mdogo wake wa damu kwaiyo na yeye ataondoka so achague Moja.

Sasa wakuu nimekosea wapi hapo kosa langu ni lipi?
Unamruhusu vipi shemeji kuingia chumbani kwako? Kama ulikua huna nafasi ulishindwa nn kuwa na kauli za kiume ukaepusha huyo mdogo kuja umejitutumua huna lolote unaloweza na kama umeahaona huyo ulienae hapendi kwani lazima mdogo wake aendelee kukaa? Hapo hujaoa ukioa si ndio utakua kiherehere utake kuleta familia nzima mjini. Balance shobo mzee huwezi saidia kila mtu
 
Aisee upo siriazi kabisa ?

View attachment 2748569
Nipo seriously zaidi kwny hili wanawake SI wa kukaa nao kizembe kbs unaishi naye vzr lakin mwenzio anawaza namna ya kukutawala ili ufanye vile anavyotaka yeye na wanaume wengi wamepoteza mamlaka zao kwny familia kwasababu za kuchukulia easy mambo Leo mke kaamua hili unakubali au kunyamaza kesho lile umenyamaza at last hutomuweza Tena na ukithubutu kumdhibiti wakati umeshafanya uzembe Bs tegemea kurushiana maneno na kupgana Dawa ni kumdhibiti Kwa lolote unaloona haliko sawa bila kujari nn kitatokea inshu udhibiti wa Hilo jambo kwanza Bs.
 
Una mambo ya kike kike
Utajua hujui nyie ni washenzi sn mnatesa sn wanaume kwasababu ya maamuzi Yao ya kuwaskiliza wapo wanaume wametengwa na ndugu zao, wazazi wao, rafiki zao kisa kuwaskiliza wake zao yaani mwanamke ndo anaamua nani aje nyumbani nani asje na nn kifanyke Nina mifano hai kbs ya ndugu zangu na marafiki Sasa nilishajiandaa vema kudhibiti upuuzi wowote ule. Ni mawili atulie au waondoke wote wawili ruksa tugawane nilivyotafuta Tampa anachotaka ila sipo Tyr kusujudu maamuzi yake over. Nyooooko eti mambo ya kike kike mamaeeeeeeeee
 
Utakuwa unamtaka huyo dogo si bure.
 
Unamruhusu vipi shemeji kuingia chumbani kwako? Kama ulikua huna nafasi ulishindwa nn kuwa na kauli za kiume ukaepusha huyo mdogo kuja umejitutumua huna lolote unaloweza na kama umeahaona huyo ulienae hapendi kwani lazima mdogo wake aendelee kukaa? Hapo hujaoa ukioa si ndio utakua kiherehere utake kuleta familia nzima mjini. Balance shobo mzee huwezi saidia kila mtu
Atakaa na hatoondoka hapa wivu wake kwangu hauna tija kesho atakuja ndugu yangu naye atamletea ngebe vp naye nmuondoe kisa mwanamke kasema sjui nn big no sipo Tyr kashindwa kuishi na Mdogo wake Bs hawezi kuishi na Mimi Wala ndugu yangu. Chumba chumba nn Kuna nn Cha kuiba chumbani haya makitu tutayaacha hapa hapa duniani tutakuwa maiti SI mambo ya kumzuilia mtu wanawake ni hatari ndo Hawa Hawa wanaishi na watoto wa watu mabinti wa kazi wanawanyanyasa mpk kula maugari tu as if watazkwa nayo shaaabashiiiii
 
Utajua hujui nyie ni washenzi sn mnatesa sn wanaume kwasababu ya maamuzi Yao ya kuwaskiliza wapo wanaume wametengwa na ndugu zao, wazazi wao, rafiki zao kisa kuwaskiliza wake zao yaani mwanamke ndo anaamua nani aje nyumbani nani asje na nn kifanyke Nina mifano hai kbs ya ndugu zangu na marafiki Sasa nilishajiandaa vema kudhibiti upuuzi wowote ule. Ni mawili atulie au waondoke wote wawili ruksa tugawane nilivyotafuta Tampa anachotaka ila sipo Tyr kusujudu maamuzi yake over. Nyooooko eti mambo ya kike kike mamaeeeeeeeee
Nitajua sijui kivipi yaani? Last time i checked wewe ndo umeleta bango la kulia lia hapa.
Subiri kwanza upate nyumba kubwa ndo uweze kukaribisha wageni. Chumba chako na mkeo kiheshimiwe.
Kesho kutwa utaleta ndugu yako wa kiume na yeye awe anabadilishia nguo humo humo.
 
Ulikosea kukubali mdogo mtu aje kukaa hapo!
Sjakosea hata Mimi nimeishi kwny miji ya watu wapo walini treat vzuri wapo pia walininyanyasa ni sehemu ya maisha tu Leo unasema nimekosea ruhusu Mdogo wake kuja kesho nikileta ndugu yangu napo taonekana nimekosea tu so hakuna wema sn Kwa Hawa wanawake uspotumia vema akili na mamlaka ya mwanaume umeisha kbs kesho atakwambia hataki uje marafiki zako home kesho kutwa atasema mama Ako asiwe anakuja nyumbani kwann usiwe unamtumia tu Hela ila mama ake yeye ndo aje tu
 
Back
Top Bottom