Anatishia kunywa sumu au vidonge

Anatishia kunywa sumu au vidonge

Wakuu hamjambo....

Sasa Kuna jambo limetokea nyumbani kwangu ninaishi na mwanamke ambaye sijafunga naye ndoa lakini pia yupo Mdogo wake wa kike ambaye amekuja kujiendeleza mambo ya ushonaji.

Sasa ninapotoka asubuhi kwenda kazini Huwa ninatoka na Mdogo mtu ambaye Huwa anaelekea huko kwenye ushonaji maana tunaelekea uelekeo mmoja.

Kumbe jambo Hilo linamkwaza sana dada mtu ingawa hasemi yaani ninamaanisha dada mtu hataki niongozane na Mdogo wake.

Matokeo yake dada mtu amekuwa akipiga simu kwao kisirisiri akiongea mambo ya uwongo kuhusu Mdogo wake pamoja na Mimi lengo likiwa Mdogo wake apigiwe simu kwao kwamba aondoke hapa arudi nyumbani huko kwao kwenyewe mambo ni magumu maana ni kijijini hata dada mtu mwenyewe tu hataki kupasikia.

Niwe mkweli ninaishi nyumba ya kupanga na ndo mwaka wa 3 Toka nimeanza maisha Nina chumba na sebule Sasa Mdogo mtu alipofika sikutaka mambo mengi niliruhusu vitu vyake vyote kuwekwa chumbani na akitaka kujiandaa aingie chumbani ajiandae kasoro kulala tu. Imekuwa hivyo Toka amekuja hapa hata mwezi haujaisha.

Cha ajabu juzi dada mtu ananitumia sms anasema hataki kumuona Mdogo wake anaingia chumbani aisee nilikataa kbs nikamwambia Hilo zoezi halitafanyika maana Toka amefika hapa chumbani amekuwa akiingia mara Kwa mara na hakuna tatzo halafu Leo ghafla tu tumwambie usiingie chumbani unadhan atahisi nn pili sebuleni kumejaa hata godoro lenyewe kumtandikia tunamtandikia Kwa kujibana je vitu vyake tuvihamishie sebuleni vikae wapi nikasema hapana.

Akalalamika sana mi nikabaki na msimamo wangu. Sasa ameanzsha tabia ya kumpeleleza Mdogo wake Kila akirudi huko kwenye ushonaji kujua kama Kuna nn tumeongea na Mdogo wake au huko kwenye ushonaji mambo Yako sawa ila lengo lake anataka asikie mambo hayako sawa ili apige simu kwao kusema kwamba huyu dogo huku hakuna anachokifanya arudi home tu.

Nilipoligundua Hilo nilimpa angalizo mdogo mtu maana nimeshangaa sana huyu mwanamke mpaka simu yake ameweka password mpya ghafla wakati alikuwa hawekagi nikagundua Kuna jambo linaendelea hapa.
Jana wakati naondoka na mdogo mtu nikamwambia anipe simu yake aliponipa nilikuta sms nyingi sn za dada ake akimuhoji kama SI kumpeleleza akinizungumzia Mimi niliumia sn mbaya zaidi sms zngn zimeandikwa usku na Mimi nikiwemo ndani yaani amemchatisha Mdogo mtu sms usiku wakinizungumzia Mimi.

Nilipogundua haya yote mi nimechukua hatua za kunyamaza kimya tu siongei na mtu sjibu mtu Wala siulizi chochote Kwa mtu humu ndani na Wala sili humu ndani Wala siitikii salamu ya mtu nipo busy na mambo yangu tu.

Usiku dada mtu analia eti ye ikibidi atakunywa hata sumu au vidonge mimi skujibu.
Line za simu alizokuwa anatumia nilimsajilia Mimi nazo nimechukua maana SI ndio hizo anatumia kunizungumzia Mimi.

Na nimetoa msimamo akiondoka Mdogo mtu kisa visa vya dada ake basi nitaamini pia huyu mwanamke hawezi kuishi na ndugu yangu Wala kuishi na Mimi kama ameshindwa kuishi na Mdogo wake wa damu kwaiyo na yeye ataondoka so achague Moja.

Sasa wakuu nimekosea wapi hapo kosa langu ni lipi?
Jinsi dunia ya sasa hvi ilivyoharibika ndugu yako tu anaweza kukupindua aisee bora tusaidiane tukiwa mbali mambo yadiwe mengi.
Achana na kumtetea mdogo wa mkeo mkuu wanajuana hao ni bora ukawacha wenyewe usitie neno kama anataka kumrudisha muache aende mpeni msaada akiwa huko kijijini au mpelekeni shule ya ufundi yenye hostel.
 
Mmmh wewe una interest gani na mdogo?Kwa Nini humsikilizi mke wako?yeye ndio mwenye ndugu wewe Ina kuuma Nini akivalia sebuleni
 
Akili mbovu ndani ya akili,so uneona kupanga nyumba ni bora kulikokutafuta kujenga.
Dewji family na utajiri wotee ule wanaishi nyumba ya kupanga Upanga.
Gulam Dewji baba wa Moh, Hassan, Fatema, Husein na wengine.

Kapanga huku ana utajiri wa Tril za kutosha.

Hiyo mil 45 ya kujenga Bora niwekeze kwa kukuza biashara yangu na ile faida NILIPIE KODI.

#YNWA
 
Mkuu yaani ile kiukweli kabisa HUYO MDOGO MTU UMEMTAFUNA, kama sio kataa nipo pale nakunywa flying fish.
 
Ila umenichekesha ulivyoamua kuzira kula nyumbani na kutoongea na mtu? Vipi papuchi unapiga au nayo umeizira?
 
Wakuu hamjambo....

Sasa Kuna jambo limetokea nyumbani kwangu ninaishi na mwanamke ambaye sijafunga naye ndoa lakini pia yupo Mdogo wake wa kike ambaye amekuja kujiendeleza mambo ya ushonaji.

Sasa ninapotoka asubuhi kwenda kazini Huwa ninatoka na Mdogo mtu ambaye Huwa anaelekea huko kwenye ushonaji maana tunaelekea uelekeo mmoja.

Kumbe jambo Hilo linamkwaza sana dada mtu ingawa hasemi yaani ninamaanisha dada mtu hataki niongozane na Mdogo wake.

Matokeo yake dada mtu amekuwa akipiga simu kwao kisirisiri akiongea mambo ya uwongo kuhusu Mdogo wake pamoja na Mimi lengo likiwa Mdogo wake apigiwe simu kwao kwamba aondoke hapa arudi nyumbani huko kwao kwenyewe mambo ni magumu maana ni kijijini hata dada mtu mwenyewe tu hataki kupasikia.

Niwe mkweli ninaishi nyumba ya kupanga na ndo mwaka wa 3 Toka nimeanza maisha Nina chumba na sebule Sasa Mdogo mtu alipofika sikutaka mambo mengi niliruhusu vitu vyake vyote kuwekwa chumbani na akitaka kujiandaa aingie chumbani ajiandae kasoro kulala tu. Imekuwa hivyo Toka amekuja hapa hata mwezi haujaisha.

Cha ajabu juzi dada mtu ananitumia sms anasema hataki kumuona Mdogo wake anaingia chumbani aisee nilikataa kbs nikamwambia Hilo zoezi halitafanyika maana Toka amefika hapa chumbani amekuwa akiingia mara Kwa mara na hakuna tatzo halafu Leo ghafla tu tumwambie usiingie chumbani unadhan atahisi nn pili sebuleni kumejaa hata godoro lenyewe kumtandikia tunamtandikia Kwa kujibana je vitu vyake tuvihamishie sebuleni vikae wapi nikasema hapana.

Akalalamika sana mi nikabaki na msimamo wangu. Sasa ameanzsha tabia ya kumpeleleza Mdogo wake Kila akirudi huko kwenye ushonaji kujua kama Kuna nn tumeongea na Mdogo wake au huko kwenye ushonaji mambo Yako sawa ila lengo lake anataka asikie mambo hayako sawa ili apige simu kwao kusema kwamba huyu dogo huku hakuna anachokifanya arudi home tu.

Nilipoligundua Hilo nilimpa angalizo mdogo mtu maana nimeshangaa sana huyu mwanamke mpaka simu yake ameweka password mpya ghafla wakati alikuwa hawekagi nikagundua Kuna jambo linaendelea hapa.
Jana wakati naondoka na mdogo mtu nikamwambia anipe simu yake aliponipa nilikuta sms nyingi sn za dada ake akimuhoji kama SI kumpeleleza akinizungumzia Mimi niliumia sn mbaya zaidi sms zngn zimeandikwa usku na Mimi nikiwemo ndani yaani amemchatisha Mdogo mtu sms usiku wakinizungumzia Mimi.

Nilipogundua haya yote mi nimechukua hatua za kunyamaza kimya tu siongei na mtu sjibu mtu Wala siulizi chochote Kwa mtu humu ndani na Wala sili humu ndani Wala siitikii salamu ya mtu nipo busy na mambo yangu tu.

Usiku dada mtu analia eti ye ikibidi atakunywa hata sumu au vidonge mimi skujibu.
Line za simu alizokuwa anatumia nilimsajilia Mimi nazo nimechukua maana SI ndio hizo anatumia kunizungumzia Mimi.

Na nimetoa msimamo akiondoka Mdogo mtu kisa visa vya dada ake basi nitaamini pia huyu mwanamke hawezi kuishi na ndugu yangu Wala kuishi na Mimi kama ameshindwa kuishi na Mdogo wake wa damu kwaiyo na yeye ataondoka so achague Moja.

Sasa wakuu nimekosea wapi hapo kosa langu ni lipi?
Hawa viumbe uwawekee msimamo mapema vinginevyo utaaibika sana humu duniani.

Ninarudia tena,oeni wanawake wenye akili na sio mitako mikubwa
 
Anajitafutia tuu laana katika kizazi chake, kula ndugu wa tumbo moja jamani. Wanaume sijui wana shida gani aisee alivyoshupaza shingo hapa kutukana watu wanaomshauri kumbe fisi maji mkubwa.
Lipo radhi mkewe aondoke kisa nyau ya mdogo mtu halafu mwisho wa siku anawaachia ugomvi usioisha wanafamilia kwa tamaa zake za kipumbavu. We choosen nyoko acha ujinga
 
Nalirudia Tena Hili, mara nyingine nitawakung'uta Makofi nyie msiosikia.

Sio kila anaekojoa kasimama ni MWANAUME wa kuwa Mumeo na Baba wa Familia yenu .
 
Kuna watu / ndugu ukiwakaribisha kwako wanakuja kukupindua ...

Mtoa mada na mdogo mtu wanatafuta namna ya kumwondoa mke ambaye ni dada yake kwa njia yoyote ile hata mauaji.

Kama unajipenda na kabla haujafikia huko , hakikisha umemrudisha huyo dada yake na ubaki na mdogo wake...

Akili unazotumia wewe si za kwako bali ni akili ulizopewa na huyo mdogo mtu na ulivyo wa ajabu unakuja kuanika mipango yenu JF?
 
Mkuu mdogo mtu una nia nae! Tuseme tu ukweli yan unamchukia mkeo kisa mdogo mtu?!!
Una matatizo pahala asee
 
Tatizo liko kwako sio mwanamke. Wewe sio mtetezi wa ndugu zake against her. Hukuoa ndugu zake ulioa huyo mke wako

Unaonekana una agenda binafsi ana wasiwasi
Thread ifungwe. Huyo mke wake ana akili sana na bila shaka anajua udhaifu wa mume wake na mdogo wake pia. Haiwezekani mke wako akuhisi jambo kama hili from no where. Halafu wewe ni zao la uswazi. Inaonekana umezaliwa na kukulia na unaishi maisha ya kiswazi. Huko ndiko ndugu wa kike wanaweza kutafunwa na mtu mmoja na wasione tatizo.
 
Mwanangu huna akili yaani umpishe shemeji avalie chumbani.

Ungemwachia sebule ilimtosha, anakoogea avalie huko huko

Yanini kubeba majukumu mengi huku pesa za kupanga hata vyumba vitatu hauna?

Kwani huko kwao ameshindwa kusoma hiyo cherehani?

Huyo mkeo akomae vinginevyo hana ndoa, nina experience.
Haya ni maisha ya watu uswazi ndiko hakuna miiko. Ndiko kwenye changanya changanya kama hizi. Huko mtu anaweza ''kupiga'' demu na hata wadogo zake wawili na wakaona ni kawaida. Tena unakuta kabisa demu na dada yake wanagombea mwanamme mmoja
 
Back
Top Bottom