Anatishia kunywa sumu au vidonge

Anatishia kunywa sumu au vidonge

Naona unaongea pumba tu hujui Kuna watu wanaishi na WA dada wa kazi hao ndo wanabaki na watoto Tena wadogo sn ndo wanafanya usafi mpka chumbani na kulaza watoto wanaachiwa Kila kitu kuanzia asbh mpaka usku. Je kuingia kwao huko chumbani kumepunguza nn
Ukiona dada wa kazi anafanya usafi chumbani kwako na unaishi na mwanamke basi nyie wote ni wanawake mwanaume anajulikana kwa misimamo ambayo ww huna kama ulikua hutaki kuwa mwanaume ungesema mapema
 
Wakuu hamjambo....

Sasa Kuna jambo limetokea nyumbani kwangu ninaishi na mwanamke ambaye sijafunga naye ndoa lakini pia yupo Mdogo wake wa kike ambaye amekuja kujiendeleza mambo ya ushonaji.

Sasa ninapotoka asubuhi kwenda kazini Huwa ninatoka na Mdogo mtu ambaye Huwa anaelekea huko kwenye ushonaji maana tunaelekea uelekeo mmoja.

Kumbe jambo Hilo linamkwaza sana dada mtu ingawa hasemi yaani ninamaanisha dada mtu hataki niongozane na Mdogo wake.

Matokeo yake dada mtu amekuwa akipiga simu kwao kisirisiri akiongea mambo ya uwongo khs Mdogo wake pamoja na Mimi lengo likiwa Mdogo wake apigiwe simu kwao kwamba aondoke hapa arudi nyumbani huko kwao kwenyewe mambo ni magumu maana ni kijijini hata dada mtu mwenyewe tu hataki kupasikia.

Niwe mkweli ninaishi nyumba ya kupanga na ndo mwaka wa 3 Toka nimeanza maisha Nina chumba na sebule Sasa Mdogo mtu alipofika sikutaka mambo mengi niliruhusu vitu vyake vyote kuwekwa chumbani na akitaka kujiandaa aingie chumbani ajiandae kasoro kulala tu. Imekuwa hivyo Toka amekuja hapa hata mwezi haujaisha.

Cha ajabu juzi dada mtu ananitumia sms anasema hataki kumuona Mdogo wake anaingia chumbani aisee nilikataa kbs nikamwambia Hilo zoezi halitafanyika maana Toka amefika hapa chumbani amekuwa akiingia mara Kwa mara na hakuna tatzo halafu Leo ghafla tu tumwambie usiingie chumbani unadhan atahisi nn pili sebuleni kumejaa hata godoro lenyewe kumtandikia tunamtandikia Kwa kujibana je vitu vyake tuvihamishie sebuleni vikae wapi nikasema hapana.

Akalalamika sana mi nikabaki na msimamo wangu. Sasa ameanzsha tabia ya kumpeleleza Mdogo wake Kila akirudi huko kwny ushonaji kujua kama Kuna nn tumeongea na Mdogo wake au huko kwenye ushonaji mambo Yako sawa ila lengo lake anataka asikie mambo hayako sawa ili apige simu kwao kusema kwamba huyu dogo huku hakuna anachokifanya arudi home tu.

Nilipoligundua Hilo nilimpa angalizo mdogo mtu maana nimeshangaa sana huyu mwanamke mpaka simu yake ameweka password mpya ghafla wakati alikuwa hawekagi nikagundua Kuna jambo linaendelea hapa.
Jana wakati naondoka na mdogo mtu nikamwambia anipe simu yake aliponipa nilikuta sms nyingi sn za dada ake akimuhoji kama SI kumpeleleza akinizungumzia Mimi niliumia sn mbaya zaidi sms zngn zimeandikwa usku na Mimi nikiwemo ndani yaani amemchatisha Mdogo mtu sms usku wakinizungumzia Mimi.

Nilipogundua haya yote mi nimechukua hatua za kunyamaza kimya tu siongei na mtu sjibu mtu Wala siulizi chochote Kwa mtu humu ndani na Wala sili humu ndani Wala siitikii salamu ya mtu nipo busy na mambo yangu tu.

Usku dada mtu analia eti ye ikibidi atakunywa hata sumu au vidonge mi skujibu.
Line za simu alizokuwa anatumia nilimsajilia Mimi nazo nimechukua maana SI ndo hzo anatumia kunizungumzia Mimi.

Na nimetoa msimamo akiondoka Mdogo mtu kisa visa vya dada ake basi nitaamini pia huyu mwanamke hawezi kuishi na ndugu yangu Wala kuishi na Mimi kama ameshindwa kuishi na Mdogo wake wa damu kwaiyo na yeye ataondoka so achague Moja.

Sasa wakuu nimekosea wapi hapo kosa langu ni lipi?
Kama uko Dar mlete akae kwangu Kuna chumba Kiko empty hapa utapunguza hiyo misuguano
 
Kuna kitu hakiko sawa kichwani mwako,mamlaka au heshima haiji kwakuforce na kusimamia misimamo isiyo na akili,unaonaje ulete mdogo wako wa kiume aje muishi nae uwe unatoka unawaacha hm na mkeo afu wenyewe wawe benet hata gengeni wasindikizane..!
Acha utoto
Ukapimwe uwezo wa ubongo wako haraka sana umekaribia kuwa tahira
 
Watu wa JF wamejaa roho mbaya na husda. Ukisoma maandiko yote hapa, utafahamu kuwa wote wana nafsi zilizojaa takataka na mawazo hasi.

Kwanza, mimi nikupongeze. Una msimamo wa kiume na hupaswi kuyumbishwa. Simamia kile unachokiamini kuwa ni sahihi.

Pili, kama nia yako ni njema, humtetei shemeji yako kwa sababu una tamaa naye au malengo ya kuwa na mahusiano naye, basi nakuombea Mungu na akubariki. Lazima ujiweke katika nafasi ya unayemtendea hivyo.

Je, ungelikuwa wewe ndiye binti hakuna kinachoendelea baina yenu alafu kesho ufukuzwe na kukatishwa mafunzo yako kwa husda tu za nduguyo ungejisikiaje? Ni ndugu wangapi ambao hawapendi maendeleo ya wenzake?

Kama mkeo ana wasiwasi, kwa nini asiseme hadharani na badala yake anamkaba nduguye?

Tatu, acha kununa. Zungumza kwa misimamo. Mpe simu yake aendelee na mawasiliano.

Nne, wapigie wazazi wao. Waeleze moja mbili tatu. Wao wataona namna njema ya kuondoa hiyo sintofahamu.

Tano, kama uwezo upo basi fanya mipango umpangie huyo shemeji yako. Acha kusindikizana naye.

Kila la kheri Mkuu.
Moja. Sjamnyang'anya simu ila nimechukua line zangu akasajiri za kwake.
Pili. Nilishamwambia live siku nduguye akiondoka Kwa figisu zake naye ataondoka Bs.
Tatu. Kuongozana na nduguye ni muhimu kwani Bado ni mgeni na anakofanyia mafunzo Pana umbali na ndiko nakopita na muda anaotoka ndiyo na Mimi natoka muda huohuo.
Nne. Ni hatari sn kukubali matakwa ya mwanamke at last mbele ya safari ataleta mambo mengi ikiwa unapitisha tu tegemea kuwa chini yake.
Tano. Sjanuna ila nataka nimpe darasa tu kidogo maana kunyamaza kimya Nako ni jibu kubwa sana kuliko kupaza sauti.
SITA. Kuwapgia nduguze siwez ila wao watajijua huko na huyo anayewapgia simu kumnanga nduguye ila sku wakimuona anayepgwa vita pia watamuona mpiga vita Bs.
 
Umeshindwa kusimama kama mwanaume dhidi ya mke wako... muite sehemu au mtoe mtoko wa Jioni mkakae sehemu msikilize hofu yake ni nini. Ruhusu moyo wake ukaamini ili hata akikuona na mke mwingine asipate presha, mwanaume ni mshauri, kichwa cha familia, kiongozi wa familia, mtatuzi wa migogoro nyumbani na ni msuruhishi, inatakiwa umsikilize mke wako hata kama hujalipa chochote na kama huna mpango nae mwambie kuwa humpendi ila unampenda mdogo wake..
Kosa kubwa utakalofanya ni kuruhusu tamaa ya ngono kutembea na mdogo mtu ukifikiri kuwa unatatua matatizo yako, hiyo itakuwa ni tabia yako ya kudumu miaka na miaka, epuka sana tamaa za aina hii, pia jitahidi sana mpenzi wako awe na imani na wewe, usijenge uadui kwa ndugu zake au usababishe achukie mdogo wake.
Jitahidi sana tena sana mpenzi wako yeyote yule awe na imani na wewe, tunaishi ili kufanya tunaoishi nao wawe na imani nasi, furaha na amani, lazima tuoneshe upendo na utu kwa watu wanaotuzunguka na siyo kiburi na dharau..
 
Hao ni ndugu wa damu wewe ni wakuja katika maisha yao, mkeo ameishaiona kasoro wewe unashupaza shingo kwa kuwa unahisi anakuhisi ndivyo sivyo....amini kuwa mwishoni wataungana na utabaki huna pa kushika.
Swala la ndugu zako ama wake hilo liweke pembeni maana haushi kwa ajili ya ndugu iapokuwa kwa family yako! Mie ninachokiona katika majibu yako ni kuwa umeishamchoka huyu mwanamke na unahisi ushampenda mdogo mtu....nguvu unazotumia kumtetea zitazaa mahusiano lakini hayatodumu pia maana nae ana madhaifu ...unachopanda utavuna hicho
 
Huwa nasema siku zote ni nafuu kuishi na ndg wa karibu wa mume kuliko ndugu zangu hasa katika upande huu wa kulana, ndg wa mke sio haramu kwa mume
 
Huwa nasema siku zote ni nafuu kuishi na ndg wa karibu wa mume kuliko ndugu zangu hasa katika upande huu wa kulana, ndg wa mke sio haramu kwa mume
Ni sawa but siwez kumkula bhana kweli Tena bt nikitaka kumkula naweza kumkula na Wala nisiwe naongozana naye kbs.
 
1. Kuhusu kuzuia mdogo wake asiingie chumbani, huna sababu ya kukataa. Mwambie amwambie yeye mwenyewe. Wewe usihusike.
2. Acha kuongozana na mdogo wake. Kila mtu aondoke kivyake. Hilo pia linakushinda?
3. Acha mawasiliano ya karibu na mdogo wake. Kushika shika simu ya mdogo wake ya nini? Kufuatilia mazungumzo yao ya nini? Kua mwanaume, fanya yako.
4. Wanawake ni territorial na hawamuamini mwanamke mwingine yoyote kua karibu na mume wake na wanajua kwamba wanaume ni washenzi hawachukui muda kuwatafuna hao wanawake. Hivyo ana haki ya kujilinda dhidi ya mdogo wake.
5. Muombee mdogo wa mke wako sehemu ya kulala, kama unaishi na majirani vizuri huwezi kukosa jirani ambae ana nyumba yenye nafasi ukamuombea dogo mahala pa kulala mkapunguza misuguano.
6. Unaonekana uko interested na dogo, basi mpangie mtaa mwingine ili umchakate bila kipingamizi.

7. Endelea kupambana mkuu, one day utamiliki nyumba kubwa, yenye nafasi na utakaribisha wageni zaidi nyumbani kwako. Unaonekana una roho nzuri ya kibinadamu.
 
Huyo mwanamke nipumbavu
Alijua hali ya bwanake kimaisha ni duni
Unaleta ndugu wengine nyumbani kwake wa nn?
Halafu asema hamtaki nduguye
Ngoja jamaa amt.ombepo🤣na mdogo wake,na mwingine atakayeletwa hapo kwenye chumba na sebule ataliwa
 
Back
Top Bottom