Anatishia kunywa sumu au vidonge

Anatishia kunywa sumu au vidonge

Tatizo liko kwako sio mwanamke. Wewe sio mtetezi wa ndugu zake against her. Hukuoa ndugu zake ulioa huyo mke wako

Unaonekana una agenda binafsi ana wasiwasi
Ndo ukweli wenyewee huu hapa.
 
Wewe ndie una mamalaka ya kulaani?? Hebu nenda kasome kumbukumbu la torati 27: 23 "Na alaaniwe alalaye na mkwewe, mamaye mkewe. Na watu wote waseme, Amina."

Mimi sikulaani na sina nguvu hiyo ila Mungu alishakataza kulala na mkwe wako shemeji yako katoka ukweni kwako. Hebu badirika muheshimu mkeo kama ni umalaya kafanyie mbali huko nje ya nyumba yako.
Kwenda zako achana na mambo yng ukute ww ni shetani zaidi kwny matukio lakin hapa unajiona Malaika
 
Kosa lako hapo huna hela.

Tafuta hela ndio suluhisho la matatizo yako.

Ungekuwa na pesa ungeweza kupanga nyumba yenye vyumba vya kutosha na ingesaidia hata huyo binti naye kuwa na chumba chake hivyo migogoro midogo midogo kama hiyo isingekuwepo.
Hela ninazo za kunitosha na family yng na sku zote Hela haijawahi kutosha kwaiyo wenye nyumba kubwa ndo Wana Hela
 
SI huyu na huyu alishaondoka alipata kz Kwa mtu sku nyng sn. Sasa huyu aliyepo ni Mdogo wake na huyu Kwa umri wake huyu siwez kutembea naye
Asante Kwa ufafanuzi....msiwe mnaandika vitu mitandaoni mitandao haisahau
 
Tatizo liko kwako sio mwanamke. Wewe sio mtetezi wa ndugu zake against her. Hukuoa ndugu zake ulioa huyo mke wako

Unaonekana una agenda binafsi ana wasiwasi
Wewe kwa nini ulikula mzigo wa shemeji yako kimasihara? Mpangishie chumba cha 20k aondoke hapo
 
Hela ninazo za kunitosha na family yng na sku zote Hela haijawahi kutosha kwaiyo wenye nyumba kubwa ndo Wana Hela
Huna hela ndo maana mmejazana kwenye stoo .

Tafuta hela kijana umasikini utazidi kukupelekesha na kukudhalilisha zaidi ya hapo.
 
Kwenda zako achana na mambo yng ukute ww ni shetani zaidi kwny matukio lakin hapa unajiona Malaika
Mimi ni shetani ila sijafikia kiwango cha kutaka kulala na kaka wala mdogo wake mume wangu, nimekushauri vizuri kama umalaya kafanyie mbali huko ila sio kwa ndugu wa mke wako ni laana unajifanya kushupaza kichwa hapa.
Huko nje kuna wanawake kibao ukalale na shemeji yako kweli are you normal???
 
kachumba na sebulee anasema ana helaa za kutosha yeye na familiaa yakee 😅 😅 😅
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mbaya zaidi wana share chumba yeye na shemeji yake.

Maana hapo inaweza ikatokea siku akaingia chumbani ghafla akamkuta shemeji yake uchi , unategemea nini sasa hapo.
 
Wakuu hamjambo....

Sasa Kuna jambo limetokea nyumbani kwangu ninaishi na mwanamke ambaye sijafunga naye ndoa lakini pia yupo Mdogo wake wa kike ambaye amekuja kujiendeleza mambo ya ushonaji.

Sasa ninapotoka asubuhi kwenda kazini Huwa ninatoka na Mdogo mtu ambaye Huwa anaelekea huko kwenye ushonaji maana tunaelekea uelekeo mmoja.

Kumbe jambo Hilo linamkwaza sana dada mtu ingawa hasemi yaani ninamaanisha dada mtu hataki niongozane na Mdogo wake.

Matokeo yake dada mtu amekuwa akipiga simu kwao kisirisiri akiongea mambo ya uwongo kuhusu Mdogo wake pamoja na Mimi lengo likiwa Mdogo wake apigiwe simu kwao kwamba aondoke hapa arudi nyumbani huko kwao kwenyewe mambo ni magumu maana ni kijijini hata dada mtu mwenyewe tu hataki kupasikia.

Niwe mkweli ninaishi nyumba ya kupanga na ndo mwaka wa 3 Toka nimeanza maisha Nina chumba na sebule Sasa Mdogo mtu alipofika sikutaka mambo mengi niliruhusu vitu vyake vyote kuwekwa chumbani na akitaka kujiandaa aingie chumbani ajiandae kasoro kulala tu. Imekuwa hivyo Toka amekuja hapa hata mwezi haujaisha.

Cha ajabu juzi dada mtu ananitumia sms anasema hataki kumuona Mdogo wake anaingia chumbani aisee nilikataa kbs nikamwambia Hilo zoezi halitafanyika maana Toka amefika hapa chumbani amekuwa akiingia mara Kwa mara na hakuna tatzo halafu Leo ghafla tu tumwambie usiingie chumbani unadhan atahisi nn pili sebuleni kumejaa hata godoro lenyewe kumtandikia tunamtandikia Kwa kujibana je vitu vyake tuvihamishie sebuleni vikae wapi nikasema hapana.

Akalalamika sana mi nikabaki na msimamo wangu. Sasa ameanzsha tabia ya kumpeleleza Mdogo wake Kila akirudi huko kwenye ushonaji kujua kama Kuna nn tumeongea na Mdogo wake au huko kwenye ushonaji mambo Yako sawa ila lengo lake anataka asikie mambo hayako sawa ili apige simu kwao kusema kwamba huyu dogo huku hakuna anachokifanya arudi home tu.

Nilipoligundua Hilo nilimpa angalizo mdogo mtu maana nimeshangaa sana huyu mwanamke mpaka simu yake ameweka password mpya ghafla wakati alikuwa hawekagi nikagundua Kuna jambo linaendelea hapa.

Jana wakati naondoka na mdogo mtu nikamwambia anipe simu yake aliponipa nilikuta sms nyingi sn za dada ake akimuhoji kama SI kumpeleleza akinizungumzia Mimi niliumia sn mbaya zaidi sms zngn zimeandikwa usku na Mimi nikiwemo ndani yaani amemchatisha Mdogo mtu sms usiku wakinizungumzia Mimi.

Nilipogundua haya yote mi nimechukua hatua za kunyamaza kimya tu siongei na mtu sjibu mtu Wala siulizi chochote Kwa mtu humu ndani na Wala sili humu ndani Wala siitikii salamu ya mtu nipo busy na mambo yangu tu.

Usiku dada mtu analia eti ye ikibidi atakunywa hata sumu au vidonge mimi skujibu.

Line za simu alizokuwa anatumia nilimsajilia Mimi nazo nimechukua maana SI ndio hizo anatumia kunizungumzia Mimi.

Na nimetoa msimamo akiondoka Mdogo mtu kisa visa vya dada ake basi nitaamini pia huyu mwanamke hawezi kuishi na ndugu yangu Wala kuishi na Mimi kama ameshindwa kuishi na Mdogo wake wa damu kwaiyo na yeye ataondoka so achague Moja.

Sasa wakuu nimekosea wapi hapo kosa langu ni lipi?
Yahe weye wataka kula mzigo atii acha usanii amii wataka kula kuku na mayai yaje.yahe uyo shemu ana chura weka picha nikushauli vyema yahe.karibu chake chake amii
 
Hata kama unajal ndugu we umezid jaman,yaan unamjal shemej kuliko mkeo mmmh hapana
 
Kwa hakika KUNA JAMBO KATI YAKO NA MADOGO WAKE, kama halipo LAJA!!! usimfanyie mke wako hivyo!!! Mdogo wake ni mwanamke kama YEYE kuna hatari ukatembea Naye ukaharibu ndoa yenu na UKAMHARIBIA mahusiano yake na mdogo wake!!!!!

Wewe mwanaume una ROHO CHAFU!!! Cha kufanya kuwa muungwana, mruhusu aende kazini au chuoni kwake kwa muda wake, apunguze kuingia ndani kwenu hasa nyakati ukiwepo nyumbani na acha mambo yao wafanye wenyewe wewe usiingilie!!!!

Kaa mbali na mdogo wake!!!! Mpaka ANAKUPA simu yake unaangalia sms za mke wako alizomtumia maana yake yupo tayari kumsaliti dada yake kwa ajili yako!!! HUELEWI TU?????

unakagua vipi simu ya binti na wewe ni SHEMEJI yake???? Huelewi tu???

Dada yake ameshajua mnakoelekea kama ni bado!!! Please usimfanyie hivyo!!! Kuwa mume na baba wa familia!!!

Mpaka dada ake anakukataza ukaribu na mdogo wake means ww una interest nae au yy ameanza kuwa na interest na ww,ss wanawake tumejaaliwa uwezo wa kujua mtu anayezidisha mazoea trust me
 
Atakaa na hatoondoka hapa wivu wake kwangu hauna tija kesho atakuja ndugu yangu naye atamletea ngebe vp naye nmuondoe kisa mwanamke kasema sjui nn big no sipo Tyr kashindwa kuishi na Mdogo wake Bs hawezi kuishi na Mimi Wala ndugu yangu. Chumba chumba nn Kuna nn Cha kuiba chumbani haya makitu tutayaacha hapa hapa duniani tutakuwa maiti SI mambo ya kumzuilia mtu wanawake ni hatari ndo Hawa Hawa wanaishi na watoto wa watu mabinti wa kazi wanawanyanyasa mpk kula maugari tu as if watazkwa nayo shaaabashiiiii
Sasa umekuja kuomba ushaur gani c ungekaa na uzi wako, wew ni kichaa unataka kuchanganya ndugu
 
Back
Top Bottom