Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 21,709
- 51,135
Aisee kafanikiwa Kwa kiwango Kikubwa sana!Aiseeeee.
Yaani hata mwandiko wake tu ulionyesha anampenda shemeji anataka kumla

Wewe ndio chanzo, na hauwezi kukwepa hili. Wewe huna uchungu kwa hiyo mdogo wa mpenzi wako zaidi ya dada mtu mwemyewe. Yeye ndio anauchungu naye sana, sasa wewe chakuingilia nini, siutulie kwani ungeguswa bobu. Ningekuona una akili kama ungejitathmini hali yako tangu mwanzoni na kujua huwezi kuhost a guest nyumbani kwako sababu mazingira hayaruhusu. Pia ungekuwa na akili kama ungejua kuwa no one, awe mwanamke au mwanaume asingependa mwenza wake kuongozona na mdogo wake wakike au wakiume kila siku, it raises more questions than utoshelevu. Sasa umeshazileta insecurities zake na ungeweza kuzizuia na kuziepuka. Ndoa kwako bado bobu, unawaza kama upo single kumbe upo na mtu ambaye katika maisha yako unatakiwa kuishi bila kuziinua hisia za kutokukuaminiana hata mara moja maana penzi litaharibika. Think before you act! Ina apply to both men and women ila kwa hapa ni special kwako maana ndie uliezingua.Wakuu hamjambo....
Sasa Kuna jambo limetokea nyumbani kwangu ninaishi na mwanamke ambaye sijafunga naye ndoa lakini pia yupo Mdogo wake wa kike ambaye amekuja kujiendeleza mambo ya ushonaji.
Sasa ninapotoka asubuhi kwenda kazini Huwa ninatoka na Mdogo mtu ambaye Huwa anaelekea huko kwenye ushonaji maana tunaelekea uelekeo mmoja.
Kumbe jambo Hilo linamkwaza sana dada mtu ingawa hasemi yaani ninamaanisha dada mtu hataki niongozane na Mdogo wake.
Matokeo yake dada mtu amekuwa akipiga simu kwao kisirisiri akiongea mambo ya uwongo kuhusu Mdogo wake pamoja na Mimi lengo likiwa Mdogo wake apigiwe simu kwao kwamba aondoke hapa arudi nyumbani huko kwao kwenyewe mambo ni magumu maana ni kijijini hata dada mtu mwenyewe tu hataki kupasikia.
Niwe mkweli ninaishi nyumba ya kupanga na ndo mwaka wa 3 Toka nimeanza maisha Nina chumba na sebule Sasa Mdogo mtu alipofika sikutaka mambo mengi niliruhusu vitu vyake vyote kuwekwa chumbani na akitaka kujiandaa aingie chumbani ajiandae kasoro kulala tu. Imekuwa hivyo Toka amekuja hapa hata mwezi haujaisha.
Cha ajabu juzi dada mtu ananitumia sms anasema hataki kumuona Mdogo wake anaingia chumbani aisee nilikataa kbs nikamwambia Hilo zoezi halitafanyika maana Toka amefika hapa chumbani amekuwa akiingia mara Kwa mara na hakuna tatzo halafu Leo ghafla tu tumwambie usiingie chumbani unadhan atahisi nn pili sebuleni kumejaa hata godoro lenyewe kumtandikia tunamtandikia Kwa kujibana je vitu vyake tuvihamishie sebuleni vikae wapi nikasema hapana.
Akalalamika sana mi nikabaki na msimamo wangu. Sasa ameanzsha tabia ya kumpeleleza Mdogo wake Kila akirudi huko kwenye ushonaji kujua kama Kuna nn tumeongea na Mdogo wake au huko kwenye ushonaji mambo Yako sawa ila lengo lake anataka asikie mambo hayako sawa ili apige simu kwao kusema kwamba huyu dogo huku hakuna anachokifanya arudi home tu.
Nilipoligundua Hilo nilimpa angalizo mdogo mtu maana nimeshangaa sana huyu mwanamke mpaka simu yake ameweka password mpya ghafla wakati alikuwa hawekagi nikagundua Kuna jambo linaendelea hapa.
Jana wakati naondoka na mdogo mtu nikamwambia anipe simu yake aliponipa nilikuta sms nyingi sn za dada ake akimuhoji kama SI kumpeleleza akinizungumzia Mimi niliumia sn mbaya zaidi sms zngn zimeandikwa usku na Mimi nikiwemo ndani yaani amemchatisha Mdogo mtu sms usiku wakinizungumzia Mimi.
Nilipogundua haya yote mi nimechukua hatua za kunyamaza kimya tu siongei na mtu sjibu mtu Wala siulizi chochote Kwa mtu humu ndani na Wala sili humu ndani Wala siitikii salamu ya mtu nipo busy na mambo yangu tu.
Usiku dada mtu analia eti ye ikibidi atakunywa hata sumu au vidonge mimi skujibu.
Line za simu alizokuwa anatumia nilimsajilia Mimi nazo nimechukua maana SI ndio hizo anatumia kunizungumzia Mimi.
Na nimetoa msimamo akiondoka Mdogo mtu kisa visa vya dada ake basi nitaamini pia huyu mwanamke hawezi kuishi na ndugu yangu Wala kuishi na Mimi kama ameshindwa kuishi na Mdogo wake wa damu kwaiyo na yeye ataondoka so achague Moja.
Sasa wakuu nimekosea wapi hapo kosa langu ni lipi?
Hajakujaribu hapo, maana hilo swala linamuumiza yeye kuliko wewe. Acheni kuingiza mambo ya masculinity ego kwenye kila kitu. Vingine havihusiani na ni upumbavu.Huo umuhimu haupo kwng ikiwa atashindwa kuishi na ndugu yake je ndugu yangu itakuaje? Npo Tyr tuachane na waondoke wote wawili ila sipo Tyr kufata masharti yake wanawake ni nyoka na Wana majaribu sn akikujaribu ukajaribika Bs tegemea kesho Hilo jaribu kukugharimu sn kesho tamleta ndugu yangu SI ndo yatamkuta makubwa sana kwaiyo nitasimamia ninachokiamini tu SI kile anachokiamini huyu mwanamke over
Wala hajashindwa, ila mazingira yakumfanya aishi na ndugu yake siwezeshi. Tuache kuoverthink kwavitu ambavyo logic itaviondoa kabla hata haujafika mbali. Akili mtu wangu, kwani mwanamke yeye hana wivu. Mke anamuonea wivu hata mama yake mzazi mbele ya mume wake sembuse mdogo wake. Tuache kujifanya waelewa wa maisha ya familia zao kuliko wao wenyewe.Jambo fikirishi hapo ni kwamba kama kashindwa kuishi na ndugu yake itakuaje siku akija ndugu yako?
Wewe kwa mazingira unayoishi unavyoona unaweza kukaribisha wageni wakulala nyumbani kwako kwasasa. Akili za vijana ni ujinga sana, kutwa kushindana na mwanamke in non-sensical things.Sjakosea hata Mimi nimeishi kwny miji ya watu wapo walini treat vzuri wapo pia walininyanyasa ni sehemu ya maisha tu Leo unasema nimekosea ruhusu Mdogo wake kuja kesho nikileta ndugu yangu napo taonekana nimekosea tu so hakuna wema sn Kwa Hawa wanawake uspotumia vema akili na mamlaka ya mwanaume umeisha kbs kesho atakwambia hataki uje marafiki zako home kesho kutwa atasema mama Ako asiwe anakuja nyumbani kwann usiwe unamtumia tu Hela ila mama ake yeye ndo aje tu
Achana na mahusiano huyawezi. Wewe umeyafanya kuwa kama vita, mtashindwana na kila mwanamke nakuhakikishia.Vyovyote ni sawa tu mwanamke ukimchekea umeisha wanaanzaga kama mzaha ivi na mambo madogo madogo tu
Kwa hiyo wewe umekubali na uanaume wako kupelekeshwa na hisia za mke wako pamoja na mdogo wake kisa huruma yako sio?Wakuu hamjambo....
Sasa Kuna jambo limetokea nyumbani kwangu ninaishi na mwanamke ambaye sijafunga naye ndoa lakini pia yupo Mdogo wake wa kike ambaye amekuja kujiendeleza mambo ya ushonaji.
Sasa ninapotoka asubuhi kwenda kazini Huwa ninatoka na Mdogo mtu ambaye Huwa anaelekea huko kwenye ushonaji maana tunaelekea uelekeo mmoja.
Kumbe jambo Hilo linamkwaza sana dada mtu ingawa hasemi yaani ninamaanisha dada mtu hataki niongozane na Mdogo wake.
Matokeo yake dada mtu amekuwa akipiga simu kwao kisirisiri akiongea mambo ya uwongo kuhusu Mdogo wake pamoja na Mimi lengo likiwa Mdogo wake apigiwe simu kwao kwamba aondoke hapa arudi nyumbani huko kwao kwenyewe mambo ni magumu maana ni kijijini hata dada mtu mwenyewe tu hataki kupasikia.
Niwe mkweli ninaishi nyumba ya kupanga na ndo mwaka wa 3 Toka nimeanza maisha Nina chumba na sebule Sasa Mdogo mtu alipofika sikutaka mambo mengi niliruhusu vitu vyake vyote kuwekwa chumbani na akitaka kujiandaa aingie chumbani ajiandae kasoro kulala tu. Imekuwa hivyo Toka amekuja hapa hata mwezi haujaisha.
Cha ajabu juzi dada mtu ananitumia sms anasema hataki kumuona Mdogo wake anaingia chumbani aisee nilikataa kbs nikamwambia Hilo zoezi halitafanyika maana Toka amefika hapa chumbani amekuwa akiingia mara Kwa mara na hakuna tatzo halafu Leo ghafla tu tumwambie usiingie chumbani unadhan atahisi nn pili sebuleni kumejaa hata godoro lenyewe kumtandikia tunamtandikia Kwa kujibana je vitu vyake tuvihamishie sebuleni vikae wapi nikasema hapana.
Akalalamika sana mi nikabaki na msimamo wangu. Sasa ameanzsha tabia ya kumpeleleza Mdogo wake Kila akirudi huko kwenye ushonaji kujua kama Kuna nn tumeongea na Mdogo wake au huko kwenye ushonaji mambo Yako sawa ila lengo lake anataka asikie mambo hayako sawa ili apige simu kwao kusema kwamba huyu dogo huku hakuna anachokifanya arudi home tu.
Nilipoligundua Hilo nilimpa angalizo mdogo mtu maana nimeshangaa sana huyu mwanamke mpaka simu yake ameweka password mpya ghafla wakati alikuwa hawekagi nikagundua Kuna jambo linaendelea hapa.
Jana wakati naondoka na mdogo mtu nikamwambia anipe simu yake aliponipa nilikuta sms nyingi sn za dada ake akimuhoji kama SI kumpeleleza akinizungumzia Mimi niliumia sn mbaya zaidi sms zngn zimeandikwa usku na Mimi nikiwemo ndani yaani amemchatisha Mdogo mtu sms usiku wakinizungumzia Mimi.
Nilipogundua haya yote mi nimechukua hatua za kunyamaza kimya tu siongei na mtu sjibu mtu Wala siulizi chochote Kwa mtu humu ndani na Wala sili humu ndani Wala siitikii salamu ya mtu nipo busy na mambo yangu tu.
Usiku dada mtu analia eti ye ikibidi atakunywa hata sumu au vidonge mimi skujibu.
Line za simu alizokuwa anatumia nilimsajilia Mimi nazo nimechukua maana SI ndio hizo anatumia kunizungumzia Mimi.
Na nimetoa msimamo akiondoka Mdogo mtu kisa visa vya dada ake basi nitaamini pia huyu mwanamke hawezi kuishi na ndugu yangu Wala kuishi na Mimi kama ameshindwa kuishi na Mdogo wake wa damu kwaiyo na yeye ataondoka so achague Moja.
Sasa wakuu nimekosea wapi hapo kosa langu ni lipi?
Hapo ndio umetoa hoja na kujiona upo sawaLaana ikupate ww na family Yako na uache ujinga huyo hapo ni mwngne kbs na alishaondoka alipata Kaz Kwa mtu huyu aliyepo ni mwngne kbs.

, we kweli haupo sawa.Mimi kujenga nyumba ya kuishi hapana kwa kweli.Shida huwezi pata hiyo 45 at once,Jenga iwe aset unaweza tumia kupata mkopo kichaa wewe.