Anatishia kunywa sumu au vidonge

Anatishia kunywa sumu au vidonge

Wakuu hamjambo....

Sasa Kuna jambo limetokea nyumbani kwangu ninaishi na mwanamke ambaye sijafunga naye ndoa lakini pia yupo Mdogo wake wa kike ambaye amekuja kujiendeleza mambo ya ushonaji.

Sasa ninapotoka asubuhi kwenda kazini Huwa ninatoka na Mdogo mtu ambaye Huwa anaelekea huko kwenye ushonaji maana tunaelekea uelekeo mmoja.

Kumbe jambo Hilo linamkwaza sana dada mtu ingawa hasemi yaani ninamaanisha dada mtu hataki niongozane na Mdogo wake.

Matokeo yake dada mtu amekuwa akipiga simu kwao kisirisiri akiongea mambo ya uwongo kuhusu Mdogo wake pamoja na Mimi lengo likiwa Mdogo wake apigiwe simu kwao kwamba aondoke hapa arudi nyumbani huko kwao kwenyewe mambo ni magumu maana ni kijijini hata dada mtu mwenyewe tu hataki kupasikia.

Niwe mkweli ninaishi nyumba ya kupanga na ndo mwaka wa 3 Toka nimeanza maisha Nina chumba na sebule Sasa Mdogo mtu alipofika sikutaka mambo mengi niliruhusu vitu vyake vyote kuwekwa chumbani na akitaka kujiandaa aingie chumbani ajiandae kasoro kulala tu. Imekuwa hivyo Toka amekuja hapa hata mwezi haujaisha.

Cha ajabu juzi dada mtu ananitumia sms anasema hataki kumuona Mdogo wake anaingia chumbani aisee nilikataa kbs nikamwambia Hilo zoezi halitafanyika maana Toka amefika hapa chumbani amekuwa akiingia mara Kwa mara na hakuna tatzo halafu Leo ghafla tu tumwambie usiingie chumbani unadhan atahisi nn pili sebuleni kumejaa hata godoro lenyewe kumtandikia tunamtandikia Kwa kujibana je vitu vyake tuvihamishie sebuleni vikae wapi nikasema hapana.

Akalalamika sana mi nikabaki na msimamo wangu. Sasa ameanzsha tabia ya kumpeleleza Mdogo wake Kila akirudi huko kwenye ushonaji kujua kama Kuna nn tumeongea na Mdogo wake au huko kwenye ushonaji mambo Yako sawa ila lengo lake anataka asikie mambo hayako sawa ili apige simu kwao kusema kwamba huyu dogo huku hakuna anachokifanya arudi home tu.

Nilipoligundua Hilo nilimpa angalizo mdogo mtu maana nimeshangaa sana huyu mwanamke mpaka simu yake ameweka password mpya ghafla wakati alikuwa hawekagi nikagundua Kuna jambo linaendelea hapa.
Jana wakati naondoka na mdogo mtu nikamwambia anipe simu yake aliponipa nilikuta sms nyingi sn za dada ake akimuhoji kama SI kumpeleleza akinizungumzia Mimi niliumia sn mbaya zaidi sms zngn zimeandikwa usku na Mimi nikiwemo ndani yaani amemchatisha Mdogo mtu sms usiku wakinizungumzia Mimi.

Nilipogundua haya yote mi nimechukua hatua za kunyamaza kimya tu siongei na mtu sjibu mtu Wala siulizi chochote Kwa mtu humu ndani na Wala sili humu ndani Wala siitikii salamu ya mtu nipo busy na mambo yangu tu.

Usiku dada mtu analia eti ye ikibidi atakunywa hata sumu au vidonge mimi skujibu.
Line za simu alizokuwa anatumia nilimsajilia Mimi nazo nimechukua maana SI ndio hizo anatumia kunizungumzia Mimi.

Na nimetoa msimamo akiondoka Mdogo mtu kisa visa vya dada ake basi nitaamini pia huyu mwanamke hawezi kuishi na ndugu yangu Wala kuishi na Mimi kama ameshindwa kuishi na Mdogo wake wa damu kwaiyo na yeye ataondoka so achague Moja.

Sasa wakuu nimekosea wapi hapo kosa langu ni lipi?
Umenishangaza sana ndugu. Nimejiuliza yafuatayo;

1. Inaonyesha unamlinda sana huyo mdogo mtu. Una maslahi gani naye hadi utoe ulinzi mkubwa kiasi hicho?

2. Hapo ni ndugu na ndugu wanatiliana shaka. Inawezakana kabisa wewe usiwe unataka chochote toka kwake, lakini je, unatumia jia gani kumwaminisha mwenzio kuwa humnyandui mdogo wake?

3. Inakuwaje wewe unaingilia ugomvi wa mtu na mdogo wake? Huna ndugu zako wa kuwatetea kwa kiwango hicho?

4. Umesema anapiga simu kwao. Hii inaonyesha hata ndugu zake wanakijua unachokifanya, ingawa kwa stori za upande mmoja. Sasa kwanini ufarakanishe familia kisa kutoa lift? Utapungukiwa chochote ukiacha?

5. Yaani kabisa mdogo wake anafanya anayoyataka chumbani kwenu, kasoro kulala pekee..!! Huu ni ujinga wa kiwango cha SGR..!! Huwezi ruhusu chumba chako mtu mwingine awe huru nacho kama vile chake. Wewe humgongi kweli? Tena inawezekana unamgongea humohumo chumbani kwenu na ndiyo maana unamtetea sana.
 
Kama humpendi mdogo mtu ulijuaje kapiga simu kwako, najua dogo kakuambia achana na hayo mambo mwache dada afanye yake
 
Atakaa na hatoondoka hapa wivu wake kwangu hauna tija kesho atakuja ndugu yangu naye atamletea ngebe vp naye nmuondoe kisa mwanamke kasema sjui nn big no sipo Tyr kashindwa kuishi na Mdogo wake Bs hawezi kuishi na Mimi Wala ndugu yangu. Chumba chumba nn Kuna nn Cha kuiba chumbani haya makitu tutayaacha hapa hapa duniani tutakuwa maiti SI mambo ya kumzuilia mtu wanawake ni hatari ndo Hawa Hawa wanaishi na watoto wa watu mabinti wa kazi wanawanyanyasa mpk kula maugari tu as if watazkwa nayo shaaabashiiiii
Unafeli sana.

Kumbuka hao unaowasema ni ndugu, acha watatue matatizo yao wenyewe. Wewe kaa pembeni. Mwachie mkeo afanye maamuzi juu ya ndugu zake ila asikushirikishe wewe ufanye maamuzi ya kuweka vizuizi kwa mdogo ake.

Sema unaonekana unakula shemeji umenogewa maji yamezidi unga ndio maana unamtetea shemeji kula.
 
Huwa nasema siku zote ni nafuu kuishi na ndg wa karibu wa mume kuliko ndugu zangu hasa katika upande huu wa kulana, ndg wa mke sio haramu kwa mume
Bora umesema wewe. Ndugu wake ni rahisi kuliwa na shemeji yao. Hata mama wadogo wa mke ni rahisi mno kuanzisha mahusiano
 
Kwa hakika KUNA JAMBO KATI YAKO NA MADOGO WAKE, kama halipo LAJA!!! usimfanyie mke wako hivyo!!! Mdogo wake ni mwanamke kama YEYE kuna hatari ukatembea Naye ukaharibu ndoa yenu na UKAMHARIBIA mahusiano yake na mdogo wake!!!!!

Wewe mwanaume una ROHO CHAFU!!! Cha kufanya kuwa muungwana, mruhusu aende kazini au chuoni kwake kwa muda wake, apunguze kuingia ndani kwenu hasa nyakati ukiwepo nyumbani na acha mambo yao wafanye wenyewe wewe usiingilie!!!!

Kaa mbali na mdogo wake!!!! Mpaka ANAKUPA simu yake unaangalia sms za mke wako alizomtumia maana yake yupo tayari kumsaliti dada yake kwa ajili yako!!! HUELEWI TU?????

unakagua vipi simu ya binti na wewe ni SHEMEJI yake???? Huelewi tu???

Dada yake ameshajua mnakoelekea kama ni bado!!! Please usimfanyie hivyo!!! Kuwa mume na baba wa familia!!!
hamjambo....

Sasa Kuna jambo limetokea nyumbani kwangu ninaishi na mwanamke ambaye sijafunga naye ndoa lakini pia yupo Mdogo wake wa kike ambaye amekuja kujiendeleza mambo ya ushonaji.

Sasa ninapotoka asubuhi kwenda kazini Huwa ninatoka na Mdogo mtu ambaye Huwa anaelekea huko kwenye ushonaji maana tunaelekea uelekeo mmoja.

Kumbe jambo Hilo linamkwaza sana dada mtu ingawa hasemi yaani ninamaanisha dada mtu hataki niongozane na Mdogo wake.

Matokeo yake dada mtu amekuwa akipiga simu kwao kisirisiri akiongea mambo ya uwongo kuhusu Mdogo wake pamoja na Mimi lengo likiwa Mdogo wake apigiwe simu kwao kwamba aondoke hapa arudi nyumbani huko kwao kwenyewe mambo ni magumu maana ni kijijini hata dada mtu mwenyewe tu hataki kupasikia.

Niwe mkweli ninaishi nyumba ya kupanga na ndo mwaka wa 3 Toka nimeanza maisha Nina chumba na sebule Sasa Mdogo mtu alipofika sikutaka mambo mengi niliruhusu vitu vyake vyote kuwekwa chumbani na akitaka kujiandaa aingie chumbani ajiandae kasoro kulala tu. Imekuwa hivyo Toka amekuja hapa hata mwezi haujaisha.

Cha ajabu juzi dada mtu ananitumia sms anasema hataki kumuona Mdogo wake anaingia chumbani aisee nilikataa kbs nikamwambia Hilo zoezi halitafanyika maana Toka amefika hapa chumbani amekuwa akiingia mara Kwa mara na hakuna tatzo halafu Leo ghafla tu tumwambie usiingie chumbani unadhan atahisi nn pili sebuleni kumejaa hata godoro lenyewe kumtandikia tunamtandikia Kwa kujibana je vitu vyake tuvihamishie sebuleni vikae wapi nikasema hapana.

Akalalamika sana mi nikabaki na msimamo wangu. Sasa ameanzsha tabia ya kumpeleleza Mdogo wake Kila akirudi huko kwenye ushonaji kujua kama Kuna nn tumeongea na Mdogo wake au huko kwenye ushonaji mambo Yako sawa ila lengo lake anataka asikie mambo hayako sawa ili apige simu kwao kusema kwamba huyu dogo huku hakuna anachokifanya arudi home tu.

Nilipoligundua Hilo nilimpa angalizo mdogo mtu maana nimeshangaa sana huyu mwanamke mpaka simu yake ameweka password mpya ghafla wakati alikuwa hawekagi nikagundua Kuna jambo linaendelea hapa.
Jana wakati naondoka na mdogo mtu nikamwambia anipe simu yake aliponipa nilikuta sms nyingi sn za dada ake akimuhoji kama SI kumpeleleza akinizungumzia Mimi niliumia sn mbaya zaidi sms zngn zimeandikwa usku na Mimi nikiwemo ndani yaani amemchatisha Mdogo mtu sms usiku wakinizungumzia Mimi.

Nilipogundua haya yote mi nimechukua hatua za kunyamaza kimya tu siongei na mtu sjibu mtu Wala siulizi chochote Kwa mtu humu ndani na Wala sili humu ndani Wala siitikii salamu ya mtu nipo busy na mambo yangu tu.

Usiku dada mtu analia eti ye ikibidi atakunywa hata sumu au vidonge mimi skujibu.
Line za simu alizokuwa anatumia nilimsajilia Mimi nazo nimechukua maana SI ndio hizo anatumia kunizungumzia Mimi.

Na nimetoa msimamo akiondoka Mdogo mtu kisa visa vya dada ake basi nitaamini pia huyu mwanamke hawezi kuishi na ndugu yangu Wala kuishi na Mimi kama ameshindwa kuishi na Mdogo wake wa damu kwaiyo na yeye ataondoka so achague Moja.

Sasa wakuu nimekosea wapi hapo kosa langu ni lipi?
 
1. Kuhusu kuzuia mdogo wake asiingie chumbani, huna sababu ya kukataa. Mwambie amwambie yeye mwenyewe. Wewe usihusike.
2. Acha kuongozana na mdogo wake. Kila mtu aondoke kivyake. Hilo pia linakushinda?
3. Acha mawasiliano ya karibu na mdogo wake. Kushika shika simu ya mdogo wake ya nini? Kufuatilia mazungumzo yao ya nini? Kua mwanaume, fanya yako.
4. Wanawake ni territorial na hawamuamini mwanamke mwingine yoyote kua karibu na mume wake na wanajua kwamba wanaume ni washenzi hawachukui muda kuwatafuna hao wanawake. Hivyo ana haki ya kujilinda dhidi ya mdogo wake.
5. Muombee mdogo wa mke wako sehemu ya kulala, kama unaishi na majirani vizuri huwezi kukosa jirani ambae ana nyumba yenye nafasi ukamuombea dogo mahala pa kulala mkapunguza misuguano.
6. Unaonekana uko interested na dogo, basi mpangie mtaa mwingine ili umchakate bila kipingamizi.

7. Endelea kupambana mkuu, one day utamiliki nyumba kubwa, yenye nafasi na utakaribisha wageni zaidi nyumbani kwako. Unaonekana una roho nzuri ya kibinadamu.
Achukue hizii nondo akutumie
 
Wakuu hamjambo....

Sasa Kuna jambo limetokea nyumbani kwangu ninaishi na mwanamke ambaye sijafunga naye ndoa lakini pia yupo Mdogo wake wa kike ambaye amekuja kujiendeleza mambo ya ushonaji.

Sasa ninapotoka asubuhi kwenda kazini Huwa ninatoka na Mdogo mtu ambaye Huwa anaelekea huko kwenye ushonaji maana tunaelekea uelekeo mmoja.

Kumbe jambo Hilo linamkwaza sana dada mtu ingawa hasemi yaani ninamaanisha dada mtu hataki niongozane na Mdogo wake.

Matokeo yake dada mtu amekuwa akipiga simu kwao kisirisiri akiongea mambo ya uwongo kuhusu Mdogo wake pamoja na Mimi lengo likiwa Mdogo wake apigiwe simu kwao kwamba aondoke hapa arudi nyumbani huko kwao kwenyewe mambo ni magumu maana ni kijijini hata dada mtu mwenyewe tu hataki kupasikia.

Niwe mkweli ninaishi nyumba ya kupanga na ndo mwaka wa 3 Toka nimeanza maisha Nina chumba na sebule Sasa Mdogo mtu alipofika sikutaka mambo mengi niliruhusu vitu vyake vyote kuwekwa chumbani na akitaka kujiandaa aingie chumbani ajiandae kasoro kulala tu. Imekuwa hivyo Toka amekuja hapa hata mwezi haujaisha.

Cha ajabu juzi dada mtu ananitumia sms anasema hataki kumuona Mdogo wake anaingia chumbani aisee nilikataa kbs nikamwambia Hilo zoezi halitafanyika maana Toka amefika hapa chumbani amekuwa akiingia mara Kwa mara na hakuna tatzo halafu Leo ghafla tu tumwambie usiingie chumbani unadhan atahisi nn pili sebuleni kumejaa hata godoro lenyewe kumtandikia tunamtandikia Kwa kujibana je vitu vyake tuvihamishie sebuleni vikae wapi nikasema hapana.

Akalalamika sana mi nikabaki na msimamo wangu. Sasa ameanzsha tabia ya kumpeleleza Mdogo wake Kila akirudi huko kwenye ushonaji kujua kama Kuna nn tumeongea na Mdogo wake au huko kwenye ushonaji mambo Yako sawa ila lengo lake anataka asikie mambo hayako sawa ili apige simu kwao kusema kwamba huyu dogo huku hakuna anachokifanya arudi home tu.

Nilipoligundua Hilo nilimpa angalizo mdogo mtu maana nimeshangaa sana huyu mwanamke mpaka simu yake ameweka password mpya ghafla wakati alikuwa hawekagi nikagundua Kuna jambo linaendelea hapa.
Jana wakati naondoka na mdogo mtu nikamwambia anipe simu yake aliponipa nilikuta sms nyingi sn za dada ake akimuhoji kama SI kumpeleleza akinizungumzia Mimi niliumia sn mbaya zaidi sms zngn zimeandikwa usku na Mimi nikiwemo ndani yaani amemchatisha Mdogo mtu sms usiku wakinizungumzia Mimi.

Nilipogundua haya yote mi nimechukua hatua za kunyamaza kimya tu siongei na mtu sjibu mtu Wala siulizi chochote Kwa mtu humu ndani na Wala sili humu ndani Wala siitikii salamu ya mtu nipo busy na mambo yangu tu.

Usiku dada mtu analia eti ye ikibidi atakunywa hata sumu au vidonge mimi skujibu.
Line za simu alizokuwa anatumia nilimsajilia Mimi nazo nimechukua maana SI ndio hizo anatumia kunizungumzia Mimi.

Na nimetoa msimamo akiondoka Mdogo mtu kisa visa vya dada ake basi nitaamini pia huyu mwanamke hawezi kuishi na ndugu yangu Wala kuishi na Mimi kama ameshindwa kuishi na Mdogo wake wa damu kwaiyo na yeye ataondoka so achague Moja.

Sasa wakuu nimekosea wapi hapo kosa langu ni lipi?

Wewe ni mjinga.

Huyo mdogo wake yupo hapo kwako Kwa sababu ya dadaake(huyo Mpenzi wako).

Dada MTU akitoa oda aondoke ni lazima uifuate. Usipende kuingilia familia za Watu.

Wewe aje mdogo wako hapo alafu siku unataka kumfukuza Mkeo akizuia utaonaje, utachukuliaje, itakuwa NI Sawa?

Mambo mengine hayahitaji hata ushauri.

Mwambie aondoke, kama anabembeleza mwambie amalizane na dadaake Kwa sababu yeye ndiye amemleta hapo na yupo kwaajili yake full stop
 
Huo umuhimu haupo kwng ikiwa atashindwa kuishi na ndugu yake je ndugu yangu itakuaje? Npo Tyr tuachane na waondoke wote wawili ila sipo Tyr kufata masharti yake wanawake ni nyoka na Wana majaribu sn akikujaribu ukajaribika Bs tegemea kesho Hilo jaribu kukugharimu sn kesho tamleta ndugu yangu SI ndo yatamkuta makubwa sana kwaiyo nitasimamia ninachokiamini tu SI kile anachokiamini huyu mwanamke over

Ndugu yake anakuhusu nini wewe?
Na Ndugu yake hatamhusu yeye.

Ndugu yako atakuwa hapo kwaajili yako na sio kwaajili ya huyo Mkeo.
Vivyohivyo, huyu Shemeji yako yupo hapo Kwa sababu ya dadaake na sio wewe.

Protocol za mahusiano zimewapitia kushoto kizazi cha sasa.
 
Umenishangaza sana ndugu. Nimejiuliza yafuatayo;

1. Inaonyesha unamlinda sana huyo mdogo mtu. Una maslahi gani naye hadi utoe ulinzi mkubwa kiasi hicho?

2. Hapo ni ndugu na ndugu wanatiliana shaka. Inawezakana kabisa wewe usiwe unataka chochote toka kwake, lakini je, unatumia jia gani kumwaminisha mwenzio kuwa humnyandui mdogo wake?

3. Inakuwaje wewe unaingilia ugomvi wa mtu na mdogo wake? Huna ndugu zako wa kuwatetea kwa kiwango hicho?

4. Umesema anapiga simu kwao. Hii inaonyesha hata ndugu zake wanakijua unachokifanya, ingawa kwa stori za upande mmoja. Sasa kwanini ufarakanishe familia kisa kutoa lift? Utapungukiwa chochote ukiacha?

5. Yaani kabisa mdogo wake anafanya anayoyataka chumbani kwenu, kasoro kulala pekee..!! Huu ni ujinga wa kiwango cha SGR..!! Huwezi ruhusu chumba chako mtu mwingine awe huru nacho kama vile chake. Wewe humgongi kweli? Tena inawezekana unamgongea humohumo chumbani kwenu na ndiyo maana unamtetea sana.
Afu akishauriwa anaita watu mataira
 
Wakuu hamjambo....

Sasa Kuna jambo limetokea nyumbani kwangu ninaishi na mwanamke ambaye sijafunga naye ndoa lakini pia yupo Mdogo wake wa kike ambaye amekuja kujiendeleza mambo ya ushonaji.

Sasa ninapotoka asubuhi kwenda kazini Huwa ninatoka na Mdogo mtu ambaye Huwa anaelekea huko kwenye ushonaji maana tunaelekea uelekeo mmoja.

Kumbe jambo Hilo linamkwaza sana dada mtu ingawa hasemi yaani ninamaanisha dada mtu hataki niongozane na Mdogo wake.

Matokeo yake dada mtu amekuwa akipiga simu kwao kisirisiri akiongea mambo ya uwongo kuhusu Mdogo wake pamoja na Mimi lengo likiwa Mdogo wake apigiwe simu kwao kwamba aondoke hapa arudi nyumbani huko kwao kwenyewe mambo ni magumu maana ni kijijini hata dada mtu mwenyewe tu hataki kupasikia.

Niwe mkweli ninaishi nyumba ya kupanga na ndo mwaka wa 3 Toka nimeanza maisha Nina chumba na sebule Sasa Mdogo mtu alipofika sikutaka mambo mengi niliruhusu vitu vyake vyote kuwekwa chumbani na akitaka kujiandaa aingie chumbani ajiandae kasoro kulala tu. Imekuwa hivyo Toka amekuja hapa hata mwezi haujaisha.

Cha ajabu juzi dada mtu ananitumia sms anasema hataki kumuona Mdogo wake anaingia chumbani aisee nilikataa kbs nikamwambia Hilo zoezi halitafanyika maana Toka amefika hapa chumbani amekuwa akiingia mara Kwa mara na hakuna tatzo halafu Leo ghafla tu tumwambie usiingie chumbani unadhan atahisi nn pili sebuleni kumejaa hata godoro lenyewe kumtandikia tunamtandikia Kwa kujibana je vitu vyake tuvihamishie sebuleni vikae wapi nikasema hapana.

Akalalamika sana mi nikabaki na msimamo wangu. Sasa ameanzsha tabia ya kumpeleleza Mdogo wake Kila akirudi huko kwenye ushonaji kujua kama Kuna nn tumeongea na Mdogo wake au huko kwenye ushonaji mambo Yako sawa ila lengo lake anataka asikie mambo hayako sawa ili apige simu kwao kusema kwamba huyu dogo huku hakuna anachokifanya arudi home tu.

Nilipoligundua Hilo nilimpa angalizo mdogo mtu maana nimeshangaa sana huyu mwanamke mpaka simu yake ameweka password mpya ghafla wakati alikuwa hawekagi nikagundua Kuna jambo linaendelea hapa.
Jana wakati naondoka na mdogo mtu nikamwambia anipe simu yake aliponipa nilikuta sms nyingi sn za dada ake akimuhoji kama SI kumpeleleza akinizungumzia Mimi niliumia sn mbaya zaidi sms zngn zimeandikwa usku na Mimi nikiwemo ndani yaani amemchatisha Mdogo mtu sms usiku wakinizungumzia Mimi.

Nilipogundua haya yote mi nimechukua hatua za kunyamaza kimya tu siongei na mtu sjibu mtu Wala siulizi chochote Kwa mtu humu ndani na Wala sili humu ndani Wala siitikii salamu ya mtu nipo busy na mambo yangu tu.

Usiku dada mtu analia eti ye ikibidi atakunywa hata sumu au vidonge mimi skujibu.
Line za simu alizokuwa anatumia nilimsajilia Mimi nazo nimechukua maana SI ndio hizo anatumia kunizungumzia Mimi.

Na nimetoa msimamo akiondoka Mdogo mtu kisa visa vya dada ake basi nitaamini pia huyu mwanamke hawezi kuishi na ndugu yangu Wala kuishi na Mimi kama ameshindwa kuishi na Mdogo wake wa damu kwaiyo na yeye ataondoka so achague Moja.

Sasa wakuu nimekosea wapi hapo kosa langu ni lipi?
Kwa undani zaidi kuna kaharufu kwa kumchukulia mdogo mtu kama gurudumu la akiba(spare wheel) huku ukishow love.
 
Back
Top Bottom