Anatishia kunywa sumu au vidonge

Anatishia kunywa sumu au vidonge

Mkuu yaani ile kiukweli kabisa HUYO MDOGO MTU UMEMTAFUNA, kama sio kataa nipo pale nakunywa flying fish.
Sina hata mpango kbs halafu ni Mdogo sn kiumri kwangu ye ana miaka 19 tu so siwez Kwa umri nampga gap miaka 12
 
Anajitafutia tuu laana katika kizazi chake, kula ndugu wa tumbo moja jamani. Wanaume sijui wana shida gani aisee alivyoshupaza shingo hapa kutukana watu wanaomshauri kumbe fisi maji mkubwa.
Lipo radhi mkewe aondoke kisa nyau ya mdogo mtu halafu mwisho wa siku anawaachia ugomvi usioisha wanafamilia kwa tamaa zake za kipumbavu. We choosen nyoko acha ujinga
Laana ikupate ww na family Yako na uache ujinga huyo hapo ni mwngne kbs na alishaondoka alipata Kaz Kwa mtu huyu aliyepo ni mwngne kbs.
 
Siwezi pata laana maana sina ujinga wa kuwaza kulala na ndugu wa tumbo moja. Alipata kazi wapi wakati uzi umeuleta mwezi uliopita, kumbafu kabisa wewe uzinzi tuu, hujaona wanawake njee kote mpaka umtongoze mdogo wa mke wako??
 
Ulaaniwe na huna mamlaka ya kulaani mtu ww
 
Wewe ndie una mamalaka ya kulaani?? Hebu nenda kasome kumbukumbu la torati 27: 23 "Na alaaniwe alalaye na mkwewe, mamaye mkewe. Na watu wote waseme, Amina."

Mimi sikulaani na sina nguvu hiyo ila Mungu alishakataza kulala na mkwe wako shemeji yako katoka ukweni kwako. Hebu badirika muheshimu mkeo kama ni umalaya kafanyie mbali huko nje ya nyumba yako.
 
Wakuu hamjambo....

Sasa Kuna jambo limetokea nyumbani kwangu ninaishi na mwanamke ambaye sijafunga naye ndoa lakini pia yupo Mdogo wake wa kike ambaye amekuja kujiendeleza mambo ya ushonaji.

Sasa ninapotoka asubuhi kwenda kazini Huwa ninatoka na Mdogo mtu ambaye Huwa anaelekea huko kwenye ushonaji maana tunaelekea uelekeo mmoja.

Kumbe jambo Hilo linamkwaza sana dada mtu ingawa hasemi yaani ninamaanisha dada mtu hataki niongozane na Mdogo wake.

Matokeo yake dada mtu amekuwa akipiga simu kwao kisirisiri akiongea mambo ya uwongo kuhusu Mdogo wake pamoja na Mimi lengo likiwa Mdogo wake apigiwe simu kwao kwamba aondoke hapa arudi nyumbani huko kwao kwenyewe mambo ni magumu maana ni kijijini hata dada mtu mwenyewe tu hataki kupasikia.

Niwe mkweli ninaishi nyumba ya kupanga na ndo mwaka wa 3 Toka nimeanza maisha Nina chumba na sebule Sasa Mdogo mtu alipofika sikutaka mambo mengi niliruhusu vitu vyake vyote kuwekwa chumbani na akitaka kujiandaa aingie chumbani ajiandae kasoro kulala tu. Imekuwa hivyo Toka amekuja hapa hata mwezi haujaisha.

Cha ajabu juzi dada mtu ananitumia sms anasema hataki kumuona Mdogo wake anaingia chumbani aisee nilikataa kbs nikamwambia Hilo zoezi halitafanyika maana Toka amefika hapa chumbani amekuwa akiingia mara Kwa mara na hakuna tatzo halafu Leo ghafla tu tumwambie usiingie chumbani unadhan atahisi nn pili sebuleni kumejaa hata godoro lenyewe kumtandikia tunamtandikia Kwa kujibana je vitu vyake tuvihamishie sebuleni vikae wapi nikasema hapana.

Akalalamika sana mi nikabaki na msimamo wangu. Sasa ameanzsha tabia ya kumpeleleza Mdogo wake Kila akirudi huko kwenye ushonaji kujua kama Kuna nn tumeongea na Mdogo wake au huko kwenye ushonaji mambo Yako sawa ila lengo lake anataka asikie mambo hayako sawa ili apige simu kwao kusema kwamba huyu dogo huku hakuna anachokifanya arudi home tu.

Nilipoligundua Hilo nilimpa angalizo mdogo mtu maana nimeshangaa sana huyu mwanamke mpaka simu yake ameweka password mpya ghafla wakati alikuwa hawekagi nikagundua Kuna jambo linaendelea hapa.

Jana wakati naondoka na mdogo mtu nikamwambia anipe simu yake aliponipa nilikuta sms nyingi sn za dada ake akimuhoji kama SI kumpeleleza akinizungumzia Mimi niliumia sn mbaya zaidi sms zngn zimeandikwa usku na Mimi nikiwemo ndani yaani amemchatisha Mdogo mtu sms usiku wakinizungumzia Mimi.

Nilipogundua haya yote mi nimechukua hatua za kunyamaza kimya tu siongei na mtu sjibu mtu Wala siulizi chochote Kwa mtu humu ndani na Wala sili humu ndani Wala siitikii salamu ya mtu nipo busy na mambo yangu tu.

Usiku dada mtu analia eti ye ikibidi atakunywa hata sumu au vidonge mimi skujibu.

Line za simu alizokuwa anatumia nilimsajilia Mimi nazo nimechukua maana SI ndio hizo anatumia kunizungumzia Mimi.

Na nimetoa msimamo akiondoka Mdogo mtu kisa visa vya dada ake basi nitaamini pia huyu mwanamke hawezi kuishi na ndugu yangu Wala kuishi na Mimi kama ameshindwa kuishi na Mdogo wake wa damu kwaiyo na yeye ataondoka so achague Moja.

Sasa wakuu nimekosea wapi hapo kosa langu ni lipi?
Tamaa zilimponza mzee fisi, punguza uroho, muheshimu mke wako.
 
Dewji family na utajiri wotee ule wanaishi nyumba ya kupanga Upanga.
Gulam Dewji baba wa Moh, Hassan, Fatema, Husein na wengine.

Kapanga huku ana utajiri wa Tril za kutosha.

Hiyo mil 45 ya kujenga Bora niwekeze kwa kukuza biashara yangu na ile faida NILIPIE KODI.

#YNWA

Shida huwezi pata hiyo 45 at once,Jenga iwe aset unaweza tumia kupata mkopo kichaa wewe.
 
Kabla sijakushauri kuna swali la msingi naomba nikuulize Una ubongo mwingine umetunza ndani au ubongo pekee ulionao ndo huu huu unautegemea?
 
Wakuu hamjambo....

Sasa Kuna jambo limetokea nyumbani kwangu ninaishi na mwanamke ambaye sijafunga naye ndoa lakini pia yupo Mdogo wake wa kike ambaye amekuja kujiendeleza mambo ya ushonaji.

Sasa ninapotoka asubuhi kwenda kazini Huwa ninatoka na Mdogo mtu ambaye Huwa anaelekea huko kwenye ushonaji maana tunaelekea uelekeo mmoja.

Kumbe jambo Hilo linamkwaza sana dada mtu ingawa hasemi yaani ninamaanisha dada mtu hataki niongozane na Mdogo wake.

Matokeo yake dada mtu amekuwa akipiga simu kwao kisirisiri akiongea mambo ya uwongo kuhusu Mdogo wake pamoja na Mimi lengo likiwa Mdogo wake apigiwe simu kwao kwamba aondoke hapa arudi nyumbani huko kwao kwenyewe mambo ni magumu maana ni kijijini hata dada mtu mwenyewe tu hataki kupasikia.

Niwe mkweli ninaishi nyumba ya kupanga na ndo mwaka wa 3 Toka nimeanza maisha Nina chumba na sebule Sasa Mdogo mtu alipofika sikutaka mambo mengi niliruhusu vitu vyake vyote kuwekwa chumbani na akitaka kujiandaa aingie chumbani ajiandae kasoro kulala tu. Imekuwa hivyo Toka amekuja hapa hata mwezi haujaisha.

Cha ajabu juzi dada mtu ananitumia sms anasema hataki kumuona Mdogo wake anaingia chumbani aisee nilikataa kbs nikamwambia Hilo zoezi halitafanyika maana Toka amefika hapa chumbani amekuwa akiingia mara Kwa mara na hakuna tatzo halafu Leo ghafla tu tumwambie usiingie chumbani unadhan atahisi nn pili sebuleni kumejaa hata godoro lenyewe kumtandikia tunamtandikia Kwa kujibana je vitu vyake tuvihamishie sebuleni vikae wapi nikasema hapana.

Akalalamika sana mi nikabaki na msimamo wangu. Sasa ameanzsha tabia ya kumpeleleza Mdogo wake Kila akirudi huko kwenye ushonaji kujua kama Kuna nn tumeongea na Mdogo wake au huko kwenye ushonaji mambo Yako sawa ila lengo lake anataka asikie mambo hayako sawa ili apige simu kwao kusema kwamba huyu dogo huku hakuna anachokifanya arudi home tu.

Nilipoligundua Hilo nilimpa angalizo mdogo mtu maana nimeshangaa sana huyu mwanamke mpaka simu yake ameweka password mpya ghafla wakati alikuwa hawekagi nikagundua Kuna jambo linaendelea hapa.

Jana wakati naondoka na mdogo mtu nikamwambia anipe simu yake aliponipa nilikuta sms nyingi sn za dada ake akimuhoji kama SI kumpeleleza akinizungumzia Mimi niliumia sn mbaya zaidi sms zngn zimeandikwa usku na Mimi nikiwemo ndani yaani amemchatisha Mdogo mtu sms usiku wakinizungumzia Mimi.

Nilipogundua haya yote mi nimechukua hatua za kunyamaza kimya tu siongei na mtu sjibu mtu Wala siulizi chochote Kwa mtu humu ndani na Wala sili humu ndani Wala siitikii salamu ya mtu nipo busy na mambo yangu tu.

Usiku dada mtu analia eti ye ikibidi atakunywa hata sumu au vidonge mimi skujibu.

Line za simu alizokuwa anatumia nilimsajilia Mimi nazo nimechukua maana SI ndio hizo anatumia kunizungumzia Mimi.

Na nimetoa msimamo akiondoka Mdogo mtu kisa visa vya dada ake basi nitaamini pia huyu mwanamke hawezi kuishi na ndugu yangu Wala kuishi na Mimi kama ameshindwa kuishi na Mdogo wake wa damu kwaiyo na yeye ataondoka so achague Moja.

Sasa wakuu nimekosea wapi hapo kosa langu ni lipi?
Kosa lako hapo huna hela.

Tafuta hela ndio suluhisho la matatizo yako.

Ungekuwa na pesa ungeweza kupanga nyumba yenye vyumba vya kutosha na ingesaidia hata huyo binti naye kuwa na chumba chake hivyo migogoro midogo midogo kama hiyo isingekuwepo.
 
Back
Top Bottom