Anatishia kunywa sumu au vidonge

Anatishia kunywa sumu au vidonge

Atakaa na hatoondoka hapa wivu wake kwangu hauna tija kesho atakuja ndugu yangu naye atamletea ngebe vp naye nmuondoe kisa mwanamke kasema sjui nn big no sipo Tyr kashindwa kuishi na Mdogo wake Bs hawezi kuishi na Mimi Wala ndugu yangu. Chumba chumba nn Kuna nn Cha kuiba chumbani haya makitu tutayaacha hapa hapa duniani tutakuwa maiti SI mambo ya kumzuilia mtu wanawake ni hatari ndo Hawa Hawa wanaishi na watoto wa watu mabinti wa kazi wanawanyanyasa mpk kula maugari tu as if watazkwa nayo shaaabashiiiii
Ukijua siri misingi na thamani ya chumba utaacha utoto ulio nao. Kwanza hujiwezi unakaa kwenye chumba kimoja na bado unataka ndugu waje. Kwani wakikaa huko kijijini watakufa? Hivi mwanaume unayeweza kuishi na mwanamke na unakua na misimamo ya kike si utapoteza pambano mapema sana
 
Kama dada mtu amtaki mdogo wake wewe unamtaka wa nini? Mambo ya familia yao waachie wenyewe wanajuana
Ili kesho nimlete ndugu yangu naye alete za kuleta naye nimuondoe au siyo eeeh kwamba ndugu yng akija ndo hatosema aondoke au siyo kama Kwa ndugu yake kaweza vp Kwa ndugu yangu
 
Vyovyote ni sawa tu mwanamke ukimchekea umeisha wanaanzaga kama mzaha ivi na mambo madogo madogo tu
Huyo ni mdogo wake, yeye ndiye ana uchungu naye kuliko wewe na yuko hapo kwa sababu yake yeye. Huna haja ya kugombana na mkeo kwa sababu ya mdogo wake na hata hivyo si vzuri kuwa na mazoea yasiyo ya msingi na mdogo wake. Angekuwa mdogo wako sasa hapo hilo lingekuwa jambo la tofauti.
 
Ukijua siri misingi na thamani ya chumba utaacha utoto ulio nao. Kwanza hujiwezi unakaa kwenye chumba kimoja na bado unataka ndugu waje. Kwani wakikaa huko kijijini watakufa? Hivi mwanaume unayeweza kuishi na mwanamke na unakua na misimamo ya kike si utapoteza pambano mapema sana
Naona unaongea pumba tu hujui Kuna watu wanaishi na WA dada wa kazi hao ndo wanabaki na watoto Tena wadogo sn ndo wanafanya usafi mpka chumbani na kulaza watoto wanaachiwa Kila kitu kuanzia asbh mpaka usku. Je kuingia kwao huko chumbani kumepunguza nn
 
Huyo ni mdogo wake, yeye ndiye ana uchungu naye kuliko wewe na yuko hapo kwa sababu yake yeye. Huna haja ya kugombana na mkeo kwa sababu ya mdogo wake na hata hivyo si vzuri kuwa na mazoea yasiyo ya msingi na mdogo wake. Angekuwa mdogo wako sasa hapo hilo lingekuwa jambo la tofauti.
Hoja yangu ipo kwamba kama ameshindwa kuishi na ndugu yake Bs hawezi kuishi na ndugu yangu huyu na Toka nimeishi naye sjawaileta ndugu yangu hapa kwangu. Swala la kuondoka asubuhi na Mdogo wake ni lazima kwanza ni mgeni pili Kuna kaumbali tatu huko anakojifunza kushona ndko na mm naelekea hukohuko na muda wa kutoka ni huohuo.
 
Seriously bro chagua moja kujiingiza kwenye migogoro na mpenzi wako au uwaache na matatizo yao wenyewe.

Ingawa kama ni kukushauri achana na huyo mwanamke, hakufai atakutesa tu sababu hakuamini. Ila kwa kua umeamua kutukana na wewe mamaeeeee
Sawa mkuu na ww mamaeeee Tena......
 
Kwa jinsi ulivyojiuma uma ni dhahiri mna lenu jambo.
Jambo lipi Sasa mi nikmtaka Mdogo wake SI lazma niongozane naye ila kuongozane ni lazma maana ni mgeni na Kuna ka umbali Toka home mpk anapoenda na anapoenda ndo na Mimi napita hapohapo namuacha mi nasonga mbele
 
Harudi kwao mtu hapa Leo nikikubaliana na matakwa ya huyu mwanamke kesho ataleta mengne ndo Huwa wanaanza hivihivi at last unakuja stuka umepoteza mamlaka Yako.
Kuna kitu hakiko sawa kichwani mwako, mamlaka au heshima haiji kwakuforce na kusimamia misimamo isiyo na akili, unaonaje ulete mdogo wako wa kiume aje muishi nae uwe unatoka unawaacha home na mkeo afu wenyewe wawe benet hata gengeni wasindikizane..!
Acha utoto
 
Watu wa JF wamejaa roho mbaya na husda. Ukisoma maandiko yote hapa, utafahamu kuwa wote wana nafsi zilizojaa takataka na mawazo hasi.

Kwanza, mimi nikupongeze. Una msimamo wa kiume na hupaswi kuyumbishwa. Simamia kile unachokiamini kuwa ni sahihi.

Pili, kama nia yako ni njema, humtetei shemeji yako kwa sababu una tamaa naye au malengo ya kuwa na mahusiano naye, basi nakuombea Mungu na akubariki. Lazima ujiweke katika nafasi ya unayemtendea hivyo.

Je, ungelikuwa wewe ndiye binti hakuna kinachoendelea baina yenu alafu kesho ufukuzwe na kukatishwa mafunzo yako kwa husda tu za nduguyo ungejisikiaje? Ni ndugu wangapi ambao hawapendi maendeleo ya wenzake?

Kama mkeo ana wasiwasi, kwa nini asiseme hadharani na badala yake anamkaba nduguye?

Tatu, acha kununa. Zungumza kwa misimamo. Mpe simu yake aendelee na mawasiliano.

Nne, wapigie wazazi wao. Waeleze moja mbili tatu. Wao wataona namna njema ya kuondoa hiyo sintofahamu.

Tano, kama uwezo upo basi fanya mipango umpangie huyo shemeji yako. Acha kusindikizana naye.

Kila la kheri Mkuu.
 
Huo umuhimu haupo kwng ikiwa atashindwa kuishi na ndugu yake je ndugu yangu itakuaje? Npo Tyr tuachane na waondoke wote wawili ila sipo Tyr kufata masharti yake wanawake ni nyoka na Wana majaribu sn akikujaribu ukajaribika Bs tegemea kesho Hilo jaribu kukugharimu sn kesho tamleta ndugu yangu SI ndo yatamkuta makubwa sana kwaiyo nitasimamia ninachokiamini tu SI kile anachokiamini huyu mwanamke over
Sasa wew kachumba na sebule unataka ubebe tena shemeji zako si unakuwa na matatizo ya akili??? Kiufupi ushamtamani huyo mdogo wakeee hapo ni genyee tu zinakusumbuaa siku ukigundua kuna mwana anamlaa piaaa hakika utamfukuza kama mbwaaa..
 
1. Kuhusu kuzuia mdogo wake asiingie chumbani, huna sababu ya kukataa. Mwambie amwambie yeye mwenyewe. Wewe usihusike.
2. Acha kuongozana na mdogo wake. Kila mtu aondoke kivyake. Hilo pia linakushinda?
3. Acha mawasiliano ya karibu na mdogo wake. Kushika shika simu ya mdogo wake ya nini? Kufuatilia mazungumzo yao ya nini? Kua mwanaume, fanya yako.
4. Wanawake ni territorial na hawamuamini mwanamke mwingine yoyote kua karibu na mume wake na wanajua kwamba wanaume ni washenzi hawachukui muda kuwatafuna hao wanawake. Hivyo ana haki ya kujilinda dhidi ya mdogo wake.
5. Muombee mdogo wa mke wako sehemu ya kulala, kama unaishi na majirani vizuri huwezi kukosa jirani ambae ana nyumba yenye nafasi ukamuombea dogo mahala pa kulala mkapunguza misuguano.
6. Unaonekana uko interested na dogo, basi mpangie mtaa mwingine ili umchakate bila kipingamizi.

7. Endelea kupambana mkuu, one day utamiliki nyumba kubwa, yenye nafasi na utakaribisha wageni zaidi nyumbani kwako. Unaonekana una roho nzuri ya kibinadamu.
Namba 6
 
Watu wa JF wamejaa roho mbaya na husda. Ukisoma maandiko yote hapa, utafahamu kuwa wote wana nafsi zilizojaa takataka na mawazo hasi.

Kwanza, mimi nikupongeze. Una msimamo wa kiume na hupaswi kuyumbishwa. Simamia kile unachokiamini kuwa ni sahihi.

Pili, kama nia yako ni njema, humtetei shemeji yako kwa sababu una tamaa naye au malengo ya kuwa na mahusiano naye, basi nakuombea Mungu na akubariki. Lazima ujiweke katika nafasi ya unayemtendea hivyo.

Je, ungelikuwa wewe ndiye binti hakuna kinachoendelea baina yenu alafu kesho ufukuzwe na kukatishwa mafunzo yako kwa husda tu za nduguyo ungejisikiaje? Ni ndugu wangapi ambao hawapendi maendeleo ya wenzake?

Kama mkeo ana wasiwasi, kwa nini asiseme hadharani na badala yake anamkaba nduguye?

Tatu, acha kununa. Zungumza kwa misimamo. Mpe simu yake aendelee na mawasiliano.

Nne, wapigie wazazi wao. Waeleze moja mbili tatu. Wao wataona namna njema ya kuondoa hiyo sintofahamu.

Tano, kama uwezo upo basi fanya mipango umpangie huyo shemeji yako. Acha kusindikizana naye.

Kila la kheri Mkuu.
Asinuneee wakati mkewe anataka akimbizee mbogaaa
 
Back
Top Bottom