Anataka mchukua mwanangu kinyemela

wew una roho nzuri sana ningekuwa Mimi angeisoma namba idiots akimbie mtoto akiwa mdogo kakuaa ndo anamtaka yani ningemblock asingeamini macho yake
 
Umenifumbua macho na mimi pia
 
Sio kosa lako nahisi malezi uliyopewa ya mfumo dume mfumo mfu ndio yanayokuongoza mpaka sasa. Wanawake wa upande wenu wana kazi sana
hata ukiandika kwa herufi ndogo tutakuelewa tu punguza kujikweza unaonekana kama zuzu
 
Ajabu kuna siku utakutana nae mkumbushie. You can never understand a woman.
 
Mifumo mingine ni mibovu sana katika jamii zetu. He impregnated you, left you for other women, you've raised a great young man, then all of a sudden anakuja kutaka kuishi na mtoto, just like that? No, hilo halikubaliki hata kidogo, he has to bear the burden you you went through, hata mila zetu zinataka hivyo.

Sheria za kimila zinamtaka huyo jamaa alipe fidia ili dogo awe rightfully his, hawezi kupata mtoto kirahisi tu. I stand with you mleta mada.
 
Loooh, nyuzi 3 zote za aina hiyo hiyo, jamani jamani mwanamke mwenzetu anaumia sana,
vita ya mapenzi haimuachi mtu salama.
Ndio nimetoka kupitia hizo nyuzi za nyuma sasa naungana na wengine waliosema huyu dada anampenda sana mzazi mwenzake bado...ni hivi latoya Fanya kurudiana na mzazi mwenzio mrudishe mapenz yenu,muongeze na Watoto wengine
 
Sio kosa lako nahisi malezi uliyopewa ya mfumo dume mfumo mfu ndio yanayokuongoza mpaka sasa. Wanawake wa upande wenu wana kazi sana

hata ukiandika kwa herufi ndogo tutakuelewa tu punguza kujikweza unaonekana kama zuzu
HEHEHEH...PINGA KWA HOJA MKUU...KEJELI HAZITAWEZA KUPINGA HOJA...USIFUATE TAFSIRI ZILIZOWEKWA NA WATU KAMA WEWE KUWA HERUFI KUBWA BASI INAMAANISHA NI KUPAYUKA..NI NAMNA NIMEAMUA TU KATIKA UANDISHI..KAMA INAKUBOA..SIMPLE..JUST SKIP IT..[emoji12] [emoji12] [emoji12] BRRRRRRRRRRRR

KINGINE...SIFA YA UTAWALA KATIKA NDOA NI MFUMO DUME...NYUMBA YENYE MFUMO JIKE UTII HAUPO NA FAMILIA INAKOSA MAADILI...

NDIO MAANA CHUNGUZA HATA WASANII WENGIIIII WA MUZIKI ,KUIGIZA N.K UTAMSIKIA AKISEMA MUDA MWINGI "WITHOUT MY MOM I WOULDNT BE HERE TODAY,THANKS MY MOM"....HII HAINAMIISHI WALIKUWA HAWANA KINA BABA..MANAKE KINA BABA WALIKUWA HAWATAKI UPIMBI MTOTO AJIINGIZE KWENYE RAP, NK BADALA YA KWENDA KUSOMA...SASA KINA MAMA NDIO WANASUPPORT HARAKATI ZOOTE AMBAZO ZINA UTOVU WA KIMAADILI..

CHUNGUZA HAO WASANII..UTAKUTA IMEJICHORA MITATTOO YA MAJINA YA MAMA ZAO..LAKINI HUKUTI JINA LA BABA PALE..SABABU UJINGA HAWAPENDI..KWAHIYO NIHITIMISHE KWA KUSEMA MFUMO DUME NI SAHIHI KWA AFYA YA FAMILIA.

MATUSI MWIKO..PINGA KWA HOJA WALAU UTAELEWEKA [emoji13]
 

 
Anataka wale wa kumpa sympathy tu,challenge no. Ukimpa challenge anasahau kiswahili full kizungu ili usimbishie

Mtu ana gari,ana kazi bado anahangaishana na mwanaume asiyemjali wala kumdhamin ya nn sasa.
Dyudyuu labda[emoji23] [emoji23]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…