Anataka kumuacha kisa ufupi

Kwanza kupata mwanaume Mfupi halafu mpole ni bahati kubwa sana, labda huyo mdogo wako ana jengine, ufupi sio sabab ya msingi au niulize mdogo wako ana umri gani?
 
Akiisha muacha pls niambie maana mmni 6'4 na nina mjeredi mrefu pia
Anipe nafasi na hatajuta ingawaje nina kazi dhaifu lkn hivyo hivyo tutakacho pata tutakula tukikosa tutalala
 
Akiisha muacha pls niambie maana mmni 6'4 na nina mjeredi mrefu pia
Anipe nafasi na hatajuta ingawaje nina kazi dhaifu lkn hivyo hivyo tutakacho pata tutakula tukikosa tutalala
Kwani huyo anayaogopa majogoo! Khe khe khe khe khe kheeeeeee!
 
Msamehe tu mkuu
 
Aaah, kama ni ubahili ni sawa kabisa. Nikadhani ufupi, ubahili siachi!!!

Hahaha...

Sidhani kama watani zangu nyie ni wabahili. Ni wachumi wazuri sana.

Mtani mmenifundisha nidhamu kwenye matumizi ya pesa.
 
Kama mtu amewahi kuangalia series moja inaitwa HAWAII FIVE 0, wapo jamaa wanne , wawili nadhani ni wajapan, afu kuna wazungu wawili ambao mmojawao ni shortie , sasa najiuliza huo ufupi unazungumziwa hapa ni sawa na wa huyu character wa hii series.
 
Kama mtu amewahi kuangalia series moja inaitwa HAWAII, wapo jamaa wanne , wawili nadhani ni wajapan, afu kuna wazungu wawili ambao mmojawao ni shortie , sasa najiuliza huo ufupi unazungumziwa hapa ni sawa na wa huyu character wa hii series.
Rafiki ake McGareth eeh hahah...jina limenitoka..
 
kwa nini yeye ndo asijione tatizo kwa urefu wake?
 
Hahaha...

Sidhani kama watani zangu nyie ni wabahili. Ni wachumi wazuri sana.

Mtani mmenifundisha nidhamu kwenye matumizi ya pesa.
Umeona eeh mtani wangu, tukiwa wachumi na kwenda na bajeti twaitwa wabahili...
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…