king herode
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 368
- 567
Kuna mhandishi mmoja nilikuwa namheshimu sana na ni jigwi wa kutunga vitabu shaban robert aicee next to huyu jamaa nimekuona ww umeandika vzur sana hii paragraphyIli uipate amani,acha kulalamika na kuona kuwa unatakiwa kununuliwa vitu vidogo vidogo na mume wako wakati uwezo wa kuvinunua unao,yawezekana ndivyo alivyo, kwahiyo usiingize kwanye mahusiano kama kero kwani hatabadiika na mgogoro hautaisha,chukulia kuwa ndivyo alivyo and let it go, epuka sana kutoa siri au weakness za mume wako nje,hii ni mbaya sana,usiwe mtu wa kujibujibu,umetakiwa kutoa hesabu wewe toa,sio lazima kwa wakati huohuo na wewe ujue hesabu zake,tumia hekima mpe muda akiwa ametulia na wewe taratibu ulizia hesabu zake,isiwe kila kitu ni ligi.jua kuwa kilichomuudhi mume wako ni kuona kama vile unataka kushindana naye na kaa ukijua kila siku sisi wanaume kwenye ndoa tunataka kuwa juu,ndivyo tulivyoumbwa na usitake kuibadilisha kwani hutaweza,na ukilazimisha mwisho wa siku utaishia kuachwa.Ndoa inataka amani na kinyume cha hapo hamtafika mbali,ombea sana kuwa na amani...
Sent using Jamii Forums mobile app