Anataka kufahamu faida ninayoingiza kwenye biashara yangu. Kaninunia baada ya kumwambia tupige na mshahara

Ili uipate amani,acha kulalamika na kuona kuwa unatakiwa kununuliwa vitu vidogo vidogo na mume wako wakati uwezo wa kuvinunua unao,yawezekana ndivyo alivyo, kwahiyo usiingize kwanye mahusiano kama kero kwani hatabadiika na mgogoro hautaisha,chukulia kuwa ndivyo alivyo and let it go, epuka sana kutoa siri au weakness za mume wako nje,hii ni mbaya sana,usiwe mtu wa kujibujibu,umetakiwa kutoa hesabu wewe toa,sio lazima kwa wakati huohuo na wewe ujue hesabu zake,tumia hekima mpe muda akiwa ametulia na wewe taratibu ulizia hesabu zake,isiwe kila kitu ni ligi.jua kuwa kilichomuudhi mume wako ni kuona kama vile unataka kushindana naye na kaa ukijua kila siku sisi wanaume kwenye ndoa tunataka kuwa juu,ndivyo tulivyoumbwa na usitake kuibadilisha kwani hutaweza,na ukilazimisha mwisho wa siku utaishia kuachwa.Ndoa inataka amani na kinyume cha hapo hamtafika mbali,ombea sana kuwa na amani...
Kuna mhandishi mmoja nilikuwa namheshimu sana na ni jigwi wa kutunga vitabu shaban robert aicee next to huyu jamaa nimekuona ww umeandika vzur sana hii paragraphy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamna kitu kinachokeraga kama mwanaume kuwa so petty. Kuanza maneno ama visa mdogo mdogo bila kutumia busara.

Kama ulikuwa na mtoto ambae sio wake katika hiyo arrangement yenu ya kuishi pamoja, just be careful.

Might be his time to leave anazingua apate sababu. Mwanaume hanuni ovyo.

Tunajua anafanyeje akijiskia kununa 😄😄😄😄😄😄
 
Mhh This is interesting...NDOA ndoa kabisa!

Ila hapo tuangalie HISTORIA:

Kabla ya NDOA yenu naamini mlikuwa na kipindi cha urafiki/uchumba,

- je, wakati huo alikuwa akikuhudumia kwa lolote? (mf. nguo, zawadi zawadi, nk)

- je, mliwahi kuzungumzia mapato yenu na jinsi gani mtaishi iwapo mkioana? Kama ndiyo, mlikubalianaje na makubaliano hayo yana tofauti gani na mnavyoishi sasa

- je, kuna mambo/miradi ambayo mnaendelea nayo na yeye ndiyo anasimamia peke yake?

Twende kwenye jambo lingine..COMMUNICATION:

Kuna wadau wawili watatu wamezungumzia lugha/tone ya mawasiliano. Kihalisia WANAUME ni viumbe wenye EGO. Ni kweli, kuna baadhi wamepata busara ya kutambua udhaifu wao huo na hata mwanamke amjibuje anaweza kuzuia ego yake isiathiri utendaji wake. Lakini, ni wengi ambao ego hii imewaathiri. Hapa naongea tu randomly na TAFADHALI usione kama ninakuhukumu au kukutuhumu kuwa ndivyo unavyofanya.

Lakini, ukijua jinsi ya kucheza na akili ya mwenza wako..utapata mengi mema ya nchi. Na siri hiyo haianzii kitandani..inaanzia kwenye ulimi wako. [kwa kuongezea ni ULIMI - JIKONI - KITANDANI]

Hapa naongea pia na wanaume wenzangu, siku zote ukiishi na mwenza wako kwa ushindani mtaendelea kugombana TU na kuonana wabaya.
 
'Lakini, ni wengi ambao ego hii imewaathiri'uko sahihi sana..
 
Hamna kitu kinachokeraga kama mwanaume kuwa so petty. Kuanza maneno ama visa mdogo mdogo bila kutumia busara.

Kama ulikuwa na mtoto ambae sio wake katika hiyo arrangement yenu ya kuishi pamoja, just be careful.

Might be his time to leave anazingua apate sababu. Mwanaume hanuni ovyo.

Tunajua anafanyeje akijiskia kununa 😄😄😄😄😄😄

You know sis...you may have a point.

THERE IS A KID.

So, do you think that may be the reason? Why did he have to go through HARUSI and all that then (mmana mtoa mada kanijibu kuwa ni NDOA and not that WANAISHI TU)?

I don't know but I think kwanza lugha wanayotumia kuwasiliana (and sorry here but more her) na kwamba hawakuwahi kuzungumza kabla ya KUFUNGA NDOA.
 
Naomben ushauri wenu....
Naishi na mwanaume kabla sijawah nae nilikua nina kipharmacy kidogo ambalo lipo mpaka leo
Ila tofauti Ni kwamba tulipoamua kuishi pamoja nilimfata mkoa mwingine ambapo sio mbali Sana na duka lilipo hivyo nikalizimika kuweka mtu wa kuniuzia ambapo hua naenda kumkagua Mara kwa Mara

Mwenzangu nimuajiliwa serikarin anapokea hela nzuri nadhan mara 2 au 3 ya kipato changu
Jamaa Jana nashangaa gafla tu anataka tupige hesabu ya mapato ya duka langu naingiza ngapi faida kwa mwezi mi sikukataa ila nikamwambia tukimaliza kupiga kwangu tuje na kwenye mshahara

Nimemwambia hivyo sababu hajawai kuniambia mshahara wake Wala matumiz ya mshahara wake sijui akitoa hela ya matumiz basi na Mara kwa Mara anatuma hela kwao bt cjawahi kumuumiza chochote
Sasa nilivyomwambia tupige hesabu dukana na mshahara kanuna tangu Jana hana raha na mimi ananisemesha penye ulazima tu

Je nimekosea kumwambia hivyo?? maana Kama matumizi natoa maana tuliwekeana kila mwez tuna ac ya familia ye anaweka laki 4 mi naweka 2 kwa ajir ya matumiz ya badae....bado nikiona vyombo vzuri, mapazia, shuka yan vitu vidogo vidogo na nunua mbali na hela niliyosave ...tangu kanioa nguo najinunulia tu mwenyewe
Sasa nimekosea wapi ndugu zanguni?
Kabla hajakuoa ulikuwa single mom?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You know sis...you may have a point.

THERE IS A KID.

So, do you think that may be the reason? Why did he have to go through HARUSI and all that then (mmana mtoa mada kanijibu kuwa ni NDOA and not that WANAISHI TU)?

I don't know but I think kwanza lugha wanayotumia kuwasiliana (and sorry here but more her) na kwamba hawakuwahi kuzungumza kabla ya KUFUNGA NDOA.
Basi kabadilika. Mbona kama alisema wanaishi tu. Aangalie namna ya kumlea mwanae.
 
Back
Top Bottom