Anataka kufahamu faida ninayoingiza kwenye biashara yangu. Kaninunia baada ya kumwambia tupige na mshahara

mama pita

Member
Jul 20, 2012
97
139
Naombeni ushauri wenu....
Naishi na mwanaume kabla sijawahi nae nilikua nina kipharmacy kidogo ambalo lipo mpaka leo ila tofauti ni kwamba tulipoamua kuishi pamoja nilimfata mkoa mwingine ambapo sio mbali sana na duka lilipo hivyo nikalizimika kuweka mtu wa kuniuzia ambapo hua naenda kumkagua mara kwa mara

Mwenzangu ameajiliwa serikarini anapokea hela nzuri nadhan mara 2 au 3 ya kipato changu jamaa jana nashangaa gafla tu anataka tupige hesabu ya mapato ya duka langu naingiza ngapi faida kwa mwezi mi sikukataa ila nikamwambia tukimaliza kupiga kwangu tuje na kwenye mshahara

Nimemwambia hivyo sababu hajawai kuniambia mshahara wake wala matumizi ya mshahara wake sijui akitoa hela ya matumizi basi na mara kwa mara anatuma hela kwao bt sijawahi kumuumiza chochote sasa nilivyomwambia tupige hesabu dukani na mshahara kanuna tangu Jana hana raha na mimi ananisemesha penye ulazima tu

Je nimekosea kumwambia hivyo?? maana kama matumizi natoa maana tuliwekeana kila mwezi tuna ac ya familia ye anaweka laki 4 mi naweka 2 kwa ajiri ya matumizi ya badae bado nikiona vyombo vizuri, mapazia, shuka yan vitu vidogo vidogo na nunua mbali na hela niliyosave tangu kanioa nguo najinunulia tu mwenyewe sasa nimekosea wapi ndugu zanguni?
 
Naomben ushauri wenu....
Naishi na mwanaume kabla sijawah nae nilikua nina kipharmacy kidogo ambalo lipo mpaka leo
Ila tofauti Ni kwamba tulipoamua kuishi pamoja nilimfata mkoa mwingine ambapo sio mbali Sana na duka lilipo hivyo nikalizimika kuweka mtu wa kuniuzia ambapo hua naenda kumkagua Mara kwa Mara

Mwenzangu nimuajiliwa serikarin anapokea hela nzuri nadhan mara 2 au 3 ya kipato changu
Jamaa Jana nashangaa gafla tu anataka tupige hesabu ya mapato ya duka langu naingiza ngapi faida kwa mwezi mi sikukataa ila nikamwambia tukimaliza kupiga kwangu tuje na kwenye mshahara

Nimemwambia hivyo sababu hajawai kuniambia mshahara wake Wala matumiz ya mshahara wake sijui akitoa hela ya matumiz basi na Mara kwa Mara anatuma hela kwao bt cjawahi kumuumiza chochote
Sasa nilivyomwambia tupige hesabu dukana na mshahara kanuna tangu Jana hana raha na mimi ananisemesha penye ulazima tu

Je nimekosea kumwambia hivyo?? maana Kama matumizi natoa maana tuliwekeana kila mwez tuna ac ya familia ye anaweka laki 4 mi naweka 2 kwa ajir ya matumiz ya badae....bado nikiona vyombo vzuri, mapazia, shuka yan vitu vidogo vidogo na nunua mbali na hela niliyosave ...tangu kanioa nguo najinunulia tu mwenyewe
Sasa nimekosea wapi ndugu zanguni?
Mmeamua kuishi pamoja...bado hamjaamua kuishi pamoja, mtakapoamua kuishi pamoja mumeo atakua responsible kwa kila kitu including yourself.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ili uipate amani,acha kulalamika na kuona kuwa unatakiwa kununuliwa vitu vidogo vidogo na mume wako wakati uwezo wa kuvinunua unao,yawezekana ndivyo alivyo, kwahiyo usiingize kwanye mahusiano kama kero kwani hatabadilika na mgogoro hautaisha,chukulia kuwa ndivyo alivyo and let it go, epuka sana kutoa siri au weakness za mume wako nje,hii ni mbaya sana,usiwe mtu wa kujibujibu,umetakiwa kutoa hesabu wewe toa,sio lazima kwa wakati huohuo na wewe ujue hesabu zake,tumia hekima mpe muda akiwa ametulia na wewe taratibu ulizia hesabu zake,isiwe kila kitu ni ligi.Kaa ukijua kuwa kilichomuudhi mume wako ni kuona kama vile unataka kushindana naye na ujue pia siku zote sisi wanaume kwenye ndoa tunataka kuwa juu,ndivyo tulivyoumbwa na usitake kuibadilisha kwani hutaweza,na ukilazimisha mwisho wa siku utaishia kuachwa.Ndoa inataka amani na kinyume cha hapo hamtafika mbali,ombea sana kuwa na amani...
 
Naomben ushauri wenu....
Naishi na mwanaume kabla sijawah nae nilikua nina kipharmacy kidogo ambalo lipo mpaka leo
Ila tofauti Ni kwamba tulipoamua kuishi pamoja nilimfata mkoa mwingine ambapo sio mbali Sana na duka lilipo hivyo nikalizimika kuweka mtu wa kuniuzia ambapo hua naenda kumkagua Mara kwa Mara

Mwenzangu nimuajiliwa serikarin anapokea hela nzuri nadhan mara 2 au 3 ya kipato changu
Jamaa Jana nashangaa gafla tu anataka tupige hesabu ya mapato ya duka langu naingiza ngapi faida kwa mwezi mi sikukataa ila nikamwambia tukimaliza kupiga kwangu tuje na kwenye mshahara

Nimemwambia hivyo sababu hajawai kuniambia mshahara wake Wala matumiz ya mshahara wake sijui akitoa hela ya matumiz basi na Mara kwa Mara anatuma hela kwao bt cjawahi kumuumiza chochote
Sasa nilivyomwambia tupige hesabu dukana na mshahara kanuna tangu Jana hana raha na mimi ananisemesha penye ulazima tu

Je nimekosea kumwambia hivyo?? maana Kama matumizi natoa maana tuliwekeana kila mwez tuna ac ya familia ye anaweka laki 4 mi naweka 2 kwa ajir ya matumiz ya badae....bado nikiona vyombo vzuri, mapazia, shuka yan vitu vidogo vidogo na nunua mbali na hela niliyosave ...tangu kanioa nguo najinunulia tu mwenyewe
Sasa nimekosea wapi ndugu zanguni?

Inawezekana lugha uliyotumia, ulionyesha kama labda unalipiza au ubabe au kulazimisha! Kumjibu pale pale inaleta picha kama kuna kaushindani hivii kitu ambacho hakipendezi

Ni haki yako mie naona, ungempa alichokitaka then ukatoa pendekezo la baada ya siku kadhaa na kwa utulivu kabisa.

Kuwa mtulivu kwa sasa, onyesha ukomavu, usimjibi hovyo na wewe! Kisha unaweza kuanzisha mada ya kumuondoa katika hiyo hali na kurudi normal!
 
Naomben ushauri wenu....
Naishi na mwanaume kabla sijawah nae nilikua nina kipharmacy kidogo ambalo lipo mpaka leo
Ila tofauti Ni kwamba tulipoamua kuishi pamoja nilimfata mkoa mwingine ambapo sio mbali Sana na duka lilipo hivyo nikalizimika kuweka mtu wa kuniuzia ambapo hua naenda kumkagua Mara kwa Mara

Mwenzangu nimuajiliwa serikarin anapokea hela nzuri nadhan mara 2 au 3 ya kipato changu
Jamaa Jana nashangaa gafla tu anataka tupige hesabu ya mapato ya duka langu naingiza ngapi faida kwa mwezi mi sikukataa ila nikamwambia tukimaliza kupiga kwangu tuje na kwenye mshahara

Nimemwambia hivyo sababu hajawai kuniambia mshahara wake Wala matumiz ya mshahara wake sijui akitoa hela ya matumiz basi na Mara kwa Mara anatuma hela kwao bt cjawahi kumuumiza chochote
Sasa nilivyomwambia tupige hesabu dukana na mshahara kanuna tangu Jana hana raha na mimi ananisemesha penye ulazima tu

Je nimekosea kumwambia hivyo?? maana Kama matumizi natoa maana tuliwekeana kila mwez tuna ac ya familia ye anaweka laki 4 mi naweka 2 kwa ajir ya matumiz ya badae....bado nikiona vyombo vzuri, mapazia, shuka yan vitu vidogo vidogo na nunua mbali na hela niliyosave ...tangu kanioa nguo najinunulia tu mwenyewe
Sasa nimekosea wapi ndugu zanguni?

sorry...

KAKUOA au MNAISHI NAYE TU?

Kwa kuongezea tu,
Baada ya NGONO/KUJAMIIANA basi MASUALA YA FEDHA yanafuatia katika kuvunja nyumba nyingi.

Jibu swali langu tuendelee kuzungumza mpendwa.
 
Kiufupi siku hzi wanaume hawapendi majukumu

" wanawake wengi waliondoani wanajitegemea kwa kila kitu kasoro tendo"

Hahaha HATA TENDO siku hizi wanawake wengi wanajihudumia wenyewe...sadly.

Lakini nadhani ni muhimu sana kumfahamu mwenza wako kabla hamjaamua kuishi pamoja. Huenda ndiyo tabia yake tangu azaliwe na haihusiani na wanaume wa siku hizi.
 
Back
Top Bottom