Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,884
Me daah kumbe sijaandika bnaHuyu mpenzi awe Me au Ke, I wanna be...[emoji39]
Nunua basi tuoneHii forum imekuwa sehemu ya Kununua wanawake...[emoji23][emoji23][emoji23]
Na mlivyo na njaaa...hapo mshajipeleka PM mwisho wa siku mnaanza kuliaa liaa..!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nunua basi tuone
Hujielewi hataNa mlivyo na njaaa...hapo mshajipeleka PM mwisho wa siku mnaanza kuliaa liaa..!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Me sijui bna nimetumwa tuMkuu hadi maini tena wakati hiyo ni short term plan, au ndo kwamba ikitokea amenasa ujauzito inageuzwa na kuwa long term plan.
nenda ukaliwee kwa week kila siku buku...!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yani unatetea kununuliwaaa....??Hujielewi hata
Nunua kwanza nione hayo mauzonenda ukaliwee kwa week kila siku buku...!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yani unatetea kununuliwaaa....??
[emoji23][emoji23][emoji23]Unatafuta hela ya Xmass na out za buree...!! Me sina hela ya kununua wanaouzwa au wanaojiuza jf...[emoji2211][emoji2211][emoji2211]Nunua kwanza nione hayo mauzo
Wewe dogo mchezo huuwezi wewe acha kelele.[emoji23][emoji23][emoji23]Unatafuta hela ya Xmass na out za buree...!! Me sina hela ya kununua wanaouzwa au wanaojiuza jf...[emoji2211][emoji2211][emoji2211]
Me mjumbe tu wakuu
Mahusiano yataannza tar 23 dec hadi tareh 2 January
Benefits
Kula Na kulala pamoja nyumbani kwa mmojawapo
Cost sharing
Qualifications
Age 35_36
HIV negative.(utapimwa hadi maini)
Ujue kuogelea maana Zanzibar itahusika
Usiwe Na stress za mapenzi
Usiwe mchoyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2211][emoji2211][emoji2211]Wewe dogo mchezo huuwezi wewe acha kelele.