Anatafuta maharage ya kule huyu

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
13438853_881747358597254_269549016679641773_n.jpg
 
Mi ndo maana nilikataaga mambo ya kufungana vifungo na viapo vya maisha. Maana huyu jamaa hata siku haijaisha tangu aape kifungo cha maishatayari keshaanza kuwaza jinsi ya kuchepuka.

Moyo pamoja na kuwa kazi yake kuu ni kusukuma damu, bado unapata maumivu makubwa pale unapogundua ndivyo sivyo. Nashukuru Mola alinipa nafasi ya kuumizwa wakati niko mschana na nikatoka kwenye kundi la waingia kwenye ndoa au wenye mahusiano sugu.

Niko mwepesii.. mweupee kwa raha na starehe zangu nyege zikipanda pa kushusha pako na maisha yanasonga. Sijawahi kutamani kuishi na mtu milele au kubanana na kufatana fatana kila wakati na kila mahali. Mwamuzi wa kwanza na wa mwisho kwenye maisha yangu ni ME, MYSELF AND I. Nikiwa down basi ujue ni shida zingine za dunia ila si mapenzi.

Ukiniona wa nini mie nakuona wa kazi gani na wenzio wanasema tutampata lini hehehehehhe.

Dunia duara na mambo yake ni mzunguko.

Kasie.
 
Duh huyo ticha kashangaa hadi anashinwa kumchapa manake mzigo aliokutana nao ni mkubwa kuliko aliotegemea.
 
Mi ndo maana nilikataaga mambo ya kufungana vifungo na viapo vya maisha. Maana huyu jamaa hata siku haijaisha tangu aape kifungo cha maishatayari keshaanza kuwaza jinsi ya kuchepuka.

Moyo pamoja na kuwa kazi yake kuu ni kusukuma damu, bado unapata maumivu makubwa pale unapogundua ndivyo sivyo. Nashukuru Mola alinipa nafasi ya kuumizwa wakati niko mschana na nikatoka kwenye kundi la waingia kwenye ndoa au wenye mahusiano sugu.

Niko mwepesii.. mweupee kwa raha na starehe zangu nyege zikipanda pa kushusha pako na maisha yanasonga. Sijawahi kutamani kuishi na mtu milele au kubanana na kufatana fatana kila wakati na kila mahali. Mwamuzi wa kwanza na wa mwisho kwenye maisha yangu ni ME, MYSELF AND I. Nikiwa down basi ujue ni shida zingine za dunia ila si mapenzi.

Ukiniona wa nini mie nakuona wa kazi gani na wenzio wanasema tutampata lini hehehehehhe.

Dunia duara na mambo yake ni mzunguko.

Kasie.
Dada inaonyesha una mengi moyoni ??
 
Ok. Kwa hiyo hutaki mme ila huna unjanja wa kuzikwepa nzakali za kiume. Good. Go on.
 
Nimependa andiko lako na msimamo wako isipokuwa sikulipenda hilo neno Nye.. ungetumia neno jingine kuwasilisha ujumbe wako..
 
Mi ndo maana nilikataaga mambo ya kufungana vifungo na viapo vya maisha. Maana huyu jamaa hata siku haijaisha tangu aape kifungo cha maishatayari keshaanza kuwaza jinsi ya kuchepuka.

Moyo pamoja na kuwa kazi yake kuu ni kusukuma damu, bado unapata maumivu makubwa pale unapogundua ndivyo sivyo. Nashukuru Mola alinipa nafasi ya kuumizwa wakati niko mschana na nikatoka kwenye kundi la waingia kwenye ndoa au wenye mahusiano sugu.

Niko mwepesii.. mweupee kwa raha na starehe zangu nyege zikipanda pa kushusha pako na maisha yanasonga. Sijawahi kutamani kuishi na mtu milele au kubanana na kufatana fatana kila wakati na kila mahali. Mwamuzi wa kwanza na wa mwisho kwenye maisha yangu ni ME, MYSELF AND I. Nikiwa down basi ujue ni shida zingine za dunia ila si mapenzi.

Ukiniona wa nini mie nakuona wa kazi gani na wenzio wanasema tutampata lini hehehehehhe.

Dunia duara na mambo yake ni mzunguko.

Kasie.
maneno ya mkosaji tuuuuu
 
Ok. Kwa hiyo hutaki mme ila huna unjanja wa kuzikwepa nzakali za kiume. Good. Go on.

Ni kama vile ambavyo mwanaume hawezi kwepa au hawezi hasi punena. Pale ni mtakuja kwa pande zote mbili..... usipokuja leo basi kesho au kesho kutwa utakuja au utaenda na itabaki pale pale kuwa pale mahali ni mtakuja.
Am always on going .... not waiting for ones go
ahead....

Kasie.
 
Maneno ya mkosaji tuuuu........ just quoting you....
No add ons.

Kasie.
Bado hujapata furaha una pretend ukipata mwanaume ishi naye hiyo hali itatoka
Aliye kuumiza mwanzo ameadhir mfumo wako wote wa love
 
Hiyo furaha ya kuletwa na binadamu mwingine siitaki, furaha niliyoridhika nayo inatoka kwenye chemchem ya nafsi na moyo wangu.

Am happy...... kama hukubali.... I gat nothing to do with that....

Kasie.
 
Mi ndo maana nilikataaga mambo ya kufungana vifungo na viapo vya maisha. Maana huyu jamaa hata siku haijaisha tangu aape kifungo cha maishatayari keshaanza kuwaza jinsi ya kuchepuka.

Moyo pamoja na kuwa kazi yake kuu ni kusukuma damu, bado unapata maumivu makubwa pale unapogundua ndivyo sivyo. Nashukuru Mola alinipa nafasi ya kuumizwa wakati niko mschana na nikatoka kwenye kundi la waingia kwenye ndoa au wenye mahusiano sugu.

Niko mwepesii.. mweupee kwa raha na starehe zangu nyege zikipanda pa kushusha pako na maisha yanasonga. Sijawahi kutamani kuishi na mtu milele au kubanana na kufatana fatana kila wakati na kila mahali. Mwamuzi wa kwanza na wa mwisho kwenye maisha yangu ni ME, MYSELF AND I. Nikiwa down basi ujue ni shida zingine za dunia ila si mapenzi.

Ukiniona wa nini mie nakuona wa kazi gani na wenzio wanasema tutampata lini hehehehehhe.

Dunia duara na mambo yake ni mzunguko.

Kasie.
Na vipi kuhusu kuzaa watoto? Au nalo hujaona umuhimu wake?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom