Innobwoy
JF-Expert Member
- Nov 29, 2010
- 979
- 535
~Moyo Machine~Moyo wa mtu kichaka,ukistaajabu ya Kasie ukija kuyafahamu ya Mwajuma utasema ya Kasie yanaafadhali.
Ndivyo ilivyo.
~Moyo Machine~Moyo wa mtu kichaka,ukistaajabu ya Kasie ukija kuyafahamu ya Mwajuma utasema ya Kasie yanaafadhali.
Ndivyo ilivyo.
Na vipi kuhusu kuzaa watoto? Au nalo hujaona umuhimu wake?
~Moyo Machine~
Mi ndo maana nilikataaga mambo ya kufungana vifungo na viapo vya maisha. Maana huyu jamaa hata siku haijaisha tangu aape kifungo cha maishatayari keshaanza kuwaza jinsi ya kuchepuka.
Moyo pamoja na kuwa kazi yake kuu ni kusukuma damu, bado unapata maumivu makubwa pale unapogundua ndivyo sivyo. Nashukuru Mola alinipa nafasi ya kuumizwa wakati niko mschana na nikatoka kwenye kundi la waingia kwenye ndoa au wenye mahusiano sugu.
Niko mwepesii.. mweupee kwa raha na starehe zangu nyege zikipanda pa kushusha pako na maisha yanasonga. Sijawahi kutamani kuishi na mtu milele au kubanana na kufatana fatana kila wakati na kila mahali. Mwamuzi wa kwanza na wa mwisho kwenye maisha yangu ni ME, MYSELF AND I. Nikiwa down basi ujue ni shida zingine za dunia ila si mapenzi.
Ukiniona wa nini mie nakuona wa kazi gani na wenzio wanasema tutampata lini hehehehehhe.
Dunia duara na mambo yake ni mzunguko.
Kasie.
Hapa Kasie kwakweli sijaungana nawe japo shauri lako lidumu milele kwakuwa ni maamuzi yako. Ulimwengu wa mapenzi siku zote utabakia hivyo chini ya jua hata wakishushwa malaika watabihave ule utakatifu kwa muda flani watajimix na dunia baadae wakishayazoea mazingira. Leo ni nzuri kwa maamuzi yako kuwa hivyo lkn kuna kesho pia ambapo siamini sana kama itakupa nafasi nzuri ya kuingia kwenye agano ukiwa na furaha kama wakati huu..... Anyway bado yote juu ya yote yapo kwako.
Amen!!
Here is where we dare to talk openly.Nimependa andiko lako na msimamo wako isipokuwa sikulipenda hilo neno Nye.. ungetumia neno jingine kuwasilisha ujumbe wako..
Here is where we dare to talk openly.
Mbona nakujua in out, maelezo yako si kweli, ukibisha njoo pm nikuambie wewe nani.Mi ndo maana nilikataaga mambo ya kufungana vifungo na viapo vya maisha. Maana huyu jamaa hata siku haijaisha tangu aape kifungo cha maishatayari keshaanza kuwaza jinsi ya kuchepuka.
Moyo pamoja na kuwa kazi yake kuu ni kusukuma damu, bado unapata maumivu makubwa pale unapogundua ndivyo sivyo. Nashukuru Mola alinipa nafasi ya kuumizwa wakati niko mschana na nikatoka kwenye kundi la waingia kwenye ndoa au wenye mahusiano sugu.
Niko mwepesii.. mweupee kwa raha na starehe zangu nyege zikipanda pa kushusha pako na maisha yanasonga. Sijawahi kutamani kuishi na mtu milele au kubanana na kufatana fatana kila wakati na kila mahali. Mwamuzi wa kwanza na wa mwisho kwenye maisha yangu ni ME, MYSELF AND I. Nikiwa down basi ujue ni shida zingine za dunia ila si mapenzi.
Ukiniona wa nini mie nakuona wa kazi gani na wenzio wanasema tutampata lini hehehehehhe.
Dunia duara na mambo yake ni mzunguko.
Kasie.
Am humbled.... Thanks for the respect....Kasinde umekuwa unseen friend of mine. Tokea nimeisoma thread yako ya kwanza hapa nilitambua wewe ni mmoja kati ya great thinker humu ndani. Na Mungu anapokupendelea kukupa vitu vyote vizima huwa na sababu za msingi kabisa.... we sio wa kuadopt mtoto wakati nguvu za kupush unazo..... lkn bado naheshimu mawazo yako sana..
Wanaonijua in out ni wengi tuu wala sio pekeyako na yet sijaenda pm kuchat nao.Mbona nakujua in out, maelezo yako si kweli, ukibisha njoo pm nikuambie wewe nani.
Haha kuwa Yaya tuSipendi wala sifikirii kuwa single parent kwakuwa mawazo ya kuolewa sina.
Napenda watoto ila sifikirii kuzaa wala sina mpango huo. For company on my later days siwezi kosa mtoto wa kuishi nae kwakuwa wapo tele kwenye vituo vya kulelea mayatima ni process tu ukizifuata basi namchukua na kumlea kama mwanangu. Ntafanya hivi nikishafanya maamuzi ya ku adopt mtoto.
Kasie.
Basi acha kudanganya.Wanaonijua in out ni wengi tuu wala sio pekeyako na yet sijaenda pm kuchat nao.
This is Kasie. ...whether you like it or not she'll be Kasie and keep on being Kasie.
Nikibadilika sana ntakuwa ME MYSELF AND I.
Kasie.
Haha kuwa Yaya tu
Aaa wap tudangaye tuu hapaAin't that... am Kasie and will keep on being Kasie.
Basi acha kudanganya.
Aaa wap tudangaye tuu hapa
Strong KasieWanaonijua in out ni wengi tuu wala sio pekeyako na yet sijaenda pm kuchat nao.
This is Kasie. ...whether you like it or not she'll be Kasie and keep on being Kasie.
Nikibadilika sana ntakuwa ME MYSELF AND I.
Kasie.