Anasalitiwa Diamond Platnumz Sembuse Wewe Ambae Huna Sumni

Anasalitiwa Diamond Platnumz Sembuse Wewe Ambae Huna Sumni

Mama yako ndiyo wale wa
Inaonekana hizo ndio kazi wanazofanya wazazi wako, ukiachilia mama yako kuuza nyapu.... kaza sana dogo, alafu punguza kuleta mazoea kwenye post za wanaume, utaliwa jicho
haya wa mwanzo kuuza uchi kigamboni miaka Ile.
 
Kwahiyo kusalitiwa kwa diamond ndio kuna set standard ya kwamba kila mwanaume lazima asalitiwe?

Huko kuwa na insecurity
 
Ulicho shindwa kuelewa ni kuwa, ukishakuwa maarufu na ukawa na pesa ndo rahisi kuchapiwa zaidi.

Anyway hii case kimtindo ni ya wote, tofauti ni risk tu ya kuchapiwa.
Hivi maskini hawagongewi na kuchapiwa? Ila inahizunisha wee tajiri lakini demu wako anagongwa bure Kwa saund Tu Halafu anampa hela anayemgonga Tena hela zako maamae.

dronedrake ajengewe sanamu
 
Hapo chini kwenye video Diamond Platnumz anazungumza namna alivyosalitiwa na mpenzi wake aliyekuwa nae akitoka kimapenzi pia na Waziri wa Nishati wa kipindi icho, mpenzi anayehisiwa kumsaliti Diamond Platnumz hapo inasemekana ni Wema Sepetu.

Hata hivyo pia kuna tetesi ziliwai kusema kuwa Mama wa watoto wa Diamond Platnumz anayefahamika kama Zari aliwahi kumchiti Diamond Platnumz na mmoja wa wasanii wa kundi la Psquare.

Licha ya Diamond Platnumz kuwa maarufu na kupata viji pesa lakini aliweza kupigwa matukio na wapenzi wake, wewe ni nani uisalitiwe au husigongewe. Muda mwingine unagongewa lakini ni ngumu kujua kuwa mpenzi wako kapigwa nyama na mtu mwingine. Cha msingi tu ukiona umesalitiwa na uwezi kuvumilia basi achana nae hata kama unampenda sana, maana wengine ndio tabia zao kuchiti au hawezi kukaa na mtu mmoja hivyo lazima akitembeze.
🤣
Diamond ndio standard yako
 
Back
Top Bottom