Anasalitiwa Diamond Platnumz Sembuse Wewe Ambae Huna Sumni

Anasalitiwa Diamond Platnumz Sembuse Wewe Ambae Huna Sumni

Shida huyo aliyemsaliti Diamond na Diamond wote matatizo
Ndoa za wasanii ni zaki sanii sanii
Tu
Hawakai muda mrefu
Kama wanaona mchezo fulani hivi
Jamaa kama hataki kuoa kwa sababu anajua wengi anaowapata sasa hivi ni wale wanaotaka kumtumia kimafanikio, ukijakuoa siku mkiachana ndio utasikia kesi mahakamani mke anataka mali zigawanywe mara ulipe pesa ndefu za matunzo ya mtoto
 
Ndio maana
 
Mimi naongelea uhalisia wa maisha, wewe unaleta feelings hapa... KMMKO
Lengo la kwanza ni kukutingisha dishi lako kwa matusi yako nimefurahi,kwahiyo mama yako amewahi kumsaliti baba yako mchimba chumvi na mchoma mkaa?
 
Ulofa wa wanaSisiem kutaka sifa kwa kitu wasichofanya .
Hii Ngoma ilikuwa na wasaliti wa pande tatu.
 
Nasema hv kila mwenye mke ajue mke wake alishamsaliti, anamsaliti au atamsaliti sooner or later. Mark my word.
 
Mbona mnajadili kuhusu jua kuzama jioni, hiyo ni asili yake na hakuna namna tunaeza rekebisha.
 
Lengo la kwanza ni kukutingisha dishi lako kwa matusi yako nimefurahi,kwahiyo mama yako amewahi kumsaliti baba yako mchimba chumvi na mchoma mkaa?
Inaonekana hizo ndio kazi wanazofanya wazazi wako, ukiachilia mama yako kuuza nyapu.... kaza sana dogo, alafu punguza kuleta mazoea kwenye post za wanaume, utaliwa jicho
 
Hapo chini kwenye video Diamond Platnumz anazungumza namna alivyosalitiwa na mpenzi wake aliyekuwa nae akitoka kimapenzi pia na Waziri wa Nishati wa kipindi icho, mpenzi anayehisiwa kumsaliti Diamond Platnumz hapo inasemekana ni Wema Sepetu.

Hata hivyo pia kuna tetesi ziliwai kusema kuwa Mama wa watoto wa Diamond Platnumz anayefahamika kama Zari aliwahi kumchiti Diamond Platnumz na mmoja wa wasanii wa kundi la Psquare.

Licha ya Diamond Platnumz kuwa maarufu na kupata viji pesa lakini aliweza kupigwa matukio na wapenzi wake, wewe ni nani uisalitiwe au husigongewe. Muda mwingine unagongewa lakini ni ngumu kujua kuwa mpenzi wako kapigwa nyama na mtu mwingine. Cha msingi tu ukiona umesalitiwa na uwezi kuvumilia basi achana nae hata kama unampenda sana, maana wengine ndio tabia zao kuchiti au hawezi kukaa na mtu mmoja hivyo lazima akitembeze.
Once a ho always a ho
 
Back
Top Bottom