KIDOLEGUMBA
JF-Expert Member
- Apr 17, 2013
- 498
- 109
Si amesahau? Kuna tatizo gani?
Ukichukulia kitu kitu big issue hauto enjoy mapenzi....
Sio inshu........mambo madogo sana hayo.Watoto wa familia bora ndo mnazo sana hzo,uswaz sisi hata mambo ya b'day hatuna shobo nayo
umehamia uswazi siku hizi?
Mimi ndio nitaachwa kila siku. Kuendekeza uzungu.
Ya kwangu mwenyewe sikumbukagi. Kwanini tukumbushane kuzeeka?
umekuwa mswahili siku hizi
full hueleweki
It ain't a crime kwa kweli. I wouldnt hold a grudge kwa kweli.