Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,196
- 34,502
you wanna try NN?Are you positive?
you wanna try NN?Are you positive?
you wanna try NN?
Sure, why not....
Habari zenu wana jamii, mi naomba kuelimishwa juu ya hili swala la kukumbushana siku ya kuzaliwa haswa kwa wapenzi, je mmoja wapo anaposahau kumpa heri ya siku ya kuzaliwa mpenziwe inaonyesha hampendi, hana umuhimu saana au kapitiwa tu?
Hahaaa. Sawa. But the expressed intent to forget nullifies the forgiveness though. Si unajua eeeh?
Kwani Akisahau miaka yako inarudi nyuma?
Even if I express suitable penitence?
Yeah!!
Damn! You are a baddie and a big meanie.
An understatement.
Good-golly-gosh!
Vina umuhimu wake aisee... Au ndo kujitoa fahamu??
kwa wenzetu wa ULAYA NA AMERICA ni isue kubwa na ikitokea ipite kavukavu basi hakuna kujitetea kuwa ulipitiwa au sijui umesahau, inachukuliwa na mpenzi wako kuwa humjali. Ila kwa sisi wa karagwe, Jinja, Kisumu, Kigali sio isue saaana. sio utamaduni wetu ni kama tulivyokopi mambo ya birthday nk.Habari zenu wana jamii, mi naomba kuelimishwa juu ya hili swala la kukumbushana siku ya kuzaliwa haswa kwa wapenzi, je mmoja wapo anaposahau kumpa heri ya siku ya kuzaliwa mpenziwe inaonyesha hampendi, hana umuhimu saana au kapitiwa tu?
watoto mnaweza kuwaza upunguani huo, kupendwa kunauhusiano gani na tarehe zenu za kuzaliwa !?
watu walio busy kusaka manoti wanapata wapi muda wakuwaza maujinga yenu