Anaposahau siku yako ya kuzaliwa

Atakayekasirika anaakili za kunakili. Ni mara ngapi mtu anasahau ya kwake mwenyewe? Au umesahau kuna kipindi unatafuta kitu ulichokishika mkononi sembuse kitu cha mara moja kwa mwaka.
 
wakat mwingne mwenyewe huwa nasahu hata yangu nakumbuka ishapta,sembuse unaweza kusababisha migorogoro icyoyalazma
 
kwa vijana walio mavyuoni kipindi hiki cha utandawaz birthday nadhani kwao ndo kipimo cha upendo wa dhati maana ukiisahau ya mwenzio tu kuchuniana kunaanza mwishowe uhusiano unalega!
 
Back
Top Bottom