Mnyalu wa Kweli
JF-Expert Member
- Oct 7, 2010
- 233
- 55
Wana-jamvi mshakaji wangu wa tokea form one hadi university level analalamika kuwa ndoa yake kwa sasa ipo hatarini kuparaganyika baada ya yeye mwenyewe ( mshikaji huyo) kususia tendo la ndoa kutokana na kutofurahishwa na hali ya mkewe wakati wa ndoa. Kwa mujibu wa maelezo yake ikiwa atamua kwenda na mkewe katika style ya : 'Mbuzi Kagoma' basi yeye( jamaa) husikia harufu ya ***tope*** kiasi cha kumtoa hamu ya kuendelea na tendo( nadhani hapo mmenielewa namaanisha nini). Na hata kama wakitumia style ya kawaida( Man on top) huambulia harufu asiyoipenda toka sehemu za siri za mke wake. Wakati mwingine ( hata kama si wakati wa tendo la ndoa) rafiki yangu huyu anadai husikia harufu kama ya beberu toka kwa mkewe, harufu ambayo anasema inamkera. Kuna kipindi anasema alimgombeza sana mke wake kwa kumhisi kuwa huenda huwa anatembea na wanaume nje ya ndoa kinyume na maumbile ndio maana hata akioga au akinawa bado harufu ya ****tope****inasikika wakati wa tendo la ndoa.
Huyu rafiki yangu tumsaidieje au uzi huu wataalam wa afya ndio wanaweza kuutolea ushauri?
Huyu rafiki yangu tumsaidieje au uzi huu wataalam wa afya ndio wanaweza kuutolea ushauri?