Je, ni kweli yawezekana kumkojoza mwanamke kwenye tendo?Karibu ujifunze jambo jipya?

Llio 002

JF-Expert Member
Jul 14, 2015
1,615
2,031
Bilashaka umewahi kusikia neno katerero linalotumika sana na wahaya, likimaanisha kumchapa mwanamke na mboo mpaka akojoe maji mengi wakati wa tendo au maandalizi. UZI wetu wa leo utaongelea kwa kina tendo la mwanamke kukojoa kwenye tendo na mbinu za kufanya.

Squirting au female ejaculation ni kitendo cha mwanamke kumwaga maji yenye rangi nyeupe yasiyo na harufu. Mwanamke anaweza kukojoa maji haya wakati wa maandalizi ya tendo au hata anapofika kileleni. Wanasayasi wanaamini kwamba maji haya yanaanzia kwenye kibofu cha mkojo na kuchanganyika na maji ya kwenye tezi za uke.

Je ni Kawaida Mwanamke Kukojoa Maji Mengi Wakati Wa Tendo?

Mwanamke kupiz ni kawaida kabisa wala siyo jambo baya kama wachache wanavofikiri. Wataalamu wa mahusiano na tendo la ndoa wanaamini kwamba kila mwanamke anaweza kumwaga maji akiandaliwa na kukunwa vizuri.

Watu wengi hufikiri kwamba mwanamke anapofika kilele na akakojoa, basi ule ni mkojo hutoka kwenye kibofu. Mwanamke kukojoa kwenye tendo siyo mkojo, ni maji maji yasiyo na harufu yanayotoka kwenye tezi za uke.

Japo inatokea mara chache sana mkojo ukaponyoka nyakati za tendo la ndoa. Baadhi ya wanawake wanaweza kumwaga maji na wakati huo wanakojoa pia mkojo wa kawaida.

Endapo unahisi kama hali ya kukojoa unapofika kileleni ni kawaida. Kwasababu hisia za mapenzi zinafanya damu iwe nyingi kwenye tishu eneo la karibu na mrija wa mkojo. Tishu hizi zikijaa damu zinajikaza na kusukuma kibofu cha mkojo.

Kwa Leo tuishie hapo usiku mwema bandugu.

Orgasm-Maisha-doctors.jpg
 
Ila jua si kila mwanamke akipanua mdomo hivyo kafika kileleni, wengine wanaumia kutokana na mambo mbalimbali, so ni kazi ya mwanaume kujua hilo, pia jua Mwanamke anaejiuza hawezi fika kileleni hata ufanye nini, yaani uchukue mwanamke bar au street alafu utegemee afike kileleni hilo halipo, sbb kufika kileleni inaanza na psychology kwanza, love must lead before sex, hapo kukiwa na love kati ya wawili, hapo mwanamke anaweza fika kileleni mara hata zaidi ya moja
 
Mmmh mbona linawezekana tu hili ongeza juhudi, ukienda nae usmchukulie kama bar med note:kupima Afya n mhm. 👍🏿, yule majukumu wa mkwawa hata sahau alikri kwmba haya mambo nazani n wahaya tu kumbe n sisi pia jamn tunafika huko kulownsha mashuka kama mafuriko.. Kila mwnamke anafika huko amini hvo
 
Back
Top Bottom