Anaomba ushauri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anaomba ushauri

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mnyalu wa Kweli, Jan 20, 2011.

 1. M

  Mnyalu wa Kweli JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 233
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Wana-jamvi mshakaji wangu wa tokea form one hadi university level analalamika kuwa ndoa yake kwa sasa ipo hatarini kuparaganyika baada ya yeye mwenyewe ( mshikaji huyo) kususia tendo la ndoa kutokana na kutofurahishwa na hali ya mkewe wakati wa ndoa. Kwa mujibu wa maelezo yake ikiwa atamua kwenda na mkewe katika style ya : 'Mbuzi Kagoma' basi yeye( jamaa) husikia harufu ya ***tope*** kiasi cha kumtoa hamu ya kuendelea na tendo( nadhani hapo mmenielewa namaanisha nini). Na hata kama wakitumia style ya kawaida( Man on top) huambulia harufu asiyoipenda toka sehemu za siri za mke wake. Wakati mwingine ( hata kama si wakati wa tendo la ndoa) rafiki yangu huyu anadai husikia harufu kama ya beberu toka kwa mkewe, harufu ambayo anasema inamkera. Kuna kipindi anasema alimgombeza sana mke wake kwa kumhisi kuwa huenda huwa anatembea na wanaume nje ya ndoa kinyume na maumbile ndio maana hata akioga au akinawa bado harufu ya ****tope****inasikika wakati wa tendo la ndoa.

  Huyu rafiki yangu tumsaidieje au uzi huu wataalam wa afya ndio wanaweza kuutolea ushauri?
   
 2. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #2
  Jan 20, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mmh
  i kali
  waende kwanza hosptl
  mkewe anazngatia usaf lakin?
   
 3. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #3
  Jan 20, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  dah! khaa! duh!
   
 4. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #4
  Jan 20, 2011
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  ngoja niende kaunta kwanza...sirudi!!
   
 5. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #5
  Jan 20, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  kudadeki
   
 6. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #6
  Jan 20, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  rud banaaa kwan uko bado iringa?
   
 7. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #7
  Jan 20, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Ajitahidi kumfanyisha mkewe mazoezi hasa jogging na akubali tu kuvumilia hiyo harufu ya mkewe wakati wa jogging kwa sababu mwili ndio utakuwa unarudi katika hali ya kawaida na wakimaliza jogging mkewe aoge na kujisafisha vizuri,baada ya hapo nina uhakika ndani ya wiki mbili ataanza kuona mabadiliko kama sio kuisha kabisa kwa tatizo hilo.Na hiyo iwe ratiba kama mara tatu kwa wiki baada ya zile wiki mbili za kwanza.
   
 8. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #8
  Jan 20, 2011
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Amwambie ukweli sio kumgombeza! ikibidi aende akapate ushauri kwa Dr,Mweeee! hii nayo kali!
   
 9. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #9
  Jan 20, 2011
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mama mbavu zangu mieeee! Taratibu utaua wenzio.....
   
 10. N

  Nalonga JF-Expert Member

  #10
  Jan 20, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 216
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Ok,kama ni rafiki yako kakuamini mpaka kakupa siri ya ndani kwake tena kitandani ili umshauri wewe Kiongozi Tuambie Umemshauri kitu gani kwanza? au umemwambia "ok best pole sana nimekuelewa acha niwapelekee wengine watusaidie nitakupa jibu"
   
 11. TATIANA

  TATIANA JF-Expert Member

  #11
  Jan 20, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 4,103
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  Mh,poor woman!
   
 12. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #12
  Jan 20, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Aaah
   
 13. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #13
  Jan 20, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  ndo maana siku hizi unatakiwa ku-try and test. Je hakufanya hayo?
   
 14. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #14
  Jan 20, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  This stincs
   
 15. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #15
  Jan 20, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Mwambie akamuone dk wa kina mama
   
 16. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #16
  Jan 21, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,031
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280

  rafiki yako hawezi kukueleza hayo yote.
  Ni wewe mwenyewe umemu-expose mke wako.
   
 17. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #17
  Jan 21, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  ivi kuna wanaume wa hivi hata aibu za chumbani wanaweka hadharani haya muambie amshauri mkewe suala la usafi ikishindikana ampeleke akamuone GYNO labda ana ugonjwa unaomfanya anuke
   
 18. M

  Mnyalu wa Kweli JF-Expert Member

  #18
  Jan 21, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 233
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Ladies & gentlemen, when you read something sensitive like this in this social network it should ring in your mind that the guy has kept it as top secret for quite some time and now it has become unbearable. By bringing this matter here one should not think we are either dehumiliating the woman in question or we are exposing some sensitive marital issues for no concrete reason.Comrades,the major objective here is to save this marriage from the brink of collapse. Thanx, for those who have offered alternative solutions. As far as I am concerned, I asked him to tell his wife to exercise maximum body hygiene everytime but said it doesn't work.
  If you start losing the fear of death life begins
   
 19. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #19
  Jan 21, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Inawezekana pia huyo jamaa/rafiki yako ana matatizo ya 'kisaikolojia'....ni jambo ambalo haliingii akilini kuwa mwanamke huyo huyo akipindwa mbuzi kagoma ananuka 'kinyesi', akiwekwa missionary anatoa harufu mbaya kwenye nyeti, akiwekwa style zingine anatoa harufu ya beberu! Harufu ya maambukizo kwenye njia ya uzazi au magonjwa ya zinaa ni ile ile..haiwezi badilika kwa style tofauti. Anahitaji msaada wa kitaalamu kama ataweza kuwa muwazi tatizo ni nini!
   
 20. Seto

  Seto JF-Expert Member

  #20
  Jan 21, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 961
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  1. yaonekana ni mkeo huyu, na wakati mnaanza uchumba hiyo harufu ya beberu haikuwepo uione leo au vya wengine vimekuzuzua mjomba.
   
Loading...