Ananing'ata

Ananing'ata

....na sasa rafikize naona wanaulizia sana kama nina jamaa nawajua ambao wapo free....................

Mkuu pande hilo hebu niache kwa Sadala basi na mie nicheke na nyavu...
 
Mkuu, swali zuri maana juzi tu demu kanifanyia hivyo hivyo.....na huyu ni mtasha sasa nilipomuuliza asubuhi akaomba msamaha sana, maana hakumbuki kama alifanya hivyo..! Ila huyu alikuwa anajifanya mjanja sana, na nilipopata nafasi, nimeitumia vilivyo, na kuna wakati alikuwa anaongea kama kichina au kijapani, ingawa anasema wala hajui lugha hizo..!! Ametubu kuwa waafrika moto wa kuotea mbali....na sasa rafikize naona wanaulizia sana kama nina jamaa nawajua ambao wapo free....................

Tragedy of the blacks in alien countries!
 
oya mi ni dokta huo ni ugonjwa tuwasiliane haraka sana umlete akae kwenye klinik yangu kwa mda wa siku 2 atakuwa amepona...

du u dr wako na wasiwasi nao! ila cha muhimu hapo inawezakana ni mgonjwa au siyo we nenda naye kwa dr wa magonjwa ya kina mama na kama si mgonjwa basi mkeo ni mtamu huyooo we acha tu
 
Wakuu naombeni ushauri shem/wifi yenu wkt nashughulika anapiga kelele weee then ananing'ata kifuani au mkono au vidole hata mguuni inategemea position niliyopo wkt tunajipa raha basi inafika kipindi ananing'ata sasa sielewi ni nn hii wadau.......

Pole na hongera kamanda;

Kama nakuona vile na hayo mabaka na makovu ya kung'atwa mwilini; next time vaa jacket ndio uanze kuchimba chumvi!!🙄
 
Pole na hongera kamanda;

Kama nakuona vile na hayo mabaka na makovu ya kung'atwa mwilini; next time vaa jacket ndio uanze kuchimba chumvi!!🙄

Hahahaha MTM dah
nikivaa jacket si nitashindwa kukuruka mzeeya.
 
Fidel huyo demu wako asije kuwa ni L*** wa Kimara mwenzako baada ya makovu kuzidi nilimpiga chini,hata kuogelea navaa fulana mgongo na kifua kaa jambazi.
 
Fidel huyo demu wako asije kuwa ni L*** wa Kimara mwenzako baada ya makovu kuzidi nilimpiga chini,hata kuogelea navaa fulana mgongo na kifua kaa jambazi.

Hahahaha mkuu hii L inaelekea kwenye ukweli kha!
 
Wakuu naombeni ushauri shem/wifi yenu wkt nashughulika anapiga kelele weee then ananing'ata kifuani au mkono au vidole hata mguuni inategemea position niliyopo wkt tunajipa raha basi inafika kipindi ananing'ata sasa sielewi ni nn hii wadau.......

...sasa Fidel, wakati huo anang'ata wewe unaacha unachokifanya au unazidisha?
 
Fidel utanisamehe lakini siwezi kuacha kuuliza hivi huyu mrembo ni yule uliyemtoa kwenye ile thread yako unayouliza kama mimba ni yako au ni mwingine tena? Maana kule unasema ulishaacha hii issue sasa ni vipi au hawa warembo unao utitiri?[/QUOTE]
watakuwa utitiri!
hivi wewe ni mnyalu?mbona umeongea neno la kibena kabisa?

Hapana mimi sio mnyalu, utakumbuka mwalimu Nyerere alilitumia sana hili neno akionyesha kushangazwa na wingi wa vyama vya upinzani.
 
Wakuu naombeni ushauri shem/wifi yenu wkt nashughulika anapiga kelele weee then ananing'ata kifuani au mkono au vidole hata mguuni inategemea position niliyopo wkt tunajipa raha basi inafika kipindi ananing'ata sasa sielewi ni nn hii wadau.......
Unakuwa unafanya nini mpaka unag'atwa miguuni Fidel80 wewee???
 
Wakuu naombeni ushauri shem/wifi yenu wkt nashughulika anapiga kelele weee then ananing'ata kifuani au mkono au vidole hata mguuni inategemea position niliyopo wkt tunajipa raha basi inafika kipindi ananing'ata sasa sielewi ni nn hii wadau.......

Miongoni mwa siri ambazo zinafaa kufichwa ni mahusiano ya kimwili na ya kindani baina ya mume na mke. Ni makosa kutoa au kuelezea siri hizo katika vikao au kuwafahamisha hayo jamaa wa mbali au wa karibu na marafiki zako.

“Wale ambao watakuwa na daraja ya chini kabisa mbele ya Mwenyezi Mungu (s.w.t.) Siku ya Kiyama ni wale ambao anastarehe (kimwili) na mkewe, naye (mke) na mumewe, kisha akaeneza siri zake hizo... hakika huo ni Ushetani (tabia mbaya)”
(Ahmad, Abu Dawud na al-Bazzaar).

Hivyo hili ni onyo kali kwa wenye tabia hiyo waiache ili wasiwekwe katika daraja ya chini Siku ya Kiyama wala wasifanane na mashetani.

Jamii zinavunjika kwa tabia hii ambayo imezagaa katika vigaro na mabaraza yetu kwa kuzungumzia mas-ala nyeti na ya ndani kama haya.
 
Binafsi naamini katika ushauri, lakini si kwa jinsi hii kwenye mchanganyiko wa watu au forum. Mapenzi ni mambo ya siri hivyo ni vema yakaheshimiwa kwa namna yalivyo, ikiwa mwenza wako amekuamini akakupa utu na mwili wake unageukaje kuwa msaliti wa uaminifu...!?
 
Fidel utanisamehe lakini siwezi kuacha kuuliza hivi huyu mrembo ni yule uliyemtoa kwenye ile thread yako unayouliza kama mimba ni yako au ni mwingine tena? Maana kule unasema ulishaacha hii issue sasa ni vipi au hawa warembo unao utitiri?

KwaMtaji huu, Takwimu za gonjwa hili baya (UKIMWI) lazima zitazidi kuongezeka kwa jinsi watu wanavyojipongeza na kuchekelea meno meupe bila uhoga katika mambo haya ya Ngono/ufuska na Zinaa
kwa ujumla.
Hakika hakuna kushiba na wala hakuna bingwa katika maswala ya
Ngono/ufuska au zinaa., MUNGU ameweka gharika yake katika mambo hayo ndio huu "Moto" UKIMWI.
Na wale wote wenye kuabudu na kushabikia Ngono/ufuska na zinaa,
MTAHANGAMIA.
Angalia alama za nyakati kuanzia kizazi cha NUHU,LUTU na hadi kizazi
hiki cha sasa utaona jinsi MUNGU anavyochukizwa sana na dhambi hii.
 
......Hahaha Fidel anasema yeye ana Anti-Virus soft ware!! lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom