Ananilazimisha tufanye mapenzi na mimi sitaki

Ananilazimisha tufanye mapenzi na mimi sitaki

Ebohh!!! Hivi hiki unachotuuliza ni kitu cha kuwauliza watu wazima?

Wewe ushaona ni kitu hutaki kufanya na sio sahihi, huo ushauri unaoutafuta ni upi?

Kweli viazi si lazima vilimwe shambani, kuna vingine vinazaliwa...

Ahahah umenikumbusha karanga zinazoota juu ya mti!

Hayo ndo matatz mwanamke akikuanza mzinz oh anapepo, ananitegeshea mtajijuuu.

Hebu nianze mimi tuone kama nitakataa!
 
Ebohh!!! Hivi hiki unachotuuliza ni kitu cha kuwauliza watu wazima?

Wewe ushaona ni kitu hutaki kufanya na sio sahihi, huo ushauri unaoutafuta ni upi?

Kweli viazi si lazima vilimwe shambani, kuna vingine vinazaliwa...

hahahahahaha
 
Kaka kama una hata chembe ya kumuogopa Mungu tafadhali usivunje amri ya 6.
USIZINI.
 
Eeeh, kama ni ndugu yako mwambie akome, la sivyo utamchana live kwa wazazi wenu wajue upuuzi wake
 
Ebo wewe vipi ni mzima au ,umesema mna undugu wa mbali alafu msichana mwenyewe anajileta mpige mpini ndo atajifunza kuomba mapenzi na ndugu yake wa mbali
 
We lala nae akipata mimba tu jiandae kulea tahira
 
Acha kupima watu akili, ushasema uzinzi dhambi sasa unataka ushauri gan?

When do BOYS become MEN???
 
mh kwani we ukoje?mweupe?mweusi?mrefu?mfupi?mwembamba?mnene? pengine masharti ya mganga hayo
 
Back
Top Bottom