Ananilazimisha tufanye mapenzi na mimi sitaki

Ananilazimisha tufanye mapenzi na mimi sitaki

Habari wakuu,

Mimi ni kijana wa kiume, kuna haya maswahibu yamenikuta naelewa huwa yanawakuta wengi, kuna mdada tuna undugu wa mbali kidogo ni mzuri na ameumbika.

Amekuwa akinilazimisha kimapenzi hadi naingia na woga, kwa mara ya kwanza nilikataa, baada ya miezi tena amekuwa akilikumbushia hlo swala.

Najiuliza ana pepo huyu au kuna kitu ananitegeshea, nakuwa mgumu kuelewa nikiomba ushauri kwa watu wa karibu wananishauri nifanye naye mapenzi.

This is not a fake story, it is true

Hebu nishaurini

NB; Uzinzi dhambi lakini

Baba katoa swali,Mama kanipa jibu,ili niulizwe swali eeeh swali.....»»» naimba jamani ule wimbo wa Mpoto uleeee
 
usifanye nae ngono, na wala usithubutu .. jaribu ku create distance na kuwa serious na msimamo wako. subiri hadi uoe sawa eeh..
 
Mkuu, hana adabu huyo, ni pm namba yake hapa. Nitamkanya na hatokusumbua tena
 
Acha ngono....mkimbie kama Yosefu alivyomkimbia mke wa Potifa....anaweza kuwa na gonjwa anataka kukubinafsishia
 
Mwanaume unapasa kuwa na maamuzi, hili dogo hujui cha kufanya makubwa utaweza kweli????????
 
Kama unajua uzinzi ni dhambi ya nini kuendelea kutafuta ushauri wa kutenda dhambi? Ikimbie Zinaa
 
Yaani wewe ni staki nataka mtu unamsifia na mazingira unatengeneza halafu unatuuliza mara useme uzinzi dhambi inamaana hujawahi kuzini wewe? fahamu kuwa ukimtamani mwanamke tu umeshazini naye kwenye mawazo sasa sijui kama umetoka kwa hilo. Kama vipi kula ili usituulize ulize tena
 
Habari wakuu,

Mimi ni kijana wa kiume, kuna haya maswahibu yamenikuta naelewa huwa yanawakuta wengi, kuna mdada tuna undugu wa mbali kidogo ni mzuri na ameumbika.

Amekuwa akinilazimisha kimapenzi hadi naingia na woga, kwa mara ya kwanza nilikataa, baada ya miezi tena amekuwa akilikumbushia hlo swala.

Najiuliza ana pepo huyu au kuna kitu ananitegeshea, nakuwa mgumu kuelewa nikiomba ushauri kwa watu wa karibu wananishauri nifanye naye mapenzi.

This is not a fake story, it is true

Hebu nishaurini

NB; Uzinzi dhambi lakini

Braza hiyo NB ni kama tayari ushaelewa kila kitu hasa sielewi unataka ushauri wa nini tena!? Labda uniambie ushauri wetu utafuta hiyo NB😱
 
Back
Top Bottom