innocentmollel
JF-Expert Member
- Sep 11, 2014
- 1,702
- 750
Hataa c kwelii
Hayo ndo matatz mwanamke akikuanza mzinz oh anapepo, ananitegeshea mtajijuuu.
@Mb_one undugu wa mbali ni undugu wa aina gani?
...itakuwa ni undugu usio wa karibu
Ebohh!!! Hivi hiki unachotuuliza ni kitu cha kuwauliza watu wazima?
Wewe ushaona ni kitu hutaki kufanya na sio sahihi, huo ushauri unaoutafuta ni upi?
Kweli viazi si lazima vilimwe shambani, kuna vingine vinazaliwa...
Sio huyo, hata wengine ambao sio ndugu zako ni marufuku kuwagusa mpaka ndoa.
inawezekana uwezo huna wa kufanya hivyo ndio maana unaomba ushauri
Ha ha hah!
Kwa hiyo undugu usio wa karibu ndo unakuwaje?
...si ndio unakuwa wa mbali