Ananilazimisha tufanye mapenzi na mimi sitaki

Ananilazimisha tufanye mapenzi na mimi sitaki

Mb-one

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2011
Posts
884
Reaction score
1,296
Habari wakuu,

Mimi ni kijana wa kiume, kuna haya maswahibu yamenikuta naelewa huwa yanawakuta wengi, kuna mdada tuna undugu wa mbali kidogo ni mzuri na ameumbika.

Amekuwa akinilazimisha kimapenzi hadi naingia na woga, kwa mara ya kwanza nilikataa, baada ya miezi tena amekuwa akilikumbushia hlo swala.

Najiuliza ana pepo huyu au kuna kitu ananitegeshea, nakuwa mgumu kuelewa nikiomba ushauri kwa watu wa karibu wananishauri nifanye naye mapenzi.

This is not a fake story, it is true

Hebu nishaurini

NB; Uzinzi dhambi lakini
 
mimi nakushauri umtimizie haja zake inawezekana kakuchagua wewe umsaidie kwa hiyo shida yake hivyo toa huduma

kwani yeye ndiye aliyeanzisha kwa hiyo malizia
 
Ebohh!!! Hivi hiki unachotuuliza ni kitu cha kuwauliza watu wazima?

Wewe ushaona ni kitu hutaki kufanya na sio sahihi, huo ushauri unaoutafuta ni upi?

Kweli viazi si lazima vilimwe shambani, kuna vingine vinazaliwa...
 
Ebohh!!! Hivi hiki unachotuuliza ni kitu cha kuwauliza watu wazima?

Wewe ushaona ni kitu hutaki kufanya na sio sahihi, huo ushauri unaoutafuta ni upi?

Kweli viazi si lazima vilimwe shambani, kuna vingine vinazaliwa...

uhahahaaaa
 
sasa kama hautaki unaomba ushauri wa nn?..we sema tu kimoyomoyo unataka,tena saanaaaa ila unaogopa tu..fanya maamuzi mwnywe,kulala na mtu au kuto lala nae ni maamuzi yako
 
Mpe masharti ya kwenda kupima ngoma then akikubari nenda ukapime nae then ukishahakikisha yuko poa piga gemu mpaka aje apate mume wa kumuoa Kuwa makini usije mpa mimba ukaleta mashitaka mengine hapa mi simo
 
@Mb_one undugu wa mbali ni undugu wa aina gani?
 
Usijaribu kaka yangu kaa mbali nae, endelea na huo msimamo wako na pia kuwa mkali zaidi ya hata ulivyokuwa umwambie asikuzoee, zaidi ni wewe mwenyewe
 
DUH kwanini hizi bahati hazitufikiii sisi? aaaahghh mpe namba yangu bhana, faster nitakusaidia aiseee, tatizo dogo hilo unamuacha ndugu yako anahangaika miezi na mize kama vile anakuomba kibali cha kujenga Mnara wa babel? Unaniangusha Mpwa bhana.


Sikiliza roho yako Mpwa
 
Mmmmmmmhhhhhh mbona kama nawe unamtamani koz naona kana kuna dalili za wewe kumtamani hivi...!?
 
Back
Top Bottom