Anakuona | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anakuona

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Buswelu, May 22, 2012.

 1. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #1
  May 22, 2012
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  1. Kwa wale wanaoandika txt, 'Nakumiss' halafu kuituma kwa wapenzi 20..........MUNGU ANAWAONA

  2. LUKU imekata kwenu umekaa nje unatext watu,'Niko nje napata upepo mwanana'.......MUNGU ANAWAONA

  3. Huna kazi, mpenzi wako mtumishi wa serikali mshahara laki 3 kwa mwezi, Birthday yako unatumia milioni mbili......MUNGU ANAKUONA

  4. We ni kiserengeti boy una mupenzi wa miaka 50, unamtext 'Njoo baby', we huyo baby au nyanya yako?.....MUNGUANAKUONA

  5. Unapiga picha sebule ya boss wako unaiweka FB na kukoment Home Sweet Home........MUNGU ANAKUONA.

  6.We unadanganya upo chuo/kazini halafu ikifika muda wa BBM mizinga elfu tatu...MUNGU ANAKUONA..
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  May 22, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Namba 5 imenifurahisha. . .SIKUJUA!!!
   
 3. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #3
  May 22, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 1,115
  Trophy Points: 280
  Una.... Mungu anakuona.
  .
  "IT WAS GOD WHO CREATED MAN, MAN CREATED MONEY, AND MONEY HAVE CREATED MAD, MAD , MAD AND MADNESS".
   
 4. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #4
  May 22, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,912
  Likes Received: 213
  Trophy Points: 160
  Upo chumbani peke yako bize unapiga puchu, Mungu anakuona.
   
 5. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #5
  May 22, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Umejaza kasimu kwa vipicha vya ngono......Anakuona
   
 6. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #6
  May 22, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,046
  Likes Received: 6,492
  Trophy Points: 280
  Nimependa hii hapa

  4. We ni kiserengeti boy una mupenzi wa miaka 50, unamtext 'Njoo baby', we huyo baby au nyanya yako?.....MUNGU ANAKUONA
   
 7. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #7
  May 22, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Mimi pia hii...... Jamani mbavu zangu mie
   
Loading...