Mungu anawaona mjue.......

Mungu anawaona mjue.......

Preta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2009
Posts
24,320
Reaction score
18,887
1. Kwa wale wanaoandika txt, 'Nakumiss' halafu kuituma kwa wapenzi 20..........MUNGU ANAWAONA
2. LUKU imekata kwenu umekaa nje unatext watu,'Niko nje napata upepo mwanana'.......MUNGU ANAWAONA
3. Huna kazi, mpenzi wako mtumishi wa serikali mshahara laki 3 kwa mwezi, Birthday yako unatumia milioni mbili......MUNGU ANAKUONA
4. We ni kiserengeti boy una mpenzi wa miaka 50, unamtext 'Njoo baby', we huyo baby au nyanya yako?.....MUNGU ANAKUONA
5. Unapiga picha sebule ya boss wako unaiweka FB na kukoment Home Sweet Home........MUNGU ANAKUONA
6.
7.
8.
9.
10.

endelea........

 
namba mbili inahusu sana maisha bora kwa kila mtanzania
 
Unaomba Ml. 8 na kuahidi kutoa upendeleo wa kufunika madudu, yaliopo Halmashauri !
We Mbunge wewee! Mungu kakuona kabla!
Na sie tumekuona Mahakamani .
 
unaweka avatar ya mrembo babu kubwa akati wewe ni KISHTOBE mwenye sura ngumu...MUNGU ANAKUONA...

Mdogo wangu BAGAH umepotea Jeiefu isivyo kawaida!
Kuna uvumi eti kuna mSugarmamy umekuzibiti na kukubana na kukukosesha tymenough on Jamvi!
( japo mie sina hakika)
kama kuna ukweli, huo Msugarmamy Mungu anamwona!
 
he he he he he, kweli anaonekana lol

Unaomba Ml. 8 na kuahidi kutoa upendeleo wa kufunika madudu, yaliopo Halmashauri !
We Mbunge wewee! Mungu kakuona kabla!
Na sie tumekuona Mahakamani .
 
Kuna ile mizee yenye vitambi kama mimba ya mbuzi inayowaomba rushwa ya ngono dada zetu, wallah Mungu anawaona na dawa yenu ipo jikoni....
 
No 2 wajamen ni janga la kitaifa,nataman huyu jiran anaetulazaga giza zam yake ya kununua umeme inapofika asome hapa,ila mungu anamuona!
 
Kama unaenda kanisani lakini mawazo yote yapo nje kwa vimada Mungu anakuona.
The unseen is illustrated by the seen.
 
Back
Top Bottom