Bumpkin Billionare
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 1,332
- 621
nina mahusiano na mwanamke wa kinyamwezi
ninaomba mwenye uelewa anipe tabia zao wakoje kabla sijaingia kwenye kitanzi cha ndoa
Muombe sana Mungu wako akuepushe na hicho kikombe. Hao ni waswahili kupita maelezo.
Watajazana kwako bila aibu, hata baba mkwe hatokubali tena kukaa Sikonge wakati binti yake ana vyumba viwili