Anaewajua wanyamwezi anisaidie

Anaewajua wanyamwezi anisaidie

Last edited by a moderator:
mwanamke wa kinyamwezi ambaye hatakuwa na mafiga matatu ,hatatumia limbwata na toka azaliwe hajaona ndugu zake hawatumii ndumba ,mwenye mzigo mzito cini ya mgongo ,kiuno cha nyigi na usafiri wa ukweli uliobeba huo mzigo chini ya mgongo mwenye pumzi za kinyamwezi kwenye 6*6 aniPM.
 
nina mahusiano na mwanamke wa kinyamwezi
ninaomba mwenye uelewa anipe tabia zao wakoje kabla sijaingia kwenye kitanzi cha ndoa

Hii copy and paste itatuua, Ngoja na mimi nitafute kabila ambalo alijajadilwa ama limejadiliwa zamani nianzishe uzi
 
Kumbe mzabzab wewe ni mnyamwezi!! ndiyo maana unapenda kugegeda, hiyo ndiyo tabia yenu kuuuuubwa wanyamwezi , mnapenda sana kugegeda na mizigo miziti. Hahahaahaha!!!

sasa wewe shughuli nzito mpe mnyamwezi. unadhani kugegeda sio shughuli nzito....nipe chance uone raha ya mnyamwezi lol
 
Hahahaahahahaaaaaaaaaaaa! ningeshangaa sana kama usingeniambia hivyo, wewe tena kama kawaida yako, Mzee wa mgegedo!!
 
mzazbzab mgegedaji sana huyu hapana
Mtoboasiri naye miguu kama tuthipik nishampa talaka
KIKUNGU eeh :becky:

Wewe Kongosho mbona wanitamanisha jamani...............mungu ni mwema kweli ametujalia mizigo ya mbele na nyuma,usiseme na maumbo,hakuna mnyamwezi mdogo mdogo........tukivaa jeans twapendaza.......tukivaa t-shirt utatutamani........tukiingia shamba kulima we acha tu........kunako 6 x 6 ni balaa......sio watu wa maneno mengi ni vitendo to.......niseme zaidi dada Kaunga,Kaka Sikonge,The Boss na wewe Fighter mbona umepotea.Mtoboasiri hebu ni-PM bwana tufahamiane pia.Hata wewe gwiji mzabzab kumbe ni wa kule kule.Hata wewe dada Ennie sijawahi kukuona humu,vapanga mwe ilumbuye
 
we nenda tabora mjini kila kona utakutana na kichaa, yaani vichaa wengi kwelikweli,

Umenena mkuu,yaani kuanzia pande za hospitali ya Kitete mpaka barabara ya ujiji na mwanza road,nimeshashuhudia mzungu kichaa anakatiza mitaa ya tabora.Pia kuna mwehu maarufu nafikiri alishafariki alikuwa anajulikana tabora nzima anaitwa Malingumu

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
mwenye uzi kasepa. mi naona chaguwa kunyowa au kusuka, maana mambo yashakuwa mambo. naona sasa unajuta au unafurai kupata data za wanyamwezi.
 
Hahaha
Huyo ndio kaka yangu miye, wengine wote ni JPEG imagies! LOL

Nami dada yako nimeubeba chini ya mgongo, na miguu ya kubebea ipo![/QUOTE
Mnajua kuitumia hiyo mizigo au mbwembwe tu...maana mie wanyamwezi ni watan zangu ila ndo hivyo wavivu balaa...
 
Wewe uibe mke wa mtu wakuachie?
Huyo mzungu kichaa ni effect za bangi, baba bangi, mama alcoholic watoto bangi squared. Nilisoma nao primary wale!
Umenena mkuu,yaani kuanzia pande za hospitali ya Kitete mpaka barabara ya ujiji na mwanza road,nimeshashuhudia mzungu kichaa anakatiza mitaa ya tabora.Pia kuna mwehu maarufu nafikiri alishafariki alikuwa anajulikana tabora nzima anaitwa Malingumu

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Uvivu ulioambatana na madaha kwa wadada; kwa wakaka ni taratibu bila papara kiasi kwamba anaweza kukupelekesha hadi 45mns bila mijasho kabla hajaunganisha cha 2, 3 na kuendelea.

Kazi za nje niwekee maid lkn mchumba hautahitaji nyumba ndogo labda kama unataka ukamwage povu tu kule! LOL
Hahaha
Huyo ndio kaka yangu miye, wengine wote ni JPEG imagies! LOL

Nami dada yako nimeubeba chini ya mgongo, na miguu ya kubebea ipo![/QUOTE
Mnajua kuitumia hiyo mizigo au mbwembwe tu...maana mie wanyamwezi ni watan zangu ila ndo hivyo wavivu balaa...
 
Inatosha, maana nahisi my shosti is already wet down there au sio Kongosho? Hihi hi hi hi hi.......
Wewe Kongosho mbona wanitamanisha jamani...............mungu ni mwema kweli ametujalia mizigo ya mbele na nyuma,usiseme na maumbo,hakuna mnyamwezi mdogo mdogo........tukivaa jeans twapendaza.......tukivaa t-shirt utatutamani........tukiingia shamba kulima we acha tu........kunako 6 x 6 ni balaa......sio watu wa maneno mengi ni vitendo to.......niseme zaidi dada Kaunga,Kaka Sikonge,The Boss na wewe Fighter mbona umepotea.Mtoboasiri hebu ni-PM bwana tufahamiane pia.Hata wewe gwiji mzabzab kumbe ni wa kule kule.Hata wewe dada Ennie sijawahi kukuona humu,vapanga mwe ilumbuye
 
Last edited by a moderator:
Uvivu ulioambatana na madaha kwa wadada; kwa wakaka ni taratibu bila papara kiasi kwamba anaweza kukupelekesha hadi 45mns bila mijasho kabla hajaunganisha cha 2, 3 na kuendelea.

Kazi za nje niwekee maid lkn mchumba hautahitaji nyumba ndogo labda kama unataka ukamwage povu tu kule! LOL

ahahahahahhahahahhahhhahahha
naachaje kukupenda sasa!UUWIH
hii misifaaaaaaaaaaaaaaaaa lol!kuna watu wanajimegea mipwenti hapa lol!
 
Wewe Kongosho mbona wanitamanisha jamani...............mungu ni mwema kweli ametujalia mizigo ya mbele na nyuma,usiseme na maumbo,hakuna mnyamwezi mdogo mdogo........tukivaa jeans twapendaza.......tukivaa t-shirt utatutamani........tukiingia shamba kulima we acha tu........kunako 6 x 6 ni balaa......sio watu wa maneno mengi ni vitendo to.......niseme zaidi dada Kaunga,Kaka Sikonge,The Boss na wewe Fighter mbona umepotea.Mtoboasiri hebu ni-PM bwana tufahamiane pia.Hata wewe gwiji mzabzab kumbe ni wa kule kule.Hata wewe dada Ennie sijawahi kukuona humu,vapanga mwe ilumbuye
kuuuuuuuumbe!
santeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
 
Back
Top Bottom