Anaewajua wanyamwezi anisaidie

Anaewajua wanyamwezi anisaidie

Hakuna kabila lenye tabia fulani bali ni tabia ya mtu mmoja mmoja hivyo akili kichwani mwako kunchunguza kama anafaa kuwa mwenza wako wa milele ama vinginevyo.
 
Just changamsha genge mwaya, wewe huoni tulishambuliwa vya kutosha, so ilikuwa lazima tuwarushe roho watu kidogo! Mambo lakini?

mambo poa mwaya ni kweli wametuonea sana ila wanyamwezi kiukweli wako juu wakati niko mdogo tukiwa tunaangalia movie za kizungu akitokea mmbongo utaskia watu wanasema aaah mnyamwezi huyo ila hawakuwa wakisema mpare au mzaramo huyo sijui kwa nini ila wanyamwezi wako juu.
 
ah wacha kutukandia bana
Kumbe mzabzab wewe ni mnyamwezi!! ndiyo maana unapenda kugegeda, hiyo ndiyo tabia yenu kuuuuubwa wanyamwezi , mnapenda sana kugegeda na mizigo miziti. Hahahaahaha!!!
 
Kumbe mzabzab wewe ni mnyamwezi!! ndiyo maana unapenda kugegeda, hiyo ndiyo tabia yenu kuuuuubwa wanyamwezi , mnapenda sana kugegeda na mizigo miziti. Hahahaahaha!!!

sasa unafikiri mzigo mzito ataupunguzaje kama sio via kugegeda! Hivi nani hapendi kugegeda lakini?
 
Shemeji yetu karibu mm ni mmoja wa shemeji zako tena born town pale kitete hospitali, home ni kule n'gambo Rehani street yaani utakuwa umepata mke bora sana asikwambie mtu. achana na majungu wadada wa kinyamwezi balaa wana sifa kibao ambazo siwezi kuzieleza we beba mzigo tu utakuja nisimulia
 
Hawatulii na mwanamume mmoja ni wanawake wa mafiga matatu, kwa limbwata ndo wenyewe na pia kama limbwata halikamatiki kwako basi wanakudedisha.Lakini tofauti na hayo Wanyamwezi ni miongoni mwa makabila yanayojua mapenzi hapa Tanzania, mimi nashangaa watu wanasifia eti Tanga kwangu mimi mwanamke wa Kinyamwezi ni nambari one kwa mapenzi sema sasa issue ni hayo matatizo yake ya hapo juu maana mwanamume hakohoi kwa mke wa Kinyamwezi

kwenye libwata umetusingizia mkuu, hatuko hivyo
 
Hamna ndumba bana, weee vipi?

Hujasikia wimbo wa Kinyamwezi kwenye maharusi yetu maana huwa tunaimba ".....nalitumila ndumba ya kumlomo....."
Kaunga dada yangu atakuwa shahidi kuwa maana yake ni "....ninatumia ndumba ya mdomoni......"

Wanyamwezi tuna maneno matamu na nyororo................ "..... hihihiiiii, ndiyo Padili....."

Umeona eeehhh, kauli ndo kila kitu
 
Last edited by a moderator:
Naskia watu husema

Mzigo mzito nimpe mnyamwezi, ni kweli?
Hebu nitafutie kaka yako mnyamwezi mmoja tu kwa majaribio

hahaha, kwa hiyo utabadilisha kauli ya 'kupaa'?

Mnya Sikonge mimi.
 
Naskia watu husema

Mzigo mzito nimpe mnyamwezi, ni kweli?
Hebu nitafutie kaka yako mnyamwezi mmoja tu kwa majaribio

Hujasoma bandiko la Sikonge, msemo huo umebadilika umekuwa "mzigo mzito anao mnyamwezi" sasa rafiki utaweza himili kitu ya kaka yangu weye?

Unaonaje nikimstua mzabzab tu kabla sijamwita KIKUNGU na Mtoboasiri!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom