Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,295
- 10,957
Haki ya nani wanyamwezi wanawake ni habari nyingine!!!! Mafiga matatu na zaidi ni lazima hasa kama perfomance yako ni poor utaona kila rangi!!! Limbata lao (jina limenitoka) ni balaa sana!! Akikuwekea hili utahama kwenu na utahamia kwao na utajenga huko huko nikimaanisha wanakupa na shamba kabisa!! Chezea weye!!