Anaewajua wanyamwezi anisaidie

Anaewajua wanyamwezi anisaidie

Kwa ushauri huu ulioupata, mtoa mada sasa ndio umeamuaje, unajifunga kitanzi au unasepa?
 
Kaunga my dear, mi msukuma mwenzio.......hebu tupia sifa za kaka zako hapa......kuna mtu ameuteka moyo wangu!!!!
NitakuPM kesho, ila kwa kuanzia kuna The Boss, KIKUNGU, Fighter, na wengine wengi kwa wadada namjua mmoja tu anaitwa Mwasi.

Mama yako knows better; wasikudanganye hao ila make sure unapata kwenye asili ya unywamwezini kweli sio wa Tabora mjini, maana hata waburushi wanajiita wanyamwezi.
 
dada oa tu wako powa sana utaenjoy maisha hawana tabia ya kuita ndugu na kujaa kujaaa kwako kujaza chooo
 
we nenda tabora mjini kila kona utakutana na kichaa, yaani vichaa wengi kwelikweli,
 
Just changamsha genge mwaya, wewe huoni tulishambuliwa vya kutosha, so ilikuwa lazima tuwarushe roho watu kidogo! Mambo lakini?

mambo poa mwaya ni kweli wametuonea sana ila wanyamwezi kiukweli wako juu wakati niko mdogo tukiwa tunaangalia movie za kizungu akitokea mmbongo utaskia watu wanasema aaah mnyamwezi huyo ila hawakuwa wakisema mpare au mzaramo huyo sijui kwa nini ila wanyamwezi wako juu.
 
Kitabia hakuna tabia labda tabia ya mtu binafsi na sio kabila
Tatizo ni UELEWA. Wanashindwa kutofautisha TABIA na MILA. Tabia humhusu mtu mmoja mmoja na Mila huhusu kabila tofauti ati.
 
Hebu jinadi, acha kuguna; unaona naulizwa sifa zenu halafu nyie mnanitegea!
Mwasi my dear, my bros are very caring and understanding. Ukitaka kuwa spoiled basi usimuachie huyo kaka yangu, condition ndio ile bro Sikonge alisema; show them love and respect!


Ulivyotu mention tu inatosha..
'tunafahamika vizuri' in a good light lol
 
Back
Top Bottom