anaewafahamu wasichana wa kichaga naomba msaada.

anaewafahamu wasichana wa kichaga naomba msaada.

Status
Not open for further replies.
Pimbi nyie mmezoea ujinga. Unaoa kabila au mtu? Kwa fikra kama hizi mtawachukia daima
 
Yani majibu tumeyapata humu humuu..tyr tushasoma baadhi yao
 
MKUU kama kweli unajipenda na future ya ndoa yako.Tafakari Mara 100 uamuzi wako wa kutaka kuoa Mchaga. Wanawake wa kichaga ni HATARIIIIIIIIII. Jamaa zangu wengi kama 10 hivi walio oa hao wachaga ndoa zimevunjika. Wanawake hao wakichaga wanasubiri kuona Kipato chako kimekua vya kutosha then UTATA na VISA vinaanza ndani ya nyumba. Na usipo kaa vizuri utaishia kufunikwa na ule udongo wa TANI 7. KAZI KWAKO.

Ni kutoka Machame?

Kama mmachame aandike maumivu


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Hapo dah waza vizuri ukienda kujitaburisha kwao unapewa majukumu. Watakueleza matatizo na itabidi wewe uanze kuyashughulikia kabla hata ya kuoa.

Utajikuta sasa unaanza kukaa na ndungu wa kipenzi chako na kuanza kuwasomesha.
Be careful.

Usijechagua mmachame huyo achana naye kabisaaaaaaa


Sent from Tanzania

mosi;si watalaamu kunako 6 kwa 6 ni wazee wa kusoma gazeti
pili;wanapenda pesa balaa
tatu;hawajui kupika
nne;wabinafsi sijawahi ona wanaukabila hawapendi ndugu wa mume hasa kama siyo mchaga mwenzao wenyewe wanaita kyasaka
tano;its likely ukipata mali wakauua mapema ili abaki afaidi na nduguze wanaxema mwanaume c nduguyo
sita;wapo humu jf soon wataanza kutoa povu kwenye comment hii haha hahah haha

atamuRIP soon

Hizi zooote ni propaganda zilizoenezwa enzi za mwalimu na zimedumu kwa muda mrefu kiasi kwamba zimegeuka kuwa imani.
Watu wa kutoka jamii nyingine wamekuwa wakiziabudu na kuzitukuza propaganda hizi.
Naomba niwatake kuweka ushahidi halisi wa haya muyazungumzayo:

Nani aliyeoa Mchagga alafu kauawa na mkewe na habari ikathibitishwa?

MSIPENDE KUYACHAFUA MAKABILA YA WATU BILA SABABU, HIZI NI PROPAGANDA ZENYE LENGO LA KUBAGUANA KI MAKABILA.
Nasikitika hata kwenye siasa kuna Propaganda kama hii kwamba "MCHAGGA ASIPEWE NCHI, MCHAGGA HAFAI KUWA KIONGOZI."

NI KWANINI INAJENGEKA HALI HII YA KUWAPIGA VITA WACHAGGA?
KWANINI MSAMBAZE CHUKI DHIDI YA WACHAGGA?
KWANI WACHAGGA HAWANA HAKI YA KUISHI TANZANIA?
KWANI WACHAGGA HAWANA HAKI YA KUSHIRIKIANA NA JAMII NYINGINE?

KAMA MNAONA HAMPENDEZWI NA UWEPO WA WACHAGGA TANZANIA NI BORA MTUWEKE WAZI NA MTURUHUSU TUTANGAZE JAMHURI YETU.
 
mzabzab mzee wa migegedo ebu njoo utuambie ,je mabinti wa kigacha ni wataalamu wa kusoma gazeti ama wanasingiziwa? najua ushaokota baadhi yao pale kimboka ama shivaz ahahahahahah kwi kwi kwi
 
Last edited by a moderator:
ni kweli mkuu hawa watu wabaya xana mie kuliko nidate mxagga bora niwe alone hakyanani, nimewahi soma na kuishi kwa kipindi flani na hawa watu ni hatariiiiiiiii
Hizi zooote ni propaganda zilizoenezwa enzi za mwalimu na zimedumu kwa muda mrefu kiasi kwamba zimegeuka kuwa imani.
Watu wa kutoka jamii nyingine wamekuwa wakiziabudu na kuzitukuza propaganda hizi.
Naomba niwatake kuweka ushahidi halisi wa haya muyazungumzayo:

Nani aliyeoa Mchagga alafu kauawa na mkewe na habari ikathibitishwa?

MSIPENDE KUYACHAFUA MAKABILA YA WATU BILA SABABU, HIZI NI PROPAGANDA ZENYE LENGO LA KUBAGUANA KI MAKABILA.
Nasikitika hata kwenye siasa kuna Propaganda kama hii kwamba "MCHAGGA ASIPEWE NCHI, MCHAGGA HAFAI KUWA KIONGOZI."

NI KWANINI INAJENGEKA HALI HII YA KUWAPIGA VITA WACHAGGA?
KWANINI MSAMBAZE CHUKI DHIDI YA WACHAGGA?
KWANI WACHAGGA HAWANA HAKI YA KUISHI TANZANIA?
KWANI WACHAGGA HAWANA HAKI YA KUSHIRIKIANA NA JAMII NYINGINE?

KAMA MNAONA HAMPENDEZWI NA UWEPO WA WACHAGGA TANZANIA NI BORA MTUWEKE WAZI NA MTURUHUSU TUTANGAZE JAMHURI YETU.
 
Take care; mi nijuavyo mara nyingi wachaga huoana wenyewe.

Ila na mimi nimepata binti wa kichaga tuko kimipango tuone inakuwaje!
 
Labda wachaga za zamani zile wa siku hizi mbona wapo kawaida ile kimilamila hamna tena sasa hvi mabinti wote between age 20 hawana mambo ya kimila sana we jiokotee wanabadikika kadiri utakavyomtreat so hakuna haja ya kuuliza kabila wakati wa kuoa kwa sababu hamendi kufanya tambiko mi na msukuma wangu hata shinyanga sijui mwanza anapasikia tu

ni ujinga kukadiria kuwa simba wa zamani na wa sasa ni tofauti. Hiyo condition aliyompa inaonesha simba yuleyule.
 
Tafadhali pima hizo comment zote hapo juu kamwe usizidharau. Zisome kwa makini na kisha ufanye maamuzi naamini wote waliochangia hawana nia mbaya kwako so ziangalie kwa makini na ujiulize kwa kina what next.
 
Jaribu kufanya na wewe uchunguzi binafsi labda haya yanayosemwa ni ya kweli au pengine ni uongo. Fuatilia, ndoa ni lifetime commitment so take time ktk maamuzi yako. Uliza wanaofanya kazi na mabinti kabila hilo je wakoje tabia zao hapo naamini utapata ukweli utakaokusaidia kuamua. Sipendi kusema chochote ktk hili niko neutral
 
mosi;si watalaamu kunako 6 kwa 6 ni wazee wa kusoma gazeti
pili;wanapenda pesa balaa
tatu;hawajui kupika
nne;wabinafsi sijawahi ona wanaukabila hawapendi ndugu wa mume hasa kama siyo mchaga mwenzao wenyewe wanaita kyasaka
tano;its likely ukipata mali wakauua mapema ili abaki afaidi na nduguze wanaxema mwanaume c nduguyo
sita;wapo humu jf soon wataanza kutoa povu kwenye comment hii haha hahah haha

Mkuu hapo kwenye red ni kweli, kweli tupu! 100% true!
 
Usijechagua mmachame huyo achana naye kabisaaaaaaa
Sent from Tanzania
Du kwa kina Mbowe? kuna tatizo gani? ngoja aje dada yangu (Teacher) gfsonwin atakupa sifa za Wamachame zaidi
Uliza Viongozi wengi wameoa huko hata Mwigulu
 
Last edited by a moderator:
Kabla hujamuoa lazima akutembelee akiona huna vifuatavyo TV plasma, dvd, chumba na sebure, jiko la gesi, ajira ya ofisi, biashara huwezi kumnasa mtoto wa kichaga.
CC. Smile, Smiles
 
Last edited by a moderator:
Sikushaur, japo mm binafsi sijaoa ila kuna rafiki yangu ni afisa uhamiaji kavuna mawe ya kutosha then wakaanza kumletea za kuleta na nusura afunikwe na udongo wa tani 7 kwa kusukumiwa risasi za kutosha kupitia kamati zao za masoja wa kichagga. Ila Mungu alisaidia gari liharibika vbaya na yuko fresh hadi ss kahamishiwa mkoa mwinge na hana mke saivi japo ana about 40 yrs ivi.
 
Dhu! Am proud to be mchaga tena mmachame...mnasema mengi kuhusu sisi lakini kila wiki nashangaa lazma aje mtu kuulizia kuhusu mchaga hapa why? Simply bcoz they hv everythng man cud want from the woman! Kuolewa 2naolewa ingawa mnatangaza ubaya juu yetu, kijana kama umeubwaga moyo wako kwa huyo mdada oa bhana! Kufa kupo tu hata usipooa mchaga! Teh
 
Hi! jf, nina mchumba wangu ambae ni mchaga natarajia akimaliza degree yake mwezi wa saba ili mwishoni mwa mwaka huu tuoane, bt hataki twende nkamtambulishe kwe2 ila anataka kwao first, hilo ndo mila zao?

Ukishikwa shikamana, hiyo ni trailer, movie inakuja, bado unatakiwa ujenge kwao na siyo kwenu, dah, ila kipendacho roho........................., omba sana, muulize smile
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom