Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,220
- 39,851
Punyeto itakuokoa mkuu
Piga punyeto
Jichue
Piga punyeto
Jichue
umri wako tafadhar !!??Asalaam,
Kuna uzi wangu niliupost huko nyuma ukisomeka. Nimekataliwa kisa mwanachuo.
Haka kadogo bwana, nlikaelewa na kama kangeonesha response nzuri mkuu ninge settle tufanye maisha.
Miezi kadhaa iliyopita tulikwazana sikumbuki jambo llikuwa gani, nikampotezea sababu nahisi ye ndo alikuwa chanzo, akawa ananicheki Whatsapp na Messenger mie namkaushia.
Kuna siku akanitext messenger kuuliza kama kina shida nikamjibu hapana , AKANITUMIA voice note huko nikamjibu KWANZA SAUTI YENYEWE MBAYA, nilimjibu hivyo kimatani na huku nikiweka emoji ya kucheka kuonesha siko serious. Mtoto baaada ya hapo akapotea miez kadhaa. I wish ningemvoice note labda tone yangu ingeonesha nlikuwa kimasihara zaidi.
Miez ikapita huku tukiview status z kila mtu but no commenting or texting each other, nkipata shida akajuaa akanicheki tukaongea vyema, ikabidi nimuilize vp mbona hivyoo akajjibu ni ile reply niliomuambia anasauti mbayaabut kiukweli sikumaanisha yalikuwa masihara kumbe ye hakupenda.
Ikumbukwe hapo nyuma alikuwa akinipigia simu ananiimbiaa nyimbo mara kadhaa, lakini tatizo haka kadogo kakikosea hakatak kaonekana kamekosea namie siwez endana namtu anaeona Yuko sahihi muda wote.
Basi nikamuomba radhi yakaisha tukaanza kurasa mpyaa ya urafiki wetu.
Dogo kasogea kidogo eneo nlilokuwa nakaa kaenda sehem nyingine hivyo nikipata time huwa naenda kumsalimia na kupiga story kadhaa.
Kuna siku akaniomba harambee za kanisani nikasema nitampa kwa kuwa haikuwa na haraka sana. Siku zimeenda nikapata nafasi ya kwenda anakokaka kwa huo muda, nikamcall kumwambia Niko sehem ya kwenu, alikuwa anajianda kwenda kuimba kanisan mazoezin akanijibu..... Eeeh Tena bora umekuja unipe mchango .... NIKAMUULIZA kwahiyo hufurahii mie kuwepo hapa lakini unafuraha sababu utapata helaa, AKAKATA SIMU , from that day onwards hakuna aliyemtafuta mwenzake, sahiv sioni hata status zake lakin last seen zake ni recently.
SHIDA IMEKUJA tangia tumepishana hapo ameanza kupost post picha zake fb story na kwenye timeline yake as well as ku update profile picture , SIJAWAHI comment wala kuview status zake kwakuwa naweza kuziona hata bila kuclick.
Kupost status sio shida lakin sasa imekuwa kila siku hata saiv navosema kapost nasio labda nmfatilia hapana nikiwa nacheki updates Naona kuwa kapost picha zake.
Sasa nashindwa jua anataka aone kama Bado na attention naye ama ni mechanism ya kuona kuwa anafuraha and can be happy without me, na kiukweli huyu dogo alikuwa akipiga simu tunaongea Sana kama 2 ppo in love.
Au akili yake inamwambia kuna siku nitacomment picha zake then aniulizie why simtafuti
Anything can be true
Pia tusiwasemee negative Hawa wadada hata kama ulimsifia anasauti nzuri mara buku siku ukisema anasauti mbayaa anasahau hizo buku ulizomsifiaa iwe ni serious au masihara hawapendi
Nyie michapo yenu haiumiNitakuchapa

Mkuu we ungefanyajeeJimbo limekutatiza hilo.
Wagombea wenye mipango endelevu tunajipanga kuwekeza. Right now!
anyway, Kwa mujibu wa maelezo yako, imempendeza bidada ukae ndani ya moyo wake. Badala yake, unaishia nje ya moyo. Unamfanyia gubu mpaka anahoji maamuzi yake kukupa nafasi. #UnamtesaMoyo
Nyeto sio salama kimwili kiakili na kirohoPunyeto itakuokoa mkuu
Piga punyeto
Jichue
24umri wako tafadhar !!??
Ndo maana unapata hizi stress Jichue mkuuNyeto sio salama kimwili kiakili na kiroho
Still you've a long way to go bro!!afu ako kademu ni katoto kwa jinsi ulivo simulia apa ,ko kama umekapenda kapende na drama zake 🤣🤣
we ndo unateseka kuhusu yeye alaf unawabishia wakulungwa huteseki, ni wazi kabisa unampenda yeye kuliko yeye kukupenda wewe na ameshajua hilo.Tatizo moyo kaka, afu tabia za mke kabisa.
Dogo alikuwa ananambia Hadi habari za bible ananambia nisome bible, kifupi mtoto mzuri.
yani unajidai kukaza kumbe unamtaka.Kaka nyeto inaonekana unazikubali sana nimekutana na comment yako ukiuliza kama... Ushai piga nyetoNdo maana unapata hizi stress Jichue mkuu

.. kwenye Uzi wa wadada wenye makalioTatizo kana ujeuri mwingi sanaStill you've a long way to go bro!!afu ako kademu ni katoto kwa jinsi ulivo simulia apa ,ko kama umekapenda kapende na drama zake![]()


Kukaza muhimuu mkuu ntazoea mbona huko nyuma tulikaushianawe ndo unateseka kuhusu yeye alaf unawabishia wakulungwa huteseki, ni wazi kabisa unampenda yeye kuliko yeye kukupenda wewe na ameshajua hilo.
Hapo ulipo unatamani sana akutafute, na pia unatamani sana kumtumia ata sms lakini unaona kama utakua umejishusha sanayani unajidai kukaza kumbe unamtaka.

Nimeji downgrade to her levelMnafuatiliana kupitia status?
Mbona Mapenzi yenu ya kitoto sana Mdogo wangu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nidm jina lakeAhahahha kama kweli wamtaka sema niku dm jina lake
Piga nyeto kaka pigaaaaa kakaKaka nyeto inaonekana unazikubali sana nimekutana na comment yako ukiuliza kama... Ushai piga nyeto.. kwenye Uzi wa wadada wenye makalio



