Anadhani aki-post atanishtua

Anadhani aki-post atanishtua

Mkuu misimamo yenu haieleweki! Hivyo ni ngumu kukupa ushauri as far hueleweki nini unataka/utaki kutoka kwa bimdada huyo!
Lakini kama kweli una mapenzi na nia thabiti ya kuja kuishi nae, basi epuka kumtolea kauli zinazomkwaza ili msiwe watu wa kuishi kama mawimbi ya bahari, kwamba hapa unapanda, pale unashuka!
Kuwa makini sana, tambua kuwa mwanamke hawezikaa bila huduma. Mfano kama alikuwa anakuomba hadi pesa ya sadaka kanisani na gharama nyingine kama za vifurushi na umeshamchunia ila bado anapatikana mtandaoni, hapo jua kuna mhisani mwingine zinakotoka!
Hivyo basi mpaka siku hizo sarakasi zenu zitakapotulia, tayari utakuwa ushapata waume wenza kibao na ndo mwanzo wa kuwapangisheni foleni!
 
Umeongea point sana kaka, shukrani
 
Kwanini bado unamfatulia!!!!??? Fanya yako Achana nae.... Ikiwezekana mblock tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom