Anadai nikacheki damu kama haina tatizo

Anadai nikacheki damu kama haina tatizo

Nadhani mpenzi wako atakuwa hiv + ebu jaribu kumdanganya kuwa umepima na umekuta unatumalaria kidogo uone mood yake, suala la kupima napinga na hasa kipindi hiki cha chaguzi pima baada ya lowassa kuapishwa maana ukipima kabla na ukikuta hali mbaya nadhani kura hutapiga hilo nina uhakika
 
Nashukuru kwa ushauri.
 
Tahadhari ya kweli ni kupima kwanza kabla hamjaanza kulana utamu, sasa kama hamkupima pengine anahofu na afya.yako na adakudrive ukapime ili ajue.afya yake kupitia kwako, cha msingi hapo jitie nguvu kapime, then, kama majibu ni mazur mpe alafu mshaur mkapime pamoja, hiyo itasaidia kuchukua tahadhar na uamunifu, kama ni mabaya usimpe kabla hajapata ushauri nasaha
 
Owk,nashukuru kwa ushauri wako.
 
Kupima afya inatakiwa iwe kipaumbele chako.
Hata usipoambiwa we nenda kapime.
 
Ukitaka kumjua jinsi alivyo kaa baada ya siku mbili alafu igiza umenyong'onyea akikuuliza vipi mwambie nimepima nimekutwa ni HIV POSITIVE alafu uone atasemaje.
 
Mi nashangaa....majibu ya hapa. Mnampa presha tu. Kaambiwa akacheki damu kama haina tatizo. Matatizo kwenye mwili yanayochunguzwa kupitia damu ni mengi...kuna malaria..typhpoid...kuna magonjwa ya zinaa ya kawaida zaidi ya HiV...kuna suala la kucheki hali ya damu kwa ujumla...full blood picture ambayo nayo inaweza kuonyesha kama ana infection ama la. Sasa sijaona alipomwambia akapime HIV directly. Au nakosea kusoma?
 
Uko sahihi kabisa wala hujakosea kusoma..tatizo mtu akishaongelea kuhusu kupima damu mtu analenga hiv test moja kwa moja kumbe kuna magonjwa mengine pia yanayohitaji blood test.
 
Nakushukuru Principle girl inaonekana unaishi kwa principles kweli.....nitakuuliza kitu baadae
 
Last edited by a moderator:
Hio inaonyesha mchizi wako kashaumia,we nenda kacheki tu huenda ukawa sio h.i.v receptor
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom