Anadai nikacheki damu kama haina tatizo

Anadai nikacheki damu kama haina tatizo

hakuna mwanaume anaweza ambia bibi yake akapime kabla ya yeye kujua afya yake.
kuwa mjanja, nenda kapime jua afya yako, halafu ambia yeye mwende pamoja..
......
mwendee leo huku ukizungusha mikono, ishara ya mabadiliko!
 
Jamaa alikusaliti toka muda mrefu sasa aliekusaliti nae hasemwi vizuri hivyo anataka ukapime ili apate majibu, nenda kapime kwanza kwa sababu naamini uko poa kabisa lakini jamaa yako pia apime baada ya hapo utachagua kusuka ama kunyoa maana amewasha taa nyekundu tayari kua makini kwani hakuna nayepata ukimwi akabaki na furaha yake ya awali

Owk,thanks for your advice.
 
Wanaumwe hawapatagi UTI kutokana na maumbile yao....pia haiambukizi kwa njia ya sex........ninacho hisi hapo....atakuwa ametembea na mwanamke mwenye gonjwa na zinaa....ametibiwa ila ana wasiwasi asije akawa amekanyaga moto.....sasa kwa vile anasex na wewe kavu.......anataka kukutumia wewe kama chambo ili ukipima wewe udetermine status yake ya afya........
 
Jikaze ukapime mana hofu ni mbaya zaidi bora uujue ukweli.Hapo stresss na hofu vitakusumbua sana its better uujue ukweli mana unaweza ukajikuta kazi haziend.
 
Sio kweli. Wanaume pia wanaugua UTI na mara nyingi huitoa kwa watu wao wa karibu
 
Inaonekana anataka kujua afya yake kupitia kwako.
Nenda kapime afu ukirudi piga kimya. Na kama utakuta upo vizuri mpandishe kisukari alichokupandisha
 
Kama angekuwa mpenzi wa ukweli angekuambia muende wote.
Happo akili kichwani.
Binadamu hupata magonjwa, tofauti ni attitude ya kupokea hali.

Bora upime ujipange kama mtaendelea au vipi.
 
Kama angekuwa mpenzi wa ukweli angekuambia muende wote.
Happo akili kichwani.
Binadamu hupata magonjwa, tofauti ni attitude ya kupokea hali.

Bora upime ujipange kama mtaendelea au vipi.

Thanks for your advice.
 
Jikaze ukapime mana hofu ni mbaya zaidi bora uujue ukweli.Hapo stresss na hofu vitakusumbua sana its better uujue ukweli mana unaweza ukajikuta kazi haziend.

Thanks for your advice,nitajitahidi niende nikachek.
 
So unauhakika UTI inaambikizwa kwa sex?.......unahisi au ndo daktari kakwambia hivyo...........haya basi ana UTI
 
Asikutishe huyo alikua ana magonjwa ya zinaa pengine ye kashapatA matibabu nenda kapime usiogope kuanza dozi mapema
 
Usihofu dada, huyo alipata gono hapo anashindwa kukueleza, we kapime tu, maana kama ni gono litakuumbua mda si mrefu.
 
Kwanini majanga

Wengi wao co waaminifu kabisa mwenzio Leo yamenikuta nimeenda home kwake nimekuta mwenzangu anakanga moja ikanibidi niombe samahani kuwaingilia pia ikabidi niondoke asaiv anapika cm uyo imebidi nimblock maana Hana chakujitetea so kapime tu
 
Usihofu dada, huyo alipata gono hapo anashindwa kukueleza, we kapime tu, maana kama ni gono litakuumbua mda si mrefu.

Yaan ni kweli, hy alikua na gono, na ni ishara ya kua sio mwaminifu, so mwenye uamuz ni ww!!!!
 
Wengi wao co waaminifu kabisa mwenzio Leo yamenikuta nimeenda home kwake nimekuta mwenzangu anakanga moja ikanibidi niombe samahani kuwaingilia pia ikabidi niondoke asaiv anapika cm uyo imebidi nimblock maana Hana chakujitetea so kapime tu

Polee dear,pouw ntajtahidi niende nikapime japo hapa full stress.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom