Thats good news lets celebrate.... (ila mimba haipimwi kwenye damu. Au umepima na mkojo)
Paternity test lazima ihusike hapa
Baby ake inamaana huamini kama yo responsible for it? Ulifikiri ulikuwa unakamua maziwa yale eti?
Kaizer na Heaven Sent ndio wamearibu suprise yako, nilitaka nikutoe out (my treat) ndio nikuambie, basi tena.Teh teh...Tatizo ni kutopewa taarifa..Au ndo sapraiz
thnx mamito..still nimesapraizika. Heaven Sent atoto ameanza kuwa romantic..Nasikia dekoKaizer na Heaven Sent ndio wamearibu suprise yako, nilitaka nikutoe out (my treat) ndio nikuambie, basi tena.
thnx mamito..still nimesapraizika. Heaven Sent atoto ameanza kuwa romantic..Nasikia deko
Mmh Nipo busy nalea wanangu mieHahahaaaaa! Ndio ujiandae kumpokea mdogo wako, so beta be a responsible big sisy
MweeeeeeeeeKaizer na Heaven Sent ndio wamearibu suprise yako, nilitaka nikutoe out (my treat) ndio nikuambie, basi tena.
Yani surprise aanze kuambiwa Kaizer kabla yako wewe muhusika..... Ndaga Kyalathnx mamito..still nimesapraizika. Heaven Sent atoto ameanza kuwa romantic..Nasikia deko
Hiyo out yako nimeipenda..Ndo mara ya kwanza kufanya hivyo..Na uenda ikawa ya mwishoHahahaaaaa!! Eti nimeanza kuwa romantic! Kwani sikuwa tangu awali?
Hiyo out yako nimeipenda..Ndo mara ya kwanza kufanya hivyo..Na uenda ikawa ya mwisho
Hahahaaa! Huo ndio mwanzo sasa, expect more to come
Hapana,hatutumii.
Mmmh namtaka ila mmmmmhTeh teh..Kyala mnunu Douta..We hautaki mdogo??