Agnessjuma
JF-Expert Member
- Jul 19, 2015
- 317
- 86
Polee dear,pouw ntajtahidi niende nikapime japo hapa full stress.
Aya Mamy jipe moyo pia usipende mapenz bila kinga
Polee dear,pouw ntajtahidi niende nikapime japo hapa full stress.
Aya Mamy jipe moyo pia usipende mapenz bila kinga
Pole dear ondoa hofu kwa kwenda kupima hofu nao ni ugonjwa ujue so ukipata majibu ndio utajua nini cha kufanya mpenziPolee dear,pouw ntajtahidi niende nikapime japo hapa full stress.
pole sana,yalishawah kunikuta hayo,nilikuwa na pepa U.E nilifanya kwa woga sana mpka nikapata supp,mungu ni mkubwa nilijipa moyo nikapima nikajikuta salama nikaenda kwngne baada ya muda nikapma nikakuta salama...dah nilimshkuru sana mungu...just be courageous hata kama hutapima kesho au kesho kutwa jichunguze kwanza kama hutakuwa na dalili zozote suspicious ili usiwe na pressure,then ukitulia ukapime sasa... Hope u will be okay.
Pole dear ondoa hofu kwa kwenda kupima hofu nao ni ugonjwa ujue so ukipata majibu ndio utajua nini cha kufanya mpenzi
Pole sana bibie,yani nikifumba macho kama naiona situation uliyopo.
Ila kuliko kuishi kwa mashaka ni bora uende ukapime tu ili ujue afya yako.
Kuliko kuendelea kuishi kwa waswas bora uende maana usipoenda waswas ndio utazid. The sooner the better
Habari wanajf,jaman naombeni ushauri kuhusu hili maana mpaka sasa sijaelewa anamaanisha nini..mmi nina mpenzi wangu ambaye huu sasa ni mwaka wa tatu nipo nae sasa hivi juzi kati wakat tupo chatting tu kama kawaida akanambia kuna kitu kasau kunambia nilipomuliza kitu gani akanambia niende nikacheki mkojo na damu,nilipomuuliza kwanini akanambia yeye alikutwa na uti kidogo hivo na mie niende,nikamuliza asa kama ni uti mbona ananambia nikacheki na damu akanambia nikacheki damu kama haina tatizo lolote kumuuliza kwanini kakazania kua nikacheki damu akanijibu check for advance..yani kanichanganya apa nina mawenge balaa hta kwenda kupima naogopa,jamani naomben ushauri wenu hivi atakua ana maana gani kunikazania nikacheki damu!
Hapana,hatutumii.
Hapana,hatutumii.
Thanks for your advice,nitajitahidi niende nikachek.
Hapo ni swala la kutaka kujua blood group zenu.
Kuna blood group nyingine hamtakiwi kuzaa.
Okay dear
Kama unaogopa kupima,c muigizie2 kuwa umepima umekutwa nao,lia sanaa,uone atasemaje,apo utapata initial jib kwann kakwambia hvyo af baada ya apo ndo unaenda kupima kabisa yan