Hehehhehe huyo wakukutreat ni nani? Labda kama vinywaji ni maji alochemsha homeHiyo out yako nimeipenda..Ndo mara ya kwanza kufanya hivyo..Na uenda ikawa ya mwisho
Hehehhehe huyo wakukutreat ni nani? Labda kama vinywaji ni maji alochemsha home
Teh teh!!!..Douta usimsimange sana..asije akapata uchungu kabla ya tareheHehehhehe huyo wakukutreat ni nani? Labda kama vinywaji ni maji alochemsha home
Teh atakuwa anahofia tu paternity testTeh teh!!!..Douta usimsimange sana..asije akapata uchungu kabla ya tarehe
Thats good news lets celebrate.... (ila mimba haipimwi kwenye damu. Au umepima na mkojo)
unaweza pima hcg zipo pia kwenye damu kabla hazijafika kwenye mkojo