Ana sifa karibia zote ninazohitaji, ila tatizo elimu yake

Ana sifa karibia zote ninazohitaji, ila tatizo elimu yake

Njoo kwangu mi nna degree tutaelewana!! Ukienda giraffe mi Niko white sand!! Ukisema yes mi nasema No!! Ukifungua duka mi nafungua supermarket!! Usiporudi nyumbani na mimi nasafiri.. Muda wote tunaongea kiingereza!! Story zetu ni za nkurunzinza wote tunasoma gazeti la citizen..

Uwiiiiiiiiio
Hakyanani sijawahi kucheka km Leo jf

Hahaaaaa
 
Aisee inahitaji busara sana kulipambanua sana hili jambo ukilenga kila sehemu juu ya hili jambo..!!
 
Mimi ni professional na ilitokea nikaoa darasa la saba. Ni kweli kuna changamoto zake hasa ukibaahatika kutoka nje ya nchi lakini kwa ujumla wana heshima na hawana usumbufu. Ukishamwoa mpeleke shule na wakiwezeshwa wanaweza.
 
kwaio wasio na elimu waende wapi?we na elimu yako ndo unaonekana mjinga ata uwezo wako wakufikiri umefka mwisho,badala ujiulize unamsaidia je unakuja leta mawazo mgando apa.(sorry if u have a problem plz call police).
 
Siku hizi mapenzi yanachagua had I elimu ole wangu mm wa darasa LA nne
 
Back
Top Bottom