Elizabeth Dominic
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 4,555
- 3,660
Inaonyesha hujampenda, heri umuache tu apate anayempenda kweli.
Elimu haipo kwenye sifa. Mwangalie mama yako. Shangazi na wengine
usichague mwanamke/mwanaume kwa sura. elimu. pesa n.k upendo wake kwako unatosha kuona anafaa au lah. kuna wasomi wazuri tu waliodumu kwenye ndoa zao and vs pia wapo std seven hawashikiki kila kitu wanajifanya wanajua yani fagio la chuma kwelikweli and vs is true. msikariri vitu maisha hayana fomula.
ila jiandae kuzaa vilaza coz kuishia std seven co sababu ya kumfanya mtu ashindwe kupambanua mambo kuna wengine hata drsn hawajaingia ila wanayajua maisha mwanzo mwisho japo kutema umeme km Nyani Ngabu hawawezi.
Mpeleke shule kama unampenda..
Tatizo hawa watu wanatongozeka kiulaini saaana, anaweza liwa mzigo na ticha au madenti wa kiume!
Unaoa elimu....????