Nlikuwa Chuo kikuu flan hivi na binti mzuriii tena full of wife materials. Alinihusudu, alinifia sana tu. Alikuwa anafly juu sana kwa kila matokeo yakitoka. Siku ya siku si kaniletea paper! Dah! Kumbe ana eat na Lecturer.
Nilimkimbia ka ukoma. Ukitafuta hao wa elim hiyo, jua weye waweza kuwa mtu wa 80 kwenye list ya waliopiga mpini. Darasa la 7 ni kuku wa kienyeji, wengi weye unaweza kuwa wa 2 au 3 si zaidi.
Pili, mke ni yule mnapendana na mapenzi hayana chuo